Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mgonjwa wewe, acha akili za kinyumbuNa yule wa Sadist wa Chato yupo kundi gani?
Na yule wa Sadist wa Chato yupo kundi gani?
Hao ulio wataja hawafikii vichwa hivyo hata roboHivi sasa tunao kina Ndugai, Kibajaji, Msukuma, Gwajima, Zungu nk
Ngoma droo...
Ficha ujinga wakoHuyo Mjenga misikiti wa Nini hapo?
Sio kweli hafananii kabisapembeni ya mwinyi mrefu kavaa nguo nyeupe... ni Marehemu Maalim seif
Sio kweli hafananii kabisa
Mzee Joseph Sinde Warioba naona aliamua kulegeza kifungo cha shati.
Pia namuona Salim A Salimpembeni ya mwinyi mrefu kavaa nguo nyeupe... ni Marehemu Maalim seif