Hamas yasema haina haja na mazungumzo mapya ya kusitisha vita

Ugaidi wa October 7 ndio umeleta kadhia yote hii. Na Israel imeapa kuutokomeza ugaidi kwa faida ya raia wa pande zote mbili.
 
Bora wawauwe wote tu
maana kama ni unyama wametendewa wa kutosha
haina haja ya mazungumzo..wapalestina kila kitu kimewasaliti,ulimwengu mzima umewasaliti inaonekana hata mungu hayupo upande wao.
Ugaidi ni dhambi mbaya. Wakiuwa wanatukuza mungu wao kwa kumuita allahu akibar. Acha wafe waende kwa shetani wao asiependa kuishi kwa amani
 
  • Al-Qaeda (Global)
  • ISIS/ISIL/Daesh (Iraq and Syria)
  • Boko Haram (Nigeria)
  • Taliban (Afghanistan)
  • Al-Shabaab (Somalia)
  • Hamas (Palestinian Territories)
  • Hezbollah (Lebanon)
  • Jemaah Islamiyah (Southeast Asia)
  • Al-Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP) (Yemen)
  • Al-Qaeda in the Islamic Maghreb (AQIM) (North Africa)
  • Lashkar-e-Taiba (Pakistan)
  • Jaish-e-Mohammed (Pakistan)
  • Islamic Movement of Uzbekistan (IMU) (Central Asia)
  • Ansar al-Sharia (Libya)
  • Ansar Dine (Mali)
  • Harkat-ul-Mujahideen (Pakistan)
  • Abu Sayyaf Group (Philippines)
  • Jund al-Sham (Syria)
  • Harakat Ahrar al-Sham al-Islamiyya (Syria)
  • Ansar Bayt al-Maqdis (Egypt
Wafia dini wanasema "haya makundi hayahusiani na dini"

Naombeni kundi lolote linalo ongozwa na :
1. Padri.
2,. Mchungaji
3. Nabii.
4. Mtume
 
Hatari kubwa sana!!!
 
niondolewe wehu wako
yaan hata kutofautisha uyahudi na uzayuni haujui halaf uvimba kukoment.
kanyonyeshe na kulea mume mambo mengine achana nayo
maana unatangaza utahira wako tu
Mimi ushauri wangu nakupa tena bure achana na masuala ya Palestine maliza shida zako kwanza maana maandishi yako hapa yanakuonyesha namna ulivyo na stress inaonekana kuna kitu kinakusibu.
 
Endelea kujidanganya na kudanganywa huko unapodanganywa miaka yote ila ngoja nikutoe tongo

Munaaminishwa miaka kadhaa huki nyuma israhell iliyapiga mataifa yote ya kiarabu kwa siku sita na kuyashinda ila leo ana mwaka anapigana tu na hamas sio nchi ni kundi eneo kama kata ama wilaya fulani mwaka sasa (hapa utapata jibu nani kaongezeka uwezo nani kapungua uwezo)

Miaka ya nyuma huko Palestine walikua wanapigana kwa manati na mawe ila leo wameweza kuingia ndani kabisa ya israhell na kuwafyeka na kurusha marockets kibao (hapa utapata pia jibu nani kaenda mbele na nani karudi nyuma)

Munaambiwa huko nyuma israhell ilitumia 24masaa kutoka hapo kwenda entebee kuwaokoa mateka wake wote ila leo inatumia zaidi ya miezi tisa hapo ghaza jirani na wamekomboa mateka hawazidi wanne (utapata jibu nani kazidi uwezo nani kapungua)

Mwishi Binafsi naamini hii vita itaifanya israhell itambulike rasmi kama taifa ila kama haitatambulika ikaja ikapiganwa vita nyengine huko miaka ya mbeleni israhell hatoboi yaani hatoboi
 
Pole 😀
 
Ingekua kushushwa vifusi ndio ushindi muda huu ghaza ingekua mali ya wazayuni

Ngoja kwanza waliwezaje kukomboa mateka entebbe leo wahapo ghaza wanataka mpaka wapewe

Neta paka alitwambia malengo yake kuifuta hamas na kuokoa mateka mpaka sasa kakomboa mateka wangapi na kuifuta hamas

Tuliwaambia na naendelea kuwaambia ushindi anaoupata israhell ni kuvunja majengo na kuua kina mama na watoto ila kuokoa mateka wake mossad na washirika wake wameshindwa na musahau na kuifuta hamas idf na washirika wake wameshindwa na musahau
 
Yaani wewe upo kismayo sijui nakuru unaona ubaya wa hamas kuliko wakaazi halali wa ghaza

Wakaazi wa ghaza ukiwaekea pesa na hamas wanachagua hamas sababu wanajua ndio watu sahihi kwa palestina ila wewe unawaona hawafai
 
Kwani wewe muislamu ukiamua kuanzisha kundi lako kama hao ulowataja likawa lakuua na kuteka na kubaka watu halafu ukalipa jina kundi lako liitwe Allah Akbar ila lisiwe la kiislamu wala dini itakua kundi la kiislamu

Huo ujinga mlomezeshwa kuwatoka mnatakiwa mpigwe msasa kwel kwel yaani
 
Ugaidi ni dhambi mbaya. Wakiuwa wanatukuza mungu wao kwa kumuita allahu akibar. Acha wafe waende kwa shetani wao asiependa kuishi kwa amani
Kwakua wewe unaependa amani utaishi milele hongera😀
 
Yanahusiana na dini gani?
Paul makenza wa hapa kenya unajua alishtakiwa kwa kesi gani unajua?
Vijana mnapenda kupelekeshwa kama mbuzi😀
 
Wao ndio wana cha kupoteza maanake wataendelea kukimbilia kwa wanawake na watoto na matokeo yake kusababisha mauaji kuongezeka maradufu.
MUngu siku zote hujidhihirisha kwa njia zake adui wanaishia kugombana wenyewe kwa wenyewe, yule mzee gantz yeye alishaona hawezi kuendelea kuongoza na mtu mjinga akajitoa mapema kwa kujiuzulu
Hawa waliobakiwa hadi sasa wanapayukiana hadharani , gallant akimtuhumu netanyahu kuidanganya dunia
Hii vita tulisema itaiabisha sana serikali ya netanyahu na israel
 

Attachments

  • Screenshot_20240813-061309_Facebook.jpg
    269.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…