Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

Yaani ujinga huu umeenda hadi kwa viongozi, mfano hii SGR badala ya kuanza kutumika kwa abiria ingeanzia kutumika kwa mizigo , tungekua tumetengeneza bandari kavu kubwa sana pale morogoro na tabora na chalinze ili mizigo yote ya bamdarini ipokelewe huko, ili kupunguza msongamano bandarini na jijini. SGR ingerudisha pesa zetu haraka kuliko kubeba watu wenye shangazikaja wanaowahi kwenda kufanya uziznzi morogoro na Dodoma. Wafanyakazi waliokuwa wameajiliwa kwenye makapuni ya Shabiby, Abood, BM , Elsaid nk wataenda wapi?
Sasa wewe mwenyewe una uhakika hujajaa adui ujinga?

Kwa kukujuza tu, lengo kuu la hii reli ni mizigo. Kuna hesabu zake na "operation" ya mizigo ni ngumu zaidi ya abiria, abiria hachungwi, mizigo ni lazima ihakikishe wapakiaji, upakuwaji, usalama wake kabla ya kuhufashiwa, usalama utapo hifadhiwa. Kwa ufupi kama ulivyonavyo unapoipakilia uwe navyo unapoipakulia.

Kwa Tanzania inabidi uanze "from scratch", bandarini kwenyewe inapotakiwa mizigo itoke na kuingia ndiyo kwanza DP World na Aidan wanapaweka sawa.

Tutafika tu huko, bandari kavu ya Kwala mbpona umeisahau, ipo pale lakini haina chombo hata kimoja cha kuteremshia mizigo.

Mlolongo wa "logistics" za mizigo ni mrefu sana kijana, unawezq ukaharibu kabisa badala ya kutengeneza, twende nao kwa wakati wake. Nadhani haupo mbali kuanza.
 
Watanzania gani wanaokerwa na hali hiyo ngumu?

Hawahawa nilioona juzi kwenye mkutano wa sisiem Makalla akiwadanganya kuwa wakichagua upinzani watachelewesha maendeleo nao huku wakishangilia? Au kuna version nyingine ya watz imetoka jana?
 
Ni kweli hali ngumu lakini mbona wananchi hawaoneshi kukerwa na uongozi mbovu ,rushwa, uuzwaji wa mali za nchi hii muda wote habari zinazotrend ni simba na yanga kuwatetea watanzania ni kazi ngumu sana
Mkuu ina maana hao washabikia simba na yanga ni wengi sana katika hii nchi ya watu M60 kiasi kwamba kushabikia kwao simba na yanga kunafanya wengine kushindwa kuonyesha kuchukizwa na yanayoendelea nchini?
 
Njia pekee ni kuiondoa CCM madarakani vinginevyo hakuna kitakachobadilika sababu mateso yote haya yanasababishwa na hicho chama na sasa kimeajiri chawa wengi kwa ajili ya kusafisha njia zao.
Kuondoa ccm madarakani ni ndoto na ni ndoto nzuri tu ila tunapenda kuishi kwenye hii ndoto kuliko kuishi kwenye uhalisia, kama hakuna tunachoweza kukipigania zaidi ya kuota tu ccm itoke madarakani na kuona ndio suluhisho la matatizo yetu basi tutaendelea kuteseka sana sana na hiyo ccm itaendelea kubaki kwa muda mrefu hapo madarakani na kubaki kuwa vilevile bila kubadilika chochote.
 
Njia pekee ni kuiondoa CCM madarakani vinginevyo hakuna kitakachobadilika sababu mateso yote haya yanasababishwa na hicho chama na sasa kimeajiri chawa wengi kwa ajili ya kusafisha njia zao.
Unaoondoa CCM kwa keyboard? Lakini ground huna uwezo
 
Hu
Sasa wewe mwenyewe una uhakika hujajaa adui ujinga?

Kwa kukujuza tu, lengo kuu la hii reli ni mizigo. Kuna hesabu zake na "operation" ya mizigo ni ngumu zaidi ya abiria, abiria hachungwi, mizigo ni lazima ihakikishe wapakiaji, upakuwaji, usalama wake kabla ya kuhufashiwa, usalama utapo hifadhiwa. Kwa ufupi kama ulivyonavyo unapoipakilia uwe navyo unapoipakulia.

Kwa Tanzania inabidi uanze "from scratch", bandarini kwenyewe inapotakiwa mizigo itoke na kuingia ndiyo kwanza DP World na Aidan wanapaweka sawa.

Tutafika tu huko, bandari kavu ya Kwala mbpona umeisahau, ipo pale lakini haina chombo hata kimoja cha kuteremshia mizigo.

