mjuba siku hizi waislam nao wanafanya harusi za anasa na ghali kama wale ndugu. Wanakodi ukumbi, shoo kama zote, misosi ya gharama kila meza watu watano, wanapiga pamba kali za kidunia, unaweza usione hijabu, mitandio, kanzu, baraghashia wala uislam ukumbini harusi inakuwa ni ya kimagharibi full mzuka. Kuna wakati nilidhani harusi ni ya kimagharibi kumbe ni ya kiislam maana sikuona uislam ukumbini hata chembeKote hakuna ulazima wa kufanya hayo,ila asili ya tukio lenyewe ndio linafanya hata hawa waislam waliokuwa hawafanyi nao kuanza kufanya.
Hapo unapoanza kuhalalisha mchele,mbuzi na dufu ndio mwanzo wa safari hiyo ya gharama isiyo na kikomo kutegemea tu uwezo wa maharusi.
Pesa zinahitaji discipline sana mkuu, tena hao wanaozitafuta sana ndio wachumi namba moja.Tafuta pesa mkuu, maisha ni kufurahia na wenzako
kama unatambua kuhusu uwepo wa matabaka ya kiuchumi basi hiyo issue ya kiingereza wala sio ya kukuumiza kichwa.Hamna wengi wanaopenda ndoa na harusi za gharama kubwa vingreza huwa havikauki mdomoni sema huwa wanawapata wenza wanawapiga matukio hatari mpaka unasema hivi huyu mwanamke mbona hana huruma kwa mwenzake(amesahau kabisa bwana wake aliunguza milioni mia kwenye event yao).
Sema maisha haya Mungu amfanyie kila mtu wepesi apate kile kilicho bora kwake
Sijasema kiingreza kinaniumiza kichwa kiongozi sema tu milio yao ndio huwa inanichekesha maana huwa wanatia huruma mpaka unasema lakini fulani si tulikwambia?kama unatambua kuhusu uwepo wa matabaka ya kiuchumi basi hiyo issue ya kiingereza wala sio ya kukuumiza kichwa.
Sidhani kama wanajitafuta sema wanashindana na waliowazidi, watafute pesa sio kwa ajili ya show-off, wajiwekeze kwa ajili ya future.Pesa zinahitaji discipline sana mkuu, tena hao wanaozitafuta sana ndio wachumi namba moja.
Wengi wa waoaji bado wanajitafuta, watafute pesa sio kwa ajili ya show-off, wajiwekeze kwa ajili ya future.
Suala la kutia huruma halina hati miliki. Uwe ulifunga ndoa ya gharama au ya bei chei kutia huruma kupo palepale.Sijasema kiingreza kinaniumiza kichwa kiongozi sema tu milio yao ndio huwa inanichekesha maana huwa wanatia huruma mpaka unasema lakini fulani si tulikwambia?
matabaka ya uchumi? Basi wanaofanana uchumi wachangiane wenyewe kwa wenyewe huko. All in all kuchangiwa ni aibu, maana yake hujiwezikama unatambua kuhusu uwepo wa matabaka ya kiuchumi basi hiyo issue ya kiingereza wala sio ya kukuumiza kichwa.
zawadi hutegemeana na hazina iliyopo mjuba, zawadi haina ukomo, unachoangalia unamzawadia nani na ataithamini vipi hiyo zawadi. Huwezi kuchukua maji kwenye kikombe ukamwage baharini ili bahari ijae, hicho ni kituko!Wewe kwa sasa una uwezo wa kumpa mtu zawadi ya milion 100 bila kuathirika kiuchumi ?
Sherehe bila pombe sijiMi ndoa yangu nimeplan isizidi 5M na mahari hukohuko ndani, hamna ukumbi, pombe wala mziki, na sitaki mchango wa mtu wala mimi sichangii harusi ya mtu.
Hiyo budget uliyoandika hapo pesa nyingi utakuta ni za kuomba michango , na ukichangiwa ujue na wewe lazima uje uchangie wenzako kwahiyo maisha baada ya hapo ni simu za michango kila siku.
