ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Sio tabia tu, ata akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ezekieli 18:20 (KJV) Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.Fuatilia mwisho wao, utapata majibu, Anaweza asiadhibiwe yeye, ukapigwa uzao wake, ni kanuni ndivyo inavyosema
Nawajua wana vitengo kadhaa tena PSU na wanazo na issue zao ni ganja tu hata pombe hawatumii na suti mnawaona..
ni urembo tu kama kupaka piko kwa madem!![]()
Haha hahah hHahww umeshajua?, duh chora na ww kwakuwa ni zaidi ya lango
Mkuu ,
Jibu hojaTatizo mnaojifanya watu wa rohoni (mambo ya kusadikika) hua mnajikuta wajuaji sana na ole wa mtu atofautiane na story zenu mnamshukia kama mwewe na kumpa majina yote mabaya mabaya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
AiseeKwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo?
Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.
Mabinti wengi wenye tatoo hawaithamini tena miili yao, ndio maana wako tayari kufanywa popote ili mradi tu wapate pesa.
Wengi baada ya kuchora tatoo wakajikuta wana hamu ya bangi, sigara na madawa ya kulevya.
Hata Mungu mwenyewe ndio maana alikataza kuchora tatoos.
Law 19:28 SUV
Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA
Rashidi?Naona ushuhuda huu upelekww kwa Bab askofu gwajima
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maandiko ya vitabu vya dini za kimapokeo ukiyatazama kiimani utafeli, mengi ni kwa ajili ya maisha ya hapahapa duniani.Kwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo?
Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.
Mabinti wengi wenye tatoo hawaithamini tena miili yao, ndio maana wako tayari kufanywa popote ili mradi tu wapate pesa.
Wengi baada ya kuchora tatoo wakajikuta wana hamu ya bangi, sigara na madawa ya kulevya.
Hata Mungu mwenyewe ndio maana alikataza kuchora tatoos.
Law 19:28 SUV
Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA
Hawa wachoraji huenda hawajakamilika au kutokana na kuona maungo mara kwa mara hawana hisia za haraka tenaUshawahi kutana na mwanamke kachora tatoo kwny sehemu zake za siri?
Hebu angalia Hii picha chini
Nini kinakuijia kwa haraka haraka akilini mwako ,kabla na baada ya zoezi la uchoraji.
Kama una wivu Sana,
Ukimuwazia sana mchoraji,
Hata tendo lenyewe huwezi kufurahia.[emoji4]
View attachment 2478345
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga wetu tu, mwili utaenda nao wapi?Mungu anisaidie kilichofanya nisichore tattoo ni hofu ya Mungu kua nikifa ntamuambia Nini Mungu yaani naenda na ushahidi kabisa ila kukosa hvyo ningechora kipepeo kiunoni
SafiWale wa nabii mkuu joe davie nao wako kundi lipi?
Ok, Kwa hiyo Kila anayetukana mitusi ya nguoni kachora tattoo?Lionel Messi curses at Valencia fans-utakuta kamimina mitusi ya nguoni