Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Fuatilia mwisho wao, utapata majibu, Anaweza asiadhibiwe yeye, ukapigwa uzao wake, ni kanuni ndivyo inavyosema
Ezekieli 18:20 (KJV) Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.

Acha kudanganya watu wewe. Baba/mama achole tattoo niadhibiwe mimi? Ilo halipo.
 
In short haileti picha nzuri,,,assume unampeleka ukweni mpenzi wako aliyejichora tattoo,,,ni picha gani itaonekana huko ukweni?
 
Aisee
 
Kwani nini faida ya kujichora hizo tatoo?

Kwa wale wanao amini imani za kidini je maandiko yameruhusu?

Binafsi siwezi kujichora alama yoyote kwny ngozi yangu,kufanya hivyo naamini namkosoa Mungu wangu kwa kuniumba jinsi nilivyo!
 
Kama tattoo zako zinahesabika tafsiri yake hujawa nazo za kutosha. Chapa tattoo mwili mzima tushindwe kuzihesabu.

Kalomo mfyeto
OVA
 
Maandiko ya vitabu vya dini za kimapokeo ukiyatazama kiimani utafeli, mengi ni kwa ajili ya maisha ya hapahapa duniani.

Mengi ni kwa ajili ya kutu-shape tu, mfano michoro, kwa wamarekani ilianzishwa na watumwa kufikisha ujumbe fulani kama ilivyo michoro ya kwenye mapango na mapiramidi ambapo kwa marekani ndio zile "graffit"

Sasa mzungu baada ya manyanyaso yote anajitahidi kututuliza hasira ndio akaja na maandiko uchwara mara samehs saba mara sabini. Hata hiyo michoro ya mwilini ni kuzuia weusi kuzungumza lugha ya michoro kwa kuwa wakizungumza kwa mdomo wangejikuta matatani.

Mbona wao ndio mahiri wa tattoo huku Mungu ndio alijidhihirisha kwao nao wakatuletea neno huku?
 
Kwa hilo tupo pamoja, kwa wanawake wengi huwa malaya mno.
 
Hawa wachoraji huenda hawajakamilika au kutokana na kuona maungo mara kwa mara hawana hisia za haraka tena

Sawa na wasafisha kucha na miguu
 
Hata Henna (Inna) wanazopaka mabinti wa mwambao (Wengi Waislamu) wakati wa harusi ni tattoo...
Nimeona hadi wengine wanaume maustadhi wanapaka ile rangi kwenye ndevu...
Hawa nao wana matatizo kama wale wengine ???
 
Mungu anisaidie kilichofanya nisichore tattoo ni hofu ya Mungu kua nikifa ntamuambia Nini Mungu yaani naenda na ushahidi kabisa ila kukosa hvyo ningechora kipepeo kiunoni
Ujinga wetu tu, mwili utaenda nao wapi?

Imani kitu kibaya sana
 
Kuna watu wana tattoo na wana akili na mafanikio makubwa kuliko wanaokemea hapa pamoja na uzee wao ni mafukara tu.

Asilimia kubwa ya watanzania hawana tattoo kuliko wenye tattoo, twende kitakwimu, wahuni, wavuta bangi, malaya, watu wa hovyo wanatoka kundi gani? Kwa ushahidi.

Kalito wa samaki samaki amesiliba kabisa tattoo ila ana akili na hela kuliko wanaojifungia vyumbani kukariri mavitabu ya dini ambayo nayo hawayaelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…