Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

Kuongea tuu unajiumauma, akili zitakuwepo wapi?
 
Mkuu Mimi Shida yangu moja napima akili ya mtu kwa pesa yake... Na Pesa haitaki kelele.. Sasa nashindwa kukuamini manake sijui una ukwasi wa kiasi gani au akiba beigani... Thibitisha hilo kwanza unless uwahishwe kwa wataalaam utaponaa...
 
Sawa mkuu... Hongera zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