Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani.

Watu wanahesabu siku na saa kila uchao ili wakajiwekee historia ya kumchagua Rais Samia kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. Kila mmoja anasema ya kuwa ameridhishwa na uchapakazi wake na kazi kubwa iliyofanywa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ndio sababu watu wanataka kumrejesha tena ikulu ili aende akaendelea na kazi aliyokwisha kuianza . Mitaani hakuna habari za maandamano wala habari za kususia uchaguzi. Watu wanasema kwa kauli moja tu kuwa wanajiandaa kwenda Kutiki kwa Rais Samia.

Kwa hakika Rais Samia ni mtu wa watu. Kipenzi cha watanzania na chaguo la watanzania.
IMG-20251022-WA0002.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani.

Watu wanahesabu siku na saa kila uchao ili wakajiwekee historia ya kumchagua Rais Samia kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. Kila mmoja anasema ya kuwa ameridhishwa na uchapakazi wake na kazi kubwa iliyofanywa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ndio sababu watu wanataka kumrejesha tena ikulu ili aende akaendelea na kazi aliyokwisha kuianza . Mitaani hakuna habari za maandamano wala habari za kususia uchaguzi. Watu wanasema kwa kauli moja tu kuwa wanajiandaa kwenda Kutiki kwa Rais Samia.

Kwa hakika Rais Samia ni mtu wa watu. Kipenzi cha watanzania na chaguo la watanzania.View attachment 3493541

Kuna siku mwili wako utaburuzwa mitaani kama askari wa USA huko Somalia. Kuwa na utu kwa wenzako akina Mdude na Soka et al waliotekwa
1761413240757.jpeg
 
Ni wajinga tu na machawa kama wewe ndiyo mtakaoshiriki kwenye huo upuuzi wenu.
Watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua watashiriki kikamilifu kabisa uchaguzi na kumpigia kura za ndio Rais Samia.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani.

Watu wanahesabu siku na saa kila uchao ili wakajiwekee historia ya kumchagua Rais Samia kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. Kila mmoja anasema ya kuwa ameridhishwa na uchapakazi wake na kazi kubwa iliyofanywa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ndio sababu watu wanataka kumrejesha tena ikulu ili aende akaendelea na kazi aliyokwisha kuianza . Mitaani hakuna habari za maandamano wala habari za kususia uchaguzi. Watu wanasema kwa kauli moja tu kuwa wanajiandaa kwenda Kutiki kwa Rais Samia.

Kwa hakika Rais Samia ni mtu wa watu. Kipenzi cha watanzania na chaguo la watanzania.View attachment 3493541

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mitaa ipi hiyo?
 
20251024_065348.jpg
Hakuna hamasa yoyote wewe kidampa wa mafisadi .

Hamasa aliyonayo yeye ni damu za watanganyika.
20251013_023949.jpg
 
Back
Top Bottom