babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Tena tukaishia na kuzitungua ndege vita zetu 4, sisi wenyewe,..Nyie mnabishana wakati vita vya kagera mlishindwa
Ni ushabiki, nitakufafanulia
OK
Israel wana mahandaki makubwa yanyoingia magari. IDF wanajificha katika mahandaki hayo
Makao makuu ya MOSAD na IDF yapo katika makazi ya Raia. Israel imekataza waandishi wa habari kufika maeneo ya ''Raia'' kwasababu yanahusiana na jeshi. Habari hii ni ya Reuters na mashirika mengine
Israel inasema Iran inashambulia makazi, nadhani wasioona kama wewe hawakuona nini kimetokea Gaza
Well, Iran wapo katika vikwazo vya Uchumi kwa zaidi ya miaka 15.
Israel wanasaaidiwa na US kwa kauli ya Pentagon, leo Germany wamesema wanapeleka vifaa, UK wamepeleka Royal airforce, Jordan na Saud zinasaidi kutungua makombora.
Israel ina Iron Dome, David's Sling, na Arrow 3 pamoja nakusadiwa na Mataifa makubwa.
Makao makuu ya IDF yamenyukwa, makao makuu ya MOSAD yamepigwa, maeneo ya Kijeshi yameshambuliwa. Hakuna wakati Taifa lolote limefikia hatua hiyo
Iran hapigani vita na Israel. Iran inapigana vita na US, UK, Germany, France ambazo hivi unaposoma zipo vitani na Nchi iliyowekewa vikwazo miaka 15. Kwahiyo hakuna vita ya Israel na Iran, ipo ya Iran na Nchi za Magharibi. Inaweza kuchukua muda lakini ipo siku utaelewa
Vita haikusimamishwa, Marekani ilisimamia mktaba baada ya Israel kuingia South Lebano na kupata kipigo.
Netanyahu alimuomba Biden askari, Biden akakataa na kumlazimisha waingine mkataba wa kusmamisha mapigano. Hezbollah ni habari nyingine, uliza IDF na wale manesi waliokuwa wanapokea majeruhi na maiti.
Bila msaada wa Nchi za Mgharibi leo makombora yangeshaiweka Israel to her knees.
Jana Netanyahu ameomba US isadie. Hivi una ishi dunia gani
Si kweli wamepiga IDF, MOSAD , Golan Elite na Vituo vya Kijeshi. Kitu kinachowatatiza Waisrael ni precision ya makombora ya Iran.
Huna habari za vita
Nina uhakika hujui. Kama hufahamu US wanaisaidia Israel , kama hukusikia Germany wanapeleka Vifaa na msaada wa kifundi, kama hukusikia royal Airforce imekwenda kusaidia! Unalaumu akina nani wasiojua zaidi yako Bw Mtibeli
Tatizo la Watanzani ni kubwa sana. Kwanza, hawatasomi, pili hawatafuti habari na kubwa zaidi wanaangalia mambo kwa jicho la dini. Hapa unadhani ni Uislam na Ukristo. Hujui ni kati ya Zionist na Persian
Waarabu wanaisaidia Israelm unajua hilo!
Please
Irani imetumia siku mbili tu kufanya kile Israel imetumia miezi 20 kukifanya Gaza
Anahaha kwa jamaa zake walivyochukua kichapoLabda sio wanamapiduzi wa Iran, unazungumzia m23 wewe..
Mjomba inaonekana umeguswa haswa na kipondo walichopokea ndugu zako, si kwa kuhaha kiasi hichoIran kitendo cha kurusha mabomu mengi ambayo asilimia 90% yamepanguliwa ni kiashiria kikubwa anacheza ndondo Cup.
Alafu matokeo ya mabomu yaliyofanikiwa kupenya hayamrudishi nyuma adui kwa namna yoyote.
Mkuu kuhusu upande wa Intelegensia nina kubaliana na ww kuwa Iran ina udhaifu fulani lakini kuhusu target za kupiga labda ni ww tu ndo sio mfuatiliaji tu.
Tangu mashambulizi kuanza Iran imeyapiga makao makuu ya jeshi la Israel,imekiharibu kiwanda kikuu cha kusafisha mafuta ambayo Israel inatumia kwenye ndege zake za kivita.
