Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Ni wazi hapa mikaya anamfafanulia mfalme juu ya tabiri zote za uongo kutoka kwa manabii 4000,kwamba zinatoka kinywani mwa manabii ambao wamejazwa uongo na pepo,isipokuwa anachomwambia yeye ndio uhalisia wenyewe.

Biblia ni kitabu kizuri sana ila soma kwa utulivu usiresite(kariri)kama kasuku,utauona ukuu wa yaliyomo humo.
 
Acha uongo kwenye hiyo video hakuna sehemu aliyosema Ibrahim alikuwa muisrael,, bali ni muhamiaji tu kutoka uru ya wakaldayo (Iraq ya sasa)
 
SIna shida na uislam,nina shida na upumbavu wa waislam,nashangaa mtu timamu anakuwaje muislam,hivyo tu yaani.
BASI NAKUTOA MASHAKA NA UISLAMU.
AYUBU, 4:5-6 Inasema...
5 Lakini sasa haya yamekufikilia wewe, nawe wafa moyo; Yamekugusa, nawe wafadhaika.

6 Je! Dini yako siyo mataraja yako, Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?

3:19, QUR-AN. DINI YA MUNGU NII HII, WEWE KAFIRI FUATA YA KWAKO MWENYEWE...

19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

QUR-AN 43:68-70. Matarajio ya Waidslamu ni kwenda PEPONI Wewe baki na wivu wako...

68. Enyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika.

69. Ambao waliziamini Ishara zangu na walikuwa Waislamu.

70. Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa humo.

Sasa wewe kama una dini basi lete andiko kama dini yako itakupeleka peponi.
 
Ninaifahamu bibilia viziri, kwanza unatakiwa uekewe kwamba Bibilia sio kitabu cha Mungu. Yesu alifunuliwa INJILI na sio bibili, hakuna mtume/nabii yeyote duniani alifunuliwa bibilia
2) Katika bibilia kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo, hata hilo neno tu "BIBILIA" halimo.
3) Ktk bibilia pia hakuna hata neno UKRISTO.
KTK bibilia kuna BAADHI ya maneno matakatifu ya Mungu na BAADHI ni maneno ya watu. Mfano wa maneno ya Mungu (YOHANA, 8:40) na ya watu (LUKA 1:1)
 
Mungu hana dini wewe mobaz,hiyo ni dini ya Allah na mtume.
Muhammad mwenyewe hajui hatma yake,ndio kiongozi wa mfano ktk uislam๐Ÿ˜„

kwahiyo wewe umeamini uislam sababu quran imejiandika ndil dini ya kukupeleka peponi๐Ÿ˜
kobaz jau sana.
 
Basi hekalu ni la wakristo ๐Ÿ˜ƒ
 
Tatizo lako wewe hauna elimu juu ya imani yako nwenyewe, ndio maana una chuki dhidi ya waislamu wenye dini ya kweli mbele ya Mungu.
QUR-AN, 3:67
67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
Kuwa na chuki dhidi ya waislamu hakuta kusaidia chochote ktk maisha yako.
Kamaunahitaji elimu juu ya ibada ya HIJA sema uelimishwe juu ya hiyo ibada.
Kama kuhusu kusujudu basi elewa kuwa waislamu popote duniani, wanamsujudia Mungu, wakielekea uelekeo mmoja wakielekea iliko AL-KAABA, kwajina jengine tukiwa nje ya Makka tunaita KASKSZINI.
USIWE KTK WENYE KUPOTOSHA.
 
Ninaifahamu bibilia viziri, kwanza unatakiwa uekewe kwamba Bibilia sio kitabu cha Mungu. Yesu alifunuliwa INJILI na sio bibili, hakuna mtume/nabii yeyote duniani alifunuliwa bibilia
Unaifahamu biblia vizuri na hujui biblia ni nini๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†,yaani huu utangulizi tu ni ishara kwamba wewe ni kibungo ktk biblia.
2) Katika bibilia kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo, hata hilo neno tu "BIBILIA" halimo.
Haliwezi likawemo sababu kilichomo ndani ya biblia sio biblia,sawa kobaz???
ndani ya biblia kuna torat,zaburi,injili.
Umeelewa sasa kobaz??
3) Ktk bibilia pia hakuna hata neno UKRISTO.
Ukristo umekuja baada ya content zinazoifanya biblia kuwepo tayari,inatakiaa ujifunze zaidi ili ujue namna ya kujenga hoja.
KTK bibilia kuna BAADHI ya maneno matakatifu ya Mungu na BAADHI ni maneno ya watu. Mfano wa maneno ya Mungu (YOHANA, 8:40) na ya watu (LUKA 1:1)
Quran inasemaje kuhusu maneno ya Mungu??
Je yanaweza kuchanganyaa,kubadilishwa ama kufutwa??au huu ni msimamo wako binafsi??
 
Mungu hana dini wewe mobaz,hiyo ni dini ya Allah na mtume.

Muhammad mwenyewe hajui hatma yake,ndio kiongozi wa mfano ktk uislam๐Ÿ˜„

kwahiyo wewe umeamini uislam sababu quran imejiandika ndil dini ya kukupeleka peponi๐Ÿ˜
kobaz jau sana.
Nini maana ya ALKAH?
WEWE DINI YAKO INAKUPELEKA WAPI, MBONA HUSEMI?
 
