Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

Kabisa, nina Ushahidi katika hili Sheikh
 
Tatizo lipo hasa kwenye malezi.

Wazazi ni zao la circle hiyo hiyo unategemea mtoto atakuwaje akikua? Zzidi ya kufanya kama mama au baba yake?

Kuzaa na kulea mwenyewe, anatafuta kazee kamoja anakakamua kanmfungulia saloon kisha anajiita strong woman
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukishamuoa tu anafata na watoto wake wote huko kijijini aseee apn
 
By the way moja ya very interesting prophecies kuhusiana na kurudi kwa YESU:

"Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya BWANA, iliyo kuu na kuogofya.

Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana."

Malaki.4.5-6.SUV

Wapi kwenye historia imetokea mioyo ya mababa wengi kwa mpigo kugeuka kutoka kwa watoto wao? Kama sio hiki kizazi cha mwisho.

#WeAreTheLastGeneration

So towards Jesus return this strange phenomenon will occur from these fathers who abandoned their children. And children angry with their fathers will embrace their fathers.

When we see this happen, we should look up, our redemption is neigh.

(To single mums: if you have to hide your kids they're not the one. Stay single.)

(To all females: if you have to take your pants off, they're not the one. Stay single. Thank me later.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…