Leo wameupiga uwanja mkuu wa ndege wa Israel, imepiga vituo vya umeme,imepiga taasisi kuu ya kisayanyi ya Israel kiufupi Iran imesha piga tagert nyingi tu sema ww ndo sio mfuatiliaji,alafu unacho takiwa kujua ni kuwa ni kosa la jinai ndani ya Israel kupiga picha kwenye maeneo ya kijeshi,hivyo kuna athari ambazo ww huwezi ona
Mjomba inaonekana umeguswa haswa na kipondo walichopokea ndugu zako, si kwa kuhaha kiasi hicho
Mjomba inaonekana umeguswa haswa na kipondo walichopokea ndugu zako, si kwa kuhaha kiasi hicho
Ushirika wa vita ni tofauti na kuoigana Vita. Ushirika wa Vita ni kumsaidia rafiki yako bila kushirikiMkuu kwenye vita kuwa na Washirika ni Jambo la kawaida.
OK Israel ikitumia mahandaki ni Halali, Hamas wakitumia mahandaki ni HaramuIsrael kuficha watu wake kwenye mahandaki ni sehemu ya mkakati wa kulinda watu wake na kushinda vita za hapo mashariki ya kati.
Kosa la Iran ni lipi? Iran imeikosea nchi gani ya Magharibi?Iran ipo kwenye mgogoro na tension kubwa ya kuingia vitani na mataifa ya magharibi kwa kumtumia Israel kwa kipindi kirefu. Haikuona umuhimu wa kuandaa mpango wa kulinda raia wake kwa kuchimba mahandaki?
Haikuona umuhimu wa kutafuta washirika kama China na Urusi ili kujihami na adui zake?
Sawa sawa! kwahiyo ni halali yeye kutolinda soverignity yake.Kuwekewa vikwazo ni sehemu ya kumdhihirishia yeye ni mdogo na anatakiwa afuate mifumo ya wakubwa.
Hujui kwanini aliwekewa vikwazo!!!Kama ameamua kufurukuta na kuonyesha naye anamapembe(mkubwa) bila mipango na mikakati sio sababu ya watu kutumia kigezo cha kusema amewekewa vikwazo. Maana mtu atauliza kwa nini Iran asiwawekee vikwazo Magharibi na US akawekewa yeye. Jibu ni kuwa yeye ni mdogo.
Fair enoughTukijadili kwa mrengo wa Haki, tutakubaliana anaonewa na kufanyiwa dhulma. Hiyo ni kweli.
Kwa Iran na si Israel. Mother nature anaruhusu Wapalestina kuuawa si Waisrael.Lakini Nature inakanuni zake, moja kubwa ni kuwa Nature is heartless, Mother nature has no Mercy.
Sawa sawa, kwahiyo hoja kwamba Israel ina haki , ina nguvu inakosa mashiko hapaThe bigger Monster eat the little one.
Survival of fittest.
Na nature love the winner and Worship him/her.
Hizo kanuni zinatumiwa na watawala wengi duniani.
Sio suala la kutoboa ni suala la soverignity. Ni heri wafe wakipigana kuliko kuishi wakipiga magoti.Iran mbinu inayotumia unafikiri itatoboa? Kwa upande wangu sioni mbinu anazotumia zikifanya KAZI
Zaidi naona atapigwa chini ya wakati kama ataendelea kurusha ngumi nyingi zisizo na madhara
Ushirika wa vita ni tofauti na kuoigana Vita. Ushirika wa Vita ni kumsaidia rafiki yako bila kushiriki
Pentagon imepeleka askari wanaosaidia ku charge Iron Dome. Israel inatumia base za Marekani kurusha ndege. UK inasaidia katika airspace kutungua makombora na logistic. France inasaidia katika logistics.
