Hamas ndio walitoa Upinzani wa Kweli. Hawa Iran ni Vibushuti

Hakuna anayempangia,
Hapa najaribu kuonyesha kuwa hiyo vita keshapoteza maana mashambulizi yake sio ya kimedani
Utafikri nimeanza kukuelewa unachomaanisha ni kama hivi Jana Israel haikufanya mashambulizi makubwa lakini katika mashambulizi machache walioyafanya walifanikiwa kuua mwanasayansi mmoja wakati anapark gari yake kitu ambacho ndio lengo la Israel la kuidhoofisha Iran isiendelee na mpango wake wa kutengeneza silaha za nuclear, wakati kwa upande wa Iran pamoja na uwezo wake wa kuwa na makombora hatari hawajafanikiwa kuua hata mwanasayansi mmoja wa Israel hata yule ambaye yuko chuoni kujifunza.
 
Ngoja nikutakie baadhi ya madhara ambayo Israel imeyapata kwa ufupi
1 IRGC imepiga headquarter ya Wizara ya Ulinzi Tel Aviv
2 Centers za Utafiti na Maabara za kisayansi Tel Aviv
3 Bandar ya Haifa
4 Kiwanda cha mafuta Haifa
5 3 Airbases ambazo ni nevatim ,Ovda &Telnof hivi ni baadhi tu lakn madhara ni mengi sana
 
Iran ina makombora yanafika 100000 ktk arsenal yake, anaweza kursha makombora 200 kwa siku 500 mfululizo.

Je Israel inaweza kuhimili hilo?
Hizo arsenal si ndio Israel anaziwinda na kuzilipua kila siku? Au wewe unafikiri pale Iran Israel anapiga kitu gani?
 
Yahud Generals-jamani tupige vinu vya nyuklia ,tupige mageneral, tupige visima na sehemu muhimu

Ayyatolah generalπŸ‘‡πŸ‘‡

 
Yes!

Israel pia wamekataza vyombo vyao vya habari kuripoti madhara yanayotokana na makombora ya Iran.
Hilo limefanyika pande zote mbili hata Iran nao wamekataza na ni jambo la kawaida pale nchi inapoingia kwenye majanga kama ya vita.
 
Yes!

Israel pia wamekataza vyombo vyao vya habari kuripoti madhara yanayotokana na makombora ya Iran.
Hilo limefanyika pande zote mbili hata Iran nao wamekataza na ni jambo la kawaida pale nchi inapoingia kwenye majanga kama ya vita.
 
Israel wanarusha surface-to-surface missiles strategically. Yaani Intelijensia yao ni top notch

Bila Trump kuingilia kati, wangeshamtungua Ayatollah Ali Khamenei
 
Bro madhara sio kuuwa maafisa wajeshi tu na viongozin
wa serikali embu chukua mda nenda kafanye research ya miundombinu ya Israel imeathiriwa kiasi gani vitu kama bandari,viwanda,vituo vya utafiti,military centers kweli hivi vyote havina msaada kwenye Vita inayoendelea ?
Alafu ukiangalia kijografia Israel ni kanchi kadogo sana yaani ina kmΒ² elfu 22 while Iran ina 634k kmΒ² ina maana kama mashambulizi yataendelea kwa muda wa mwezi mmoja unadhani Israel itakuwaje upande wa Miundombinu yake?
 
Kwani IDF hawapo ndani ya Raia? Hujaona mahandaki kama ya Hamas Tel Aviv!
Lugalo na Twalipo zipo porini ?
Umeandika ujinga.

Lugalo, Twalipo hizo ni kambi za jeshi zinajulikana zilipo hata kambi za Israel zinajulikana vizur zilipo na wote hao wanavaa uniforms za kijeshi kuwatofautisha na raia sasa nitajie kambi za Hamas ziko maeneo gani?
 
Huyo ni HKL aliyekosa maarifa ya udadisi. Vitu vingi alivyoonesha kutokuvijua kupitia hili bandiko lake vinahitaji juhudi ndogo sana ya udadisi kuving'amua.
 
Huyo ni HKL aliyekosa maarifa ya udadisi. Vitu vingi alivyoonesha kutokuvijua kupitia hili bandiko lake vinahitaji juhudi ndogo sana ya udadisi kuving'amua.
Official sasa hivi Netanyahu Kaomba msaada wa kimataifa, why aombe msaada kama hakuna madhara yoyote?


Na hapo Bado Iran haja tumia Advanced missile ni. Zile zile za kila siku
 
Umeandika ujinga.

Lugalo, Twalipo hizo ni kambi za jeshi zinajulikana zilipo hata kambi za Israel zinajulikana vizur zilipo na wote hao wanavaa uniforms za kijeshi kuwatofautisha na raia sasa nitajie kambi za Hamas ziko maeneo gani?
Wametuma video jana wenyewe IDF wapo chini ya Hospitali na magwanda yao uta Bishana hadi na IDF.
 

Imeathiri mwenendo wao wa vita?
 
Kwa nn Netanyau ana m pressurize Trump aisaidie kumpgia Iran ikiwa yeye anatawala vita na Ndege zake zinatamba kwenye anga la Iran?

Anataka ashinde vita mapema.

Wewe kumwambia rafiki yako akusaidie Jambo Fulani umpige adui yako ni kosa? Au utakuwa umekosea?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tayari huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…