Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

Wapiga kura wakifika milioni 2 njooni mninyonge
 
ccm wengi wnakuja mikutanoni sababu ya posho, ila kitakachotoka tar 29; hiadhi maneno yako, watakaopigakura ni kama hawakupiga, yaani wataingia kuziharibu. Wote hatumtaki chura kiziwi. Tukutane hapa 29 usijifiche baada ya hapo
 
Hao watu sijawaona Mimi. Kila ninaye muuliza anasema hashiriki
 
Machawa kama wewe ni moja ya mzigo mzito sana tulionao kama Taifa 😡😡
 
Kahaba kalaaniwa huyo ...kwanza kaanza kuzuia huduma za simu zimeanza kuwa nzito
 
Labda mtaa wa familia yenu. Mtaani kwetu yale majina yameshachanwa na watu hawako tayari kupiga kura, bora washinde ndani hiyo siku.
 
Ukiandamana tu basi miguu yako ni halali ya virungu.
Your browser is not able to play this audio.


Nipo tayari kulipa gharama kulikomboa taifa langu.. Ikiwezekana kufa kwa ajili ya nchi yangu na ikiwezekana kuwa sadaka kwa ajiri ya vizazi vingi. Mauti haina nguvu kwangu, hofu ilishajifia.. Nitakutafuta baada ya November, nikuua kwa mkono wangu mwenyewe.. labda ufe kabla ya November
 

Hamasa wa Raisi na picha za jeshi wapi wapi! uchaguzi wanaenda machawa na ndugu wa viongozi tu
 
Wacha uongo wewe kapuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…