Jordan inatungua makombora ya Iran kwa kutumia Israel walioko ndani ya Nchi hiyo. Saud Arabia inasaidia Israel kupitisha ndege ili kufika maeneo ya kaskazani. Hawa wote si washirika ni wapiganaji
Nitajie nchi moja tu iliyosaidia Iran katika kiwango hicho hapo juu
OK Israel ikitumia mahandaki ni Halali, Hamas wakitumia mahandaki ni Haramu
Ni yale yale ya Hamas WAMEBAKA Watu Kibutz ni kosa na ugaidi lakini Israel WAKIFIRA wafungwa ni sawa sawa. Kwamba Waaisrael wana haki ya Kufira ! ni sawa kabisa na ninyi '' Waisrael wa kufikia' hakumoni shida.
Kosa la Iran ni lipi? Iran imeikosea nchi gani ya Magharibi?
Sawa sawa! kwahiyo ni halali yeye kutolinda soverignity yake.
Hujui kwanini aliwekewa vikwazo!!!
Fair enough
Kwa Iran na si Israel. Mother nature anaruhusu Wapalestina kuuawa si Waisrael.
Mother nature analazimisha mataifa kulaani Hamas kwa kuua Waisrael 1200 , mother nature hana habari za Wapalestina 50,000 walioiuawa. Mother nature anatoa haki ya Wapalestina kufa kwa njaa!
Mother nature!
Sawa sawa, kwahiyo hoja kwamba Israel ina haki , ina nguvu inakosa mashiko hapa
Sio suala la kutoboam ni suala la soverignity. Ni heri wafe wakipigana kuliko kuishi wakipiga magoti.
Iran hana kosa lolote, anaonewa kama alivyoonewa Ghadaf na Saadam.
Hoja ni kwamba hii dhana kwamba Israel ni mahiri sana ni kubwa sana n.k. ni uongo. Israel haina lolote bila msaada wa Nchi za magharibi. Fikiria hivi wapo Gaza miaka 3 wakipiga piga hovyo ! leo unasema Irana wanarusha ngumi hovyo! please. Hamsikii habari kwasababu vyombo vya magharibi vinamilikiwa nao.
Makao makuu ya IDF the most secure place wamepigwa wakiwa na Iron Dome, David sling na Arrow 3.
Hiyo tu inakuonyesha jinsi walivyo vulnerable.
Iran itashindwa, si na Israel bali mkusanyiko wa NATO!
Wewe km nimyahudi utakufa kwa pressure.Unazungumzia nini Mkuu?
Kwanini Israel inaomba msaada wa Nchi za mgharibi. Kwanini wameomba Pentagon waingilie katiSawa!
Naona mashambulizi ambayo Iran imefanya hayajamtisha na kumdhoofisha Israel kwa kiasi cha kumpa wasiwasi wa kuendelea kuwa na kiburi.
Kuuawa kwa Soleiman Qasem miaka iliyopita kumesadia chochoate?Zaidi, natishwa zaidi na mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya wakuu wa majeshi na usalama wa Iran, pamoja na wanasayansi ambayo kimedani athari zake zipo wazi kabisa na huathiri morali ya vita.
Vita inaendelea! nilidhani wameuawa na vita ikaisha.Kama viongoz wa jeshi wanafikiwa kirahisi namna hiyo hiyo kwako huoni tayari ni signs of failure, na inatoa ujumbe gani kwa Askari wadogo?
Hapana! Israel ilibadilisha mateka, Hamas waki ''parade'' mateka na kuwapa certificateKiongozi mkuu wa Hamas alichelewa kuuawa lakini alipouuawa morali ya Hamas ilishuka.
Huna habari, alipouawa Hussein Nasrallah ilidhaniwa hivyo. Israel wakaingiza Askari south Lebanon.Kiongozi wa Hezbollah yeye alipigika mapema na KAZI ikawa imeisha.
Kwani hii inayoendelea imekwisha! kwasasa inaonyesha succession ya viongozi ni bora.Kuua viongozi mapema ni kumaliza vita mapema.
Mapema ipi!Kuruhusu viongozi wapigwe mapema ni kuruhusu kushindwa mapema
Narudia tena, hakuna Vita ya Israel kuna Vita ya Iran na NATO.Hayo mambo ukiyafikiria unaona kabisa Iran kwa sasa anaishi kwa huruma za Israel.
