Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Kuna siku mwili wako utaburuzwa mitaani kama askari wa USA huko Somalia. Kuwa na utu kwa wenzako akina Mdude na Soka et al waliotekwaNdugu zangu Watanzania,
Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani.
Watu wanahesabu siku na saa kila uchao ili wakajiwekee historia ya kumchagua Rais Samia kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. Kila mmoja anasema ya kuwa ameridhishwa na uchapakazi wake na kazi kubwa iliyofanywa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ndio sababu watu wanataka kumrejesha tena ikulu ili aende akaendelea na kazi aliyokwisha kuianza . Mitaani hakuna habari za maandamano wala habari za kususia uchaguzi. Watu wanasema kwa kauli moja tu kuwa wanajiandaa kwenda Kutiki kwa Rais Samia.
Kwa hakika Rais Samia ni mtu wa watu. Kipenzi cha watanzania na chaguo la watanzania.View attachment 3493541
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniZero Msandambwa ni miuzi yake ya kulamba makalio, mtu wa hovyo kuwahi kutokea Jamiiforums👎🤮
Njoo mtaani nikuonyesheWewe ni mtu wa propaganda hebu tuonyeshe hiyo hamasa mitaani.
Watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua watashiriki kikamilifu kabisa uchaguzi na kumpigia kura za ndio Rais Samia.Ni wajinga tu na machawa kama wewe ndiyo mtakaoshiriki kwenye huo upuuzi wenu.
Mitaa ipi hiyo?Ndugu zangu Watanzania,
Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani.
Watu wanahesabu siku na saa kila uchao ili wakajiwekee historia ya kumchagua Rais Samia kuongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. Kila mmoja anasema ya kuwa ameridhishwa na uchapakazi wake na kazi kubwa iliyofanywa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.
Ndio sababu watu wanataka kumrejesha tena ikulu ili aende akaendelea na kazi aliyokwisha kuianza . Mitaani hakuna habari za maandamano wala habari za kususia uchaguzi. Watu wanasema kwa kauli moja tu kuwa wanajiandaa kwenda Kutiki kwa Rais Samia.
Kwa hakika Rais Samia ni mtu wa watu. Kipenzi cha watanzania na chaguo la watanzania.View attachment 3493541
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama umeamua kuleta story humu basi ungeweka hata video fupi (isitumalizie bando) yenye kuonyesha hiyo hamasa ya wananchi wote sio hamasa ya wanaCCM pekee.Njoo mtaani nikuonyeshe
Dah! Jamaa kapata cha mbwa koko.
Mitaa ya TanzaniaMitaa ipi hiyo?
Wiki ijayo tunakwenda Kutiki tu kwa Mama.View attachment 3493548Hakuna hamasa yoyote wewe kidampa wa mafisadi .
Hamasa aliyonayo yeye ni damu za watanganyika.View attachment 3493549
Kumbe mnaenda kutikisa viuno wewe punda wa mafisadi .Wiki ijayo tunakwenda Kutikisa viuno tu kwa Mama.
Na ndio hawa wetu tutacho wafanya sasa.. wao si wameisha zoea kutuona hatuwezi fanya jambo loloteDah! Jamaa kapata cha mbwa koko.
Jaribu uandamane ukione cha Mtema kuniNa ndio hawa wetu tutacho wafanya sasa.. wao si wameisha zoea kutuona hatuwezi fanya jambo lolote
We kenge usi rudie kuni quoteJaribu uandamane ukione cha Mtema kuni