Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Unaongea kama umekatwa kichwa raia zaidi miioni 1 na nusu waondoke waende wapi?
Basi waambie wabaki ....halafu wewe vaa kanzu ijiandae kwenda UN kulia lia cease fire cease fire cease fire. Au jifungie chumbani huku unaimba ule wimbo unaoimbwa na magaidi wakiwa wanafanya ugaidi " Allahu akbar"
 
Nukuu hiyo ya maandishi kutoka vitabu vitakatifu ni ramli chonganishi, ni vigumu kuyasadiki kama hayo ni rai ya kweli ya mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
 
 
Yote unayoongea ni ukweli tupu.
Ila mimi mnaniacha njia panda mnapoacha kudadavua chanzo cha vita hii.
Ninaona kila mtu anakuja na mihemko ya udini isiyokuwa na afya kwetu visivyotuhusu.
 
Hizi habri zinatuchanganya wafuatiliaji wa vita hivi.

Mara waseme Hamas wamekubali kwa kuweka masharti namna ya kubadilishana mateka wa Israel na wafungwa wa Palestina waliopo kwenye jela za Israel.

Sasa leo tena wamegoma huku Israel ikizidisha mashambulizi ya kuangamiza watu na vitu, hii ni nini maana yake?
 
Ila mimi mnaniacha njia panda mnapoacha kudadavua chanzo cha vita hii.
Chanzo ni uvamizi wa Hamas kwa Israel, yaan ni sawa na story ya Leonard mpenda ugomvi kilabuni aliepigana na mchupi uliotoboka akachakazwa vibaya mpaka kuvuliwa chupi lake ndio kinachomkuta Hamas kinachoenda kumtokea ni kuvuliwa chupi lake lililotoboka

Story ya Leonard mpenda ugomvi kilabuni na kilichomponza mpaka akapigwa vibaya hii hapa:

 
Sasa kwanini watu wapo upande wa mvamizi kuonesha anaonewa kumbe yeye ndiye aliyechokoza nyuki waliotulia kwa kuwapopoa na mawe?
 
Hakuna kitu Israel ataenda kukipata Rafah ambacho atajivunia ni ushindi dhidi ya Hamas zaidi ya kufanya mauwaji ya kimbali ya raia na kupata aibu kuu
hao raia wameambiwa kwa wiki ngap mpk sasa ? ebu tuliza kishundu , dini imekufanya mwehu , kama hadi hamas wanajuwa kinachofuata hao raia wanasubir nn ?
 
USIUKIMBIE UZI SHEKHE NA KUANZA KULIA LIA. MLISHAONGEA SANA HAYA MANENO TOKA DAY ONE. UKAJA KIMBILIA MAHAKAMANI, UKAJA KIMBILIA IRAN, UKAJA KIMBILIA USA MAANDAMANO. YAANI UNA MHAHO MKUBWA SANA KILA TAWI UKISHIKA LINAKATIKA. UNAPAPATIKA A KICK OF A DYING HORSE.
 
Nikimbie nini sasa hawa mabasha zako wanapigana vita na watoto na kuvunja majengo, hawajaokoa hata mateka mmoja kuja jeshi hapo au kundi la mashoga ambalo mnakesha JF kushabikia nyie walokole wa JF wajingq sana.


View: https://x.com/suppressednws/status/1788012220053344663?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hadithi ya kubuniwa ya 'watoto 40 waliokatwa vichwa' ilisambazwa kote ulimwenguni na vyombo vya habari na wanasiasa.

Picha za wakati halisi za watoto waliouawa kinyama, watoto wachanga kulipuliwa vipande vipande, na ulimwengu unakaa kimya. Waisrael weusi wa JF kutoka Uyole, ,Mafinga, Ndudu, Kwimba, waambieni mabwana zenu waingie uwanja wa vita wapambane na Wanaume siyo kurusha makombora kwenye majengo huku wamejificha.

View: https://x.com/kahlissee/status/1787937958835659190?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…