Mlolongo wa "logistics" za mizigo ni mrefu sana kijana, unawezq ukaharibu kabisa badala ya kutengeneza, twende nao kwa wakati wake. Nadhani haupo mbali kuanza.
Ukiwa na akili huwezi kufanya majaribio kwa kutumia watu, utaanza na wanyama au mizigo kwanza, ukiona umefanikiwa ndio unatumia binadamu. Wangenza na kusafirisha mizigo kwanza ili kupata changamoto na uzoefu wa kusafirisha kwa SGR kabla ya abiria. Wewe nawe ni walewale wa hivyohivyo TU. Umebeba abiria mara treni imezima, mara nyani na tumbili sijui kafanya nn. Ingekuwa ni mizigo hakuna mtu angejua udhaifu huo, wangerekebisha kimyakimya bila madhara Wala papara.
 
L
Sasa wewe mwenyewe una uhakika hujajaa adui ujinga?

Kwa kukujuza tu, lengo kuu la hii reli ni mizigo. Kuna hesabu zake na "operation" ya mizigo ni ngumu zaidi ya abiria, abiria hachungwi, mizigo ni lazima ihakikishe wapakiaji, upakuwaji, usalama wake kabla ya kuhufashiwa, usalama utapo hifadhiwa. Kwa ufupi kama ulivyonavyo unapoipakilia uwe navyo unapoipakulia.

Kwa Tanzania inabidi uanze "from scratch", bandarini kwenyewe inapotakiwa mizigo itoke na kuingia ndiyo kwanza DP World na Aidan wanapaweka sawa.

Tutafika tu huko, bandari kavu ya Kwala mbpona umeisahau, ipo pale lakini haina chombo hata kimoja cha kuteremshia mizigo.

Mlolongo wa "logistics" za mizigo ni mrefu sana kijana, unawezq ukaharibu kabisa badala ya kutengeneza, twende nao kwa wakati wake. Nadhani haupo mbali kuanza.
Kila kitu siasa TU, tuna haraka gani kama mambo Bado? Ukiweka bandari pale morogoro maana yake mizigo yote ya Kanda ya juu kusini, Zambia, Kongo inachukiliwa pale na mkoa unapata kipato badla ya kuharakisha kupakia abiria kwenye kitu kipya na kigeni kabisa
 
Kijana unayoyasema yanafanyika tayari, hayajaisha tu.

Unayoyafikiria wewe leo yalifikiriwa na kufanyiwa maamuzi miaka 30 nyuma.
 
Kwahiyo mliwageuza watanzania guinea pigs kwa faida ya nani? Suppose kama hitilafu Ile ingesabisha moto au ajali kubwa mngeishia kuomba samahani?
 
Ni kweli hali ngumu lakini mbona wananchi hawaoneshi kukerwa na uongozi mbovu ,rushwa, uuzwaji wa mali za nchi hii muda wote habari zinazotrend ni simba na yanga kuwatetea watanzania ni kazi ngumu sana
Wameshakuwa victimized na mfumo tayari.
 
Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo kikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi hili linalipwa mishahara isiyolingana na uhalisia wa upandaji wa Bei, hivyo kufanya ununuzi mdogo sana wa huduma na bidhaa, hali inayosababisha mzunguuko mdogo wa fedha ndani ya jamii na kusababisha Hali mbaya sana ndani ya familia na mtu mmojammoja.

Kandarasi kubwa sekta ya ujenzi kupewa wageni. Eneo hili pia linasababisha mzunguuko wa fedha ndani ya nchi kwakuwa fedha nyingi zinavuka mipaka na vibarua wazawa kupewa ujira mdogo sana kwenye kandarasi hizi za wageni.

Kandarasi za wazawa kukopwa au kucheleweshewa malipo hii ndio mbaya kabisaaaaaa, maana wazawa wanashindwa kukuza mitaji na kusababisha kuwalipa fedha kidoogo sana vibarua wao.

Ukosefu wa masoko ya uhakika ya mazao ya kilimo, mofugo, uvuvi na uchimbaji. Idadi kubwa sana ya wakulima, wafugaji hawana uhakika wa masoko na Bei ya mazao yao. Serikali utaisikia inahangaika na ukanda fulani TU na mazao fulani TU kwenye Kanda fulani TU na kusahau kwamba nchi nzima watu wake wanategemea kilimo na ufugaji na uvuvi. Hii nayo inasababisha hali ngumu sana katikati Kila kaya na kila mtu,

Matokeo ya haya yote ni kuwa na jamii inayohangaika na kutapatapa isijue nini cha kufanya. Jamii ambayo kama akitokea mtu wa kuwasema haya mateso kwa uwazi ataitwa mchochezi, anatumiwa na pengine kunyamazishwa kwa njia mbalimbali kuanzia kununuliwa hadi kuumizwa.