Ww sbr mwisho km suluhu haikupatkn ataeshindwa ata surrender unaharaka zanini wewe siulikuwa na kampeni zako za No reform zimeishia wapi tenaMkuu,
Sijasema Israel ni mahiri, na wala mimi sio wale wanaoiona Israel kama taifa la kipekee. Kama ulivyosema, nafahamu ushindi wowote wa Israel unategemea na kutokana na mifumo ya dunia kwa sasa(inayoongozwa na wamagharibi) ipo upande wao.
Mimi tatizo langu ni uwezo wa Iran katika vita hivi ambao haupo mbali na Hamas au Hezbollah.
Fikiria picha linaanza kwa viongozi wa kijeshi kuuawa. Kuna MTU atasema watateuliwa wengine. Sawa. Lakini Kimedani tayari mpo katika kushindwa.
Kingine, Iran inafeli wapi kupitisha au kununua au kupenyeza majasusi upande wa pili kwa Israel kama Israel inavyofanya?
Au ndio tunarudi palepale kuwa tatizo pesa na mifumo ya dunia haipo upande wa Iran?
Ulitegemea baada ya kushambuliwa Iran ifanyen nini kama Taifa!Mimi tatizo langu ni uwezo wa Iran katika vita hivi ambao haupo mbali na Hamas au Hezbollah.
Fikiria picha linaanza kwa viongozi wa kijeshi kuuawa. Kuna MTU atasema watateuliwa wengine. Sawa. Lakini Kimedani tayari mpo katika kushindwa.
Iran ingejua vipi HQ za IDF, MOSAD. Ingejua vipi vituo vya kijeshi. Maeneo yanayopigwa ni ya kijeshi usidanganywe! Israel wamekataza waandishi wa habari (gazeti ka Haaretz la Israel na Reuters) wameripoti.Kingine, Iran inafeli wapi kupitisha au kununua au kupenyeza majasusi upande wa pili kwa Israel kama Israel inavyofanya?
Achana nao hawa wakanisa we wacha wajifurahishe wanajua wazi Israel hana ubavu wa kupigana na Iran. Ujinga wa kuamini maneno ya Yule Myahudi anaitwa Paulo ndio kisha wavuruga we huoni 1=3 kama c uchizi huo ni niniTukupe pole na wewe pia.. Maana kwa mara ya kwanza nakuona unaandika andiko ambalo
waziwazi linaonesha upande uliopo.
Pili unatakiwa uwapongeze iran, kwa jinsi wanavyopambana..
Kumbuka iran anarusha balistic zake kutokea kwake anavuka nchi kama tatu ambazo zote zinampingaa lakin bado mzigo unafika israel.(apongezwe kwa hilo)
Israel anampga iran kwa ukaribu kupitia iraq na jordan,(anga za hzo nchi tajwa, israel anazitumia atakavyo bila upinzani wowote, tofaut na iran akirusha makombora yake yanadunguliwa yakiwa njian hapo jordan, anapunguzwa nguvu, ndio maana mpk sasa iran hatumii ndege vita anajua kabla hajafika israel zitaangushwa njian maana kazuiliwa kutumia hzo anga)
Pia israel amemshambulia kwa kumvizia mwenzake kipind ambacho maongezi yalikuw yanaongelewa na USA.
Ukitaka kupima uwezo halisi, kusiwepo na mtu anayemsaidia israel wala iran, mbungi ipigwe wenyew kwa wenyew ndipo tutapima uwezo wa nchi..
Kwani kiini cha Mgogoro wa Iran na Israel ni nini?Ulitegemea baada ya kushambuliwa Iran ifanyen nini kama Taifa!
Iran ingejua vipi HQ za IDF, MOSAD. Ingejua vipi vituo vya kijeshi. Maeneo yanayopigwa ni ya kijeshi usidanganywe! Israel wamekataza waandishi wa habari (gazeti ka Haaretz la Israel na Reuters) wameripoti.
Hivi unadhani makombora yanarushwa tu! please angalia vitu, soma tafuta habari n.k. usisubiri habari za Instagram na X. Vijana wa Tanzania mnashindwa wapi?
Tutajirekebisha MkuuUkisikiliza mijadala ya Vita ya Vijana wa South Africa, Ghana, Kenya, Uganda halafu ukarudi hapa nyumbani utatokwa na machozi. Mumefeli sana vijana wetu! ?