Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

Israel ilianza mashambulizi kwa kutumia strategy hii (timed and targeted strategy), ikilenga maeneo muhimu ya kijeshi na kiutawala ndani ya Iran. Mji wa Tehran ulishambuliwa mara kadhaa kwa nyakati tofauti, jambo lililoashiria lengo la kusambaratisha uwezo wa usimamizi wa serikali pamoja na miundombinu ya kijeshi. Isfahan na Mashhad zililengwa kwa sababu ya umuhimu wake katika uzalishaji na usafirishaji wa kijeshi.Kwa upande mwingine, Iran ilijibu kwa mashambulizi yaliyoonekana kuwa ya kisiasa zaidi kuliko kijeshi. Licha ya kulenga miji mikuu ya Israel kama Haifa na Tel Aviv, sehemu kubwa ya mashambulizi hayo yalielekezwa kwa maeneo ya kiraia, na baadhi bila malengo ya moja kwa moja ya kijeshi. Hili linaonyesha kuwa Iran ililenga kuonyesha uwezo wa kujibu mashambulizi, huku pia ikiitikia shinikizo la kisiasa na kitaifa la "kutofumbia macho". Retaliation ya Iran inaonyesha kuwa Iran inaweza kuwa na upungufu wa taarifa za kijasusi au uwezo wa mashambulizi ya kisasa. Kwa hili waajemi wajipange upya, bado wana nafasi.
 
Wewe lazima umepita jeshini
 
Top brass ya jeshi la iran yote imeshawahi ahera, we hupati picha tu, leo mkuu wa usalama na manaibu wake wawili wameshaliwa vichwa
Haelewi huyo sasa hivi kinatafutwa kichwa cha ayatollah kilipo mchezo uishe na Israel hua harudi nyuma mpaka ayatollah aliwe kichwa
 
Achana nao hawa wakanisa we wacha wajifurahishe wanajua wazi Israel hana ubavu wa kupigana na Iran. Ujinga wa kuamini maneno ya Yule Myahudi anaitwa Paulo ndio kisha wavuruga we huoni 1=3 kama c uchizi huo ni nini
 

Attachments

  • Screenshot_20250616_011641_com.aljazeera.mobile.jpg
    207.9 KB · Views: 23

Attachments

  • Screenshot_20250616_011641_com.aljazeera.mobile.jpg
    207.9 KB · Views: 15
Kuiwasha Haifa kunadhoroteshaje na kumdhoofishaje Israel akose uwezo katika vita?

Au anapigana ilimradi Hana lengo la kushinda hiyo vita?
Kwamba kupiga Refiner ambayo ndio kubwa zaidi na inasuply nchi nzima sio kumdhoofisha kwa vita?


Hao ni wall street journal west kindaki ndaki wanasema imepigwa

Kuna video zinaonesha direct hit

View: https://x.com/AdameMedia/status/1933993779578515497
Ukitoa hio Refiner kumepigwa command centre kubwa equivalent ya Pentagon, Airport, research facilities, kambi za jeshi etc vyote vina ushahidi wa Video na picha.

Wangekuwa Israel hawapigwi why watoe Amri nchi nzima ni maarufuku kupiga picha na kuchukua video za Matukio?
 
Mtu anakufuata nyumbani kwako anakuchapa makofi mbele ya mkeo akiondoka ndo unaanza kurusha mawe kwa mbali nyumbani kwake na mawe yenyewe yanaishia kwenye paa. Ndio ilivyo kwa Irani.
 
Umevamia Sinia la Pilau Baba Mwajuma Shauriyako mwenzio Webabu kajificha sasa hivi hataki hata kusogelea dirisha
 
Write your reply...iran ili aifikie israel kuna nchi kama tatu na kote kuna kambi za jeshi za usa france na uk na kote kuna mitambo ya kuilinda israel isipigwe wakati israel anatumia kambi hizo za usa kuishambulia iran na ndege za f35.
Hiyo ni kweli, ndo maana tunasema Iran hana uwezo wa kupigana na Israel.
 
Ushoga ni kitu kibaya sana, na vijana sikuhizi mnavyozidi kuuukimbilia ndio kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…