Hali imesababisha kuwa na jamii ambayo:
1. Ina wezi wengi wa muda na mali za mwajili na jirani.
2. Ina wategemezi wengi
3. In waongo wengi
4. Ina migogoro mingi sana ndani familia, jamii na makazini
5. Ina watu wajanjajanja wasiokuwa na morali ya kazi

Uchaguzi ujao tunataka kuchagua watu wanaokerwa na Hali hii katika ngazi zote za uongozi na uchaguzi bila kujali chama, jinsia, kabila Wala dini ya mtu.
Siku watanzania wakikaa na kufahamu kuwa hatima yao ipo mikononi mwao wenyewe ndio wataamka na kufanya mabdiliko yanayotakiwa
 
Nafikiri kujibu swali lako ni kwamba "hali ngumu" iko humu Jamii Forums na kwenye mitandao mingine tu.

Wale walio nje wako busy kutafuta hela lakini kavulata na Gulio Tanzania wanataka wapate hela humu JF
Vijana wanaumia sana kwa bodaboda, barabarani bodaboda ni nyingi kuliko magari, zinasababisha vifo vya haraka na vifo vya polepole, vifo moto na vifo baridi kwa ugonjwa ww kifua, mgongo, ulemavu, ukosefu wa nguvu za kiume na hata unyafuzi. Hali ni mbaya sana; vijijini kwao Kuna ardhi lakini hakuna mvua, pembejeo, mitaji, miundombinu Wala masoko ya bidhaa zao.
 
Chagua ufe kwa njaa au ufe kwa moto wa bodaboda ila kifo ni lazima
 
Umeongea ukweli mtupu
Wanabadilisha viongozi wa kuteuliwa TU kila kukicha, lakini ukweli ni kwamba hata wananchi wanatamani pia kubadilishiwa watumishi wao wanaowapa huduma mbalimbali kuanzia wa kuchaguliwa hadi wa kuajiliwa. Watumishi wamebondekabondeka waajili wao hawana haja ya kujua wafanyakazi wao wanalala wapi, wanakula wapi na nini, wanakujaje na kurudi kazini na watoto wao wanasomaje. Wanawataka watumishi watoe huduma zilizotukuka, wa smile kwa mteja¡!! how?
 
Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo kikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi hili linalipwa mishahara isiyolingana na uhalisia wa upandaji wa Bei, hivyo kufanya ununuzi mdogo sana wa huduma na bidhaa, hali inayosababisha mzunguuko mdogo wa fedha ndani ya jamii na kusababisha Hali mbaya sana ndani ya familia na mtu mmojammoja.

Kandarasi kubwa sekta ya ujenzi kupewa wageni. Eneo hili pia linasababisha mzunguuko wa fedha ndani ya nchi kwakuwa fedha nyingi zinavuka mipaka na vibarua wazawa kupewa ujira mdogo sana kwenye kandarasi hizi za wageni.

Kandarasi za wazawa kukopwa au kucheleweshewa malipo hii ndio mbaya kabisaaaaaa, maana wazawa wanashindwa kukuza mitaji na kusababisha kuwalipa fedha kidoogo sana vibarua wao.

Ukosefu wa masoko ya uhakika ya mazao ya kilimo, mofugo, uvuvi na uchimbaji. Idadi kubwa sana ya wakulima, wafugaji hawana uhakika wa masoko na Bei ya mazao yao. Serikali utaisikia inahangaika na ukanda fulani TU na mazao fulani TU kwenye Kanda fulani TU na kusahau kwamba nchi nzima watu wake wanategemea kilimo na ufugaji na uvuvi. Hii nayo inasababisha hali ngumu sana katikati Kila kaya na kila mtu,

Matokeo ya haya yote ni kuwa na jamii inayohangaika na kutapatapa isijue nini cha kufanya. Jamii ambayo kama akitokea mtu wa kuwasema haya mateso kwa uwazi ataitwa mchochezi, anatumiwa na pengine kunyamazishwa kwa njia mbalimbali kuanzia kununuliwa hadi kuumizwa.

Hali imesababisha kuwa na jamii ambayo:
1. Ina wezi wengi wa muda na mali za mwajili na jirani.
2. Ina wategemezi wengi
3. In waongo wengi
4. Ina migogoro mingi sana ndani familia, jamii na makazini
5. Ina watu wajanjajanja wasiokuwa na morali ya kazi

Uchaguzi ujao tunataka kuchagua watu wanaokerwa na Hali hii katika ngazi zote za uongozi na uchaguzi bila kujali chama, jinsia, kabila Wala dini ya mtu.
Umasikiki ni mtaji wa CCM mkuuu, bila watu kuwa na hali mbaya za kiuchumi CCM itaweza kuwahonga kanga, kofia na Tshirt?
 
Adui wa Tanzania ni mmoja tu, ujinga.
Umasikini je? Kule kanda ya ziwa, wakina Change walikuwa wanahonha wasukuma wenzao chumvi za kupikia, kule kwa Lukuvi huwa wananchi wanahongwa viberiti. Umasikini mtaji kwa CCM
 
Back
Top Bottom