Tatizo lako wewe hauna elimu juu ya imani yako nwenyewe, ndio maana una chuki dhidi ya waislamu wenye dini ya kweli mbele ya Mungu.
Yeyote anayechambua uislam huchukuliwa ni mwenye kuuchukia,hata anaweza kuuawa.
Huu ndio ufanano wa akili za mbu,i na za muislam yeyote,hawajui kutofautisha mtu anayechambua kitu na anyekichukia.
QUR-AN, 3:67
67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
Kuwa na chuki dhidi ya waislamu hakuta kusaidia chochote ktk maisha yako.
ibrahim hakuwa mkristo sababu alikuwepo miaka 4000 kabla ya ukristo ila ni myahudi,tafadhali behave kama mtu aliyetafiti kidogo usiwe kiazi kama mtume na Allah,walishindwa hata kujua kwam a ukristo ni mchanga kuliko ibrahim.
Kamaunahitaji elimu juu ya ibada ya HIJA sema uelimishwe juu ya hiyo ibada.
wewe kiazi unielimishe hija mimi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ,
Kama kuhusu kusujudu basi elewa kuwa waislamu popote duniani, wanamsujudia Mungu, wakielekea uelekeo mmoja wakielekea iliko AL-KAABA, kwajina jengine tukiwa nje ya Makka tunaita KASKSZINI.
USIWE KTK WENYE KUPOTOSHA.
Namimi ndivyo nilivyosema,kwamba unasujudia ALLAh ambahe yuko ktk kaaba.
 
Nini maana ya ALKAH?
WEWE DINI YAKO INAKUPELEKA WAPI, MBONA HUSEMI?
Mimi dini yangu itanipeleka alipo Yesu kwa sasa,huko hayuko Allah wala mtume.

Na atakuja kunifata siku ile,na lazima na Muhammad afufuke ajibu kwanini kaharibu watu kiasi hiki.
 
Yesu analalamika juu ya wachungaji wenu wanawapotezeni.
(50:6 Yeremiah)
Sasa shida iko wapi๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Hapa math 24:11
Anatuonya kuhusu watu kama Muhammad pia,sisi tunajua kila kitu.
 
Mimi dini yangu itanipeleka alipo Yesu kwa sasa,huko hayuko Allah wala mtume.

Na atakuja kunifata siku ile,na lazima na Muhammad afufuke ajibu kwanini kaharibu watu kiasi hiki.
Huyo Yesu unaye mtegemea yeye mwenyewe anaenda Motoni kwa mujibu wa ninilia yako. (WAGALATIA 3:13) Kweli wachungaji wamekupoteza. Ulisikia wapi aliye laaniwa na Mungu anaenda uzima wa milele?
Muislamu kufa sio ishu, maana ili uingie peponi lazima ufe kwanza. Ila peooni haingii kafiri.
 
Huyo Yesu unaye mtegemea yeye mwenyewe anaenda Motoni kwa mujibu wa ninilia yako.
Ni swala la kuelewa tu,najua unapata shida ntakuelewesha taratibu utaelewa.
(WAGALATIA 3:13) Kweli wachungaji wamekupoteza. Ulisikia wapi aliye laaniwa na Mungu anaenda uzima wa milele?
Yesu ni mkuu kuliko hiyo kuzimu.
Muislamu kufa sio ishu, maana ili uingie peponi lazima ufe kwanza. Ila peooni haingii kafiri.
Pepo ambayo mtume haijui na hana uhakika nayo,na ndiye alikuletea quran yenye muongozo na kisha akawa muislam wa mfano๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Hivi ujasiri unautoa wapi??
 
Sasa shida iko wapi๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Hapa math 24:11
Anatuonya kuhusu watu kama Muhammad pia,sisi tunajua kila kitu.
Kama unajua kila kitu basi wewe ndo mungu mwenyewe maana Yesu yeye hajui kila kitu, wewe umemzidi hadi Yesu. Uko vizuri.
(Mathsyo 24:36) inathibitisha kua Yesu hajui kila kitu.
Wewe ni mzushi, na bibilia yako imenikataza kujibizana na mtu mzushi. (TITO,3:9-10) inaniamuru nikujatae, kwani wewe ni MUWONGO TENA UMEPOTOKA.
 
Kwani Allah anajua kila kitu??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Imagine tu anadhani sisi wakristo tunamwabudu mariam๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ,farasi sana.
 
Kwani Allah anajua kila kitu??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Imagine tu anadhani sisi wakristo tunamwabudu mariam๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ,farasi sana.
WEWE NI MZUSHI. YESU KASEA HAKUA AJUAYE SIKU WALA SAA, WEWE UNAJUA KILA KITU, WEWE NI MZUSHI TENA UMEPOTOKA.

(TITO, 3:10-11)
10 Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, mkatae;

11 ukijua ya kuwa mtu kama huyo amepotoka, tena atenda dhambi, maana amejihukumu hatia yeye mwenyewe.

NINAKUKATAA KWA AMRI YA MUNGU KAMA ISEMAVYO BIBILIA.
 
Kwani Allah anajua kila kitu??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

64:4, QUR-AN
4, Anajua viliomo katika mbingu na ardhi, na anajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliomo vifuani
 
Yesu alijibu hivyo na akataja dalili za siku hiyo,unaamini alikuwa hajui??

Huyu hapa ni Allah mwenyewe Quran 5:116-117

haujui msimamo wa imani ya kikristo nakuonyesha unasema mimi mzushi๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