Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
- Thread starter
-
- #361
Huyo ndio muongozaji wa series hii, hao kina saanane njaa ndio inawaweka mbele, siku akishiba wala hutaona post za kifitna kama hizi.
NI mimi nimeandika na Unadhani nimekosea
well well , its for public consumptionSuit yourself!
Ben,
Hao wote ndiyo wahusika wa hii move,time will tell.kunawakati nawaza kwanini Mungu amekuwa kmya hivi,Lakini napata jibu,Yeye ni Mungu.
Kama Mungu aishivyo,itajulikana yupo Mungu
Waache waendelee kusema na kuandika.
Kuna baa moja nilikaa jana mtu akauliza Lwakatre ni dini gani. Jamaa akawa anapiga simu confirm. Hakika naomba Mungu uweledi utamalike kwenye hili jambo.
Hacha ukuda we deal na Josephina au na babu (kama ulivyozoea kumuita) ila mtoto mtoe kabisa kumbuka mtoto hana hatia na hakuchagua kuzaliwa na babu. Jaribu kuwa na heshima walau kwa Jr kwani wewe ni mzazi pia.
katika kitabu cha robert greene "48 laws of power" sheria yake ya kwanza "never outshine the master" kama Ben Saanane hujakisoma naomba ukitafute ukisome kitakusaidia mbeleni.
Zitto is your master,ni bosi wako,and will remain so, ulijifanya kum outsmart ilikupata cheap popularity na power zaidi yake. bahati mbaya sana the 1st law ya power uliisahau..haya ndo matokeo yake. mrudi bosi wako,kamwombe msamaha.
anyways.... by the way sina uhakika kama mmeachana au ndo new strategy ya kuvuruga chama.
Hivi kuna siri gani CHAUMMA chama ambacho kimekufa?Kuna baadhi yenu hapa mlijifanya wanachama waaminifu wa CCM kabisa lakini mkawa mnataka kadi za CHAUMMA na kuomba uongozi kupitia PM.Mwingine ni muandishi anayejipambanu kuwa mwanasheria humu na bingwa wa mtandao wa mgombea mmoja mtarajiwa wa CCM.Sitamtaja jina .Ha ha ha(Unafiki Mbaya)
katika kitabu cha robert greene "48 laws of power" sheria yake ya kwanza "never outshine the master" kama Ben Saanane hujakisoma naomba ukitafute ukisome kitakusaidia mbeleni.
Zitto is your master,ni bosi wako,and will remain so, ulijifanya kum outsmart ilikupata cheap popularity na power zaidi yake. bahati mbaya sana the 1st law ya power uliisahau..haya ndo matokeo yake. mrudi bosi wako,kamwombe msamaha.
anyways.... by the way sina uhakika kama mmeachana au ndo new strategy ya kuvuruga chama.
kamuobe wewe, siamini kama ben yuko tayari kumuomba msamaha kiongozi mnafiki, mzandiki, mshirikina na mtafuta sifa kama zitto.
Umesoma shallow.Kuna kanuni inasema conceal your intentions
Huyu mama sijui huwa ana matatizo gani!Duh, kweli kazi ipo, hii sentensi haikupaswa kutoka kwa mtu kama wewe, sometimes ni bora kukaa kinya kuliko kutoa statements kama hizi kwa mtu wa calibre yako!
Siasa ndiyo kazi niliyosomea pia,niliambiwa nenda kalisaidie taifa lako.Nimechagua njia hii
Kufanya kazi kwingine nikiwa nahitajika huku ni ubinafsi wa hali ya juu ni dhambi.Kazi hii multiplier effect yake(kwa wale wajuzi wa nadharia za uchumi) ni kubwa kuliko ku-parsue narrow Interest.Nikijiondoa kwenye hatari hii,nitawaacha wengi hatarini.ni dhambi!
Nina uhakika Zitto anapaswa kukamatwa anayo mengi kuanzia kwa Othman,Zoka,Denis Msaky,Masalia ni item ha ha nitamuonaje mahakamani atakavyotumbua macho manake anapenda kupaniki