Mi kuna mpuuzi aliniunganisha kwenye grp lake la harusi anataka michango nikajitoa kwenye grp akafuta namba zangu na mimi nikafuta zake, michango kibao ila ndoa haikutoboa miaka miwili
Kwenye uislamu hata laki 5 watu wanamaliza jambo ubwabwa unaliwa mchezo umeisha na hakuna atakayekucheka au kukushangaa.Ndoa za wakristo ni tabu tupu kuna muda nawaza kubadili dini niwe mjukuu wa mtume tu(hawana mambo mengi linapokuja jambo la ndoa sema sasa talaka zao zinavyotolewa kama njugu,nguvu inaisha kabisa).
Imagine ushatoboka 20+m mtoto wa mtu baada ya mwezi anaanza mauza uza(kataa ndoa kuna muda wanabeba point za bure tu)
Kwenye uislamu hata laki 5 watu wanamaliza jambo ubwabwa unaliwa mchezo umeisha na hakuna atakayekucheka au kukushangaa.Ndoa za wakristo ni tabu tupu kuna muda nawaza kubadili dini niwe mjukuu wa mtume tu(hawana mambo mengi linapokuja jambo la ndoa sema sasa talaka zao zinavyotolewa kama njugu,nguvu inaisha kabisa).
Imagine ushatoboka 20+m mtoto wa mtu baada ya mwezi anaanza mauza uza(kataa ndoa kuna muda wanabeba point za bure tu)
Uzuri wa kijijini watu wote wanaalikwa kuhudhuria sherehe lakini mjini hadi ulipie kadi ndio uhudhurie kwa hiyo hata jirani wa karibu akikosa hela ya kadi haudhurii.Harusi na ndoa ziko kijijini bana,huku town kila kitu ni fake.
nakumbuka kanisa la kijijini lilikuwa linajaa siku ya harusi,maana mpaka waislam walikuwa wanakuja siku hiyo,ni full shangwe,baada ya watu kula kiapo mnaondoka mnaimba mpaka eneo la harusi sasa,utapigwa mpunga + pilau + juice colla wa hatari.
Huku town ndugu na jamaa wa wanandoa mko 18,walibaki wote ni wakodiwa kwa kazi mbali mbali,hapo bado kuna magari ya kukodi,kumbi za kukodi nk.
Ndio maana watu wanauana mtu umepoteza milioni 20 halafu unagundua kuna wasela wanamla bure tu na mwanamke hajali ukimuuliza anakujibu fanya utakalo.Sipendi uhuni lakini maisha yamenifanya niwe muhuni asee.Hivi utakubali kweli umefunga ndoa na harusi juu yake bado hujaweka mahari(kwa hesabu ya haraka haraka vyote unaweza kujikuta hesabu inaenda 20+m bado mtoto wa mtu baada ya wiki anakwambia ujue kuna wanaume wengi wananitaka.Dah!sio kweli.Bora sogea tuishi tu ntalipa mahari kwisha habari yako)
Una hesabu kama zangu,ya nini kupotezeana muda na pesa kwa jambo ambalo upo uwezekano wa kulimaliza siku 1 tu.Mfano niki oa, Mimi watu hawato zidi 50, na hakuna kuchanga hata 100 mbovu.
just a simple and chilling wedding, maana niki sema iwe ya wengi ukoo wetu wata fanya nipoteze mda na kukonda.
Tukio la siku 1 wata lifanya miezi 3-6 hukoo.
Hatari sana man hapo ndio maana habari za ndoa na harusi itakuwa ngumu.Ni mwendo wa mimba na sogea tuishi hakuna namnaNdio maana watu wanauana mtu umepoteza milioni 20 halafu unagundua kuna wasela wanamla bure tu na mwanamke hajali ukimuuliza anakujibu fanya utakalo.
πππππBaada ya miaka miwili kila siku safari kwenda kwenye mabaraza ya kata kusuluhisha ugomvi, Mahakamani kudai talaka.
Nilitaka niseme hivyo pia.Wewe hujawahi kuwa mwanakamati, hizo pesa kamati inachangia na pesa inayobaki unapewa km zawadi..!!
Pesa pekee ambayo utaitoa ni ile ambayo itanunua nguo zako na bi harusi tu..!!
Tatizo wao wