Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Mkatoliki mwenzio
Mimi siyo Mkatoliki na pia sina ujinga wa udini wala ukabila, akichaguliwa mtu dini /dhehebu langu au kabila langu hainisaidii kitu wala kunipunguzia kitu hivyo dhana hiyo ni ya kipumbavu, akichaguliwa muabudu shetani kama anatenda haki na ni mzalendo nitamuunga mkono.
 
Huyo makonda si afadhali Ridhiwani akawa Rais!, Mwigulu ni Takataka kabisa, Tulia hata huo ubunge hatoupata tena.... Nanuka ni motivation speaker mpumbavu anadanganya vijana ....
 
Naona jamaa anamchukulia Lissu kizembe sana, yule jamaa ni mtu na nusu. Ukipambana nae unapaswa ujipange haswa.
 
Hapo tulia mtoee kabisaa ni mwanamke umesahau🤣🤣🤣
 
Kwamba ccm itaendelea kututawala? Rais wa Tanzania kwa 2030 ni Mh Tundu Antipas Lissu...period.
Uyo si tunajua ni raia wa 🇺🇸 Marekani kama kugombea chaguzi yao bado kwasasa tunaongelea Uchaguzi wa Tanzania ✍️
 
Kama sio zambi wekeni na rist ya Viongozi pendekezwa kutoka CHADEMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…