Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

Sasa wewe mwenyewe una uhakika hujajaa adui ujinga?

Kwa kukujuza tu, lengo kuu la hii reli ni mizigo. Kuna hesabu zake na "operation" ya mizigo ni ngumu zaidi ya abiria, abiria hachungwi, mizigo ni lazima ihakikishe wapakiaji, upakuwaji, usalama wake kabla ya kuhufashiwa, usalama utapo hifadhiwa. Kwa ufupi kama ulivyonavyo unapoipakilia uwe navyo unapoipakulia.

Kwa Tanzania inabidi uanze "from scratch", bandarini kwenyewe inapotakiwa mizigo itoke na kuingia ndiyo kwanza DP World na Aidan wanapaweka sawa.

Tutafika tu huko, bandari kavu ya Kwala mbpona umeisahau, ipo pale lakini haina chombo hata kimoja cha kuteremshia mizigo.

Mlolongo wa "logistics" za mizigo ni mrefu sana kijana, unawezq ukaharibu kabisa badala ya kutengeneza, twende nao kwa wakati wake. Nadhani haupo mbali kuanza.
 
Watanzania gani wanaokerwa na hali hiyo ngumu?

Hawahawa nilioona juzi kwenye mkutano wa sisiem Makalla akiwadanganya kuwa wakichagua upinzani watachelewesha maendeleo nao huku wakishangilia? Au kuna version nyingine ya watz imetoka jana?
 
Ni kweli hali ngumu lakini mbona wananchi hawaoneshi kukerwa na uongozi mbovu ,rushwa, uuzwaji wa mali za nchi hii muda wote habari zinazotrend ni simba na yanga kuwatetea watanzania ni kazi ngumu sana
Mkuu ina maana hao washabikia simba na yanga ni wengi sana katika hii nchi ya watu M60 kiasi kwamba kushabikia kwao simba na yanga kunafanya wengine kushindwa kuonyesha kuchukizwa na yanayoendelea nchini?
 
Njia pekee ni kuiondoa CCM madarakani vinginevyo hakuna kitakachobadilika sababu mateso yote haya yanasababishwa na hicho chama na sasa kimeajiri chawa wengi kwa ajili ya kusafisha njia zao.
Kuondoa ccm madarakani ni ndoto na ni ndoto nzuri tu ila tunapenda kuishi kwenye hii ndoto kuliko kuishi kwenye uhalisia, kama hakuna tunachoweza kukipigania zaidi ya kuota tu ccm itoke madarakani na kuona ndio suluhisho la matatizo yetu basi tutaendelea kuteseka sana sana na hiyo ccm itaendelea kubaki kwa muda mrefu hapo madarakani na kubaki kuwa vilevile bila kubadilika chochote.
 
Njia pekee ni kuiondoa CCM madarakani vinginevyo hakuna kitakachobadilika sababu mateso yote haya yanasababishwa na hicho chama na sasa kimeajiri chawa wengi kwa ajili ya kusafisha njia zao.
Unaoondoa CCM kwa keyboard? Lakini ground huna uwezo
 
Hu
Ukiwa na akili huwezi kufanya majaribio kwa kutumia watu, utaanza na wanyama au mizigo kwanza, ukiona umefanikiwa ndio unatumia binadamu. Wangenza na kusafirisha mizigo kwanza ili kupata changamoto na uzoefu wa kusafirisha kwa SGR kabla ya abiria. Wewe nawe ni walewale wa hivyohivyo TU. Umebeba abiria mara treni imezima, mara nyani na tumbili sijui kafanya nn. Ingekuwa ni mizigo hakuna mtu angejua udhaifu huo, wangerekebisha kimyakimya bila madhara Wala papara.
 
L
Kila kitu siasa TU, tuna haraka gani kama mambo Bado? Ukiweka bandari pale morogoro maana yake mizigo yote ya Kanda ya juu kusini, Zambia, Kongo inachukiliwa pale na mkoa unapata kipato badla ya kuharakisha kupakia abiria kwenye kitu kipya na kigeni kabisa
 
Kijana unayoyasema yanafanyika tayari, hayajaisha tu.

Unayoyafikiria wewe leo yalifikiriwa na kufanyiwa maamuzi miaka 30 nyuma.
 
L
Kila kitu siasa TU, tuna haraka gani kama mambo Bado? Ukiweka bandari pale morogoro maana yake mizigo yote ya Kanda ya juu kusini, Zambia, Kongo inachukiliwa pale na mkoa unapata kipato badla ya kuharakisha kupakia abiria kwenye kitu kipya na kigeni kabisa
Kijana unayoyasema yanafanyika tayari, hayajaisha tu.

Unayoyafikiria wewe leo yalifikiriwa na kufanyiwa maamuzi miaka 30 nyuma.
Kwahiyo mliwageuza watanzania guinea pigs kwa faida ya nani? Suppose kama hitilafu Ile ingesabisha moto au ajali kubwa mngeishia kuomba samahani?
 
Ni kweli hali ngumu lakini mbona wananchi hawaoneshi kukerwa na uongozi mbovu ,rushwa, uuzwaji wa mali za nchi hii muda wote habari zinazotrend ni simba na yanga kuwatetea watanzania ni kazi ngumu sana
Wameshakuwa victimized na mfumo tayari.
 
Siku watanzania wakikaa na kufahamu kuwa hatima yao ipo mikononi mwao wenyewe ndio wataamka na kufanya mabdiliko yanayotakiwa
 
Nafikiri kujibu swali lako ni kwamba "hali ngumu" iko humu Jamii Forums na kwenye mitandao mingine tu.

Wale walio nje wako busy kutafuta hela lakini kavulata na Gulio Tanzania wanataka wapate hela humu JF
Vijana wanaumia sana kwa bodaboda, barabarani bodaboda ni nyingi kuliko magari, zinasababisha vifo vya haraka na vifo vya polepole, vifo moto na vifo baridi kwa ugonjwa ww kifua, mgongo, ulemavu, ukosefu wa nguvu za kiume na hata unyafuzi. Hali ni mbaya sana; vijijini kwao Kuna ardhi lakini hakuna mvua, pembejeo, mitaji, miundombinu Wala masoko ya bidhaa zao.
 
Chagua ufe kwa njaa au ufe kwa moto wa bodaboda ila kifo ni lazima
 
Umeongea ukweli mtupu
Wanabadilisha viongozi wa kuteuliwa TU kila kukicha, lakini ukweli ni kwamba hata wananchi wanatamani pia kubadilishiwa watumishi wao wanaowapa huduma mbalimbali kuanzia wa kuchaguliwa hadi wa kuajiliwa. Watumishi wamebondekabondeka waajili wao hawana haja ya kujua wafanyakazi wao wanalala wapi, wanakula wapi na nini, wanakujaje na kurudi kazini na watoto wao wanasomaje. Wanawataka watumishi watoe huduma zilizotukuka, wa smile kwa mteja¡!! how?
 
Umasikiki ni mtaji wa CCM mkuuu, bila watu kuwa na hali mbaya za kiuchumi CCM itaweza kuwahonga kanga, kofia na Tshirt?
 
Adui wa Tanzania ni mmoja tu, ujinga.
Umasikini je? Kule kanda ya ziwa, wakina Change walikuwa wanahonha wasukuma wenzao chumvi za kupikia, kule kwa Lukuvi huwa wananchi wanahongwa viberiti. Umasikini mtaji kwa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…