Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

Tumechoka na ahadi zake za uongo ndani ya miaka 10 tuliyompa hakuna hata moja lililokamika. Safari hii tunaenda na Gwajima kwa ajili ya maendeleo.
 
Halima mdee mpaka hapo sisi wanakawe tumeshakuchoka kabisaa. Usitegemee kura zetu tena kwako
 
Itakuwa ukosefu wa maadili kumpa Gwajima ubunge Kawe, ni mtu mkabila na hatari kabisa kwa watanzania.
Pimbi wewe umeanza kupiga kura mwaka huu nini unajua wakubwa zako Halima alivyotuchijia baharini baada ya kufika mjengoni
 
Wanakawe tume choshwa na ungo wako. wenenda bwana hakuna tunacho kumbuka kwako.
 
Tulifanya makosa tukamuamini huyu halima ,sasa basi hatuwez kuwa na msagaji tena kwenye jimbo now tunataka maendeleo
Twende na gwajima
 
Halima hatufai bhana kwanza anavuta bangi we ulisikia wapi mvuta bangi anapewa ubunge
 
Naunga mkono hoja kwa sasa hatukubali kutapeliwa tena miaka kumi imekutosha
 
Safari hii lazima tumchague Gwajima kwa maendeleo yetu sisi wanaKawe tumeshachoka kudanganywa na kufanywa kama watoto na mdee
 
Zamani wananchi wa kawe tulikuwa hatujui chochote lakini tunafurahi maneno yake lakini hizi changamoto za kukaa na bila maji mwezi mzima imetufumbua macho hatutaki maneno tuu
 
Halima ameishiwa sera kabisa maana hana alichokitekeleza kwa miaka 10 aliyokuwa madarakani zaidi ya kwenda mahakamani tu na sisi wana Kawe tunasema imetosha tunaenda na Gwajima.
 
Halima sasa hivi ndo muda atafute bwana aolewe akiona akili zimerudi tutampa uwenyekiti wa serikali za mitaa
 
ha
Hatukubali kuongozwa na binti asiyekuwa na maneno ya busala kabisa uwezi kusema wana Kawe ni wahuni. yaani wewe huja funzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…