IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Na yule wa Sadist wa Chato yupo kundi gani?Hawa ndio walikuwa mashujaa wa Africa
Muamar Gadafi mbona simuoni
Huyo Mjenga misikiti wa Nini hapo?Muamar Gadafi mbona simuoni
Hivi Gadafi unaweza mfananisha na kiongozi gani kwa kuwaongoza poa watu wake? Hivi hujui jamaa aliifanya libya kuwa dona kantre?Huyo Mjenga misikiti wa Nini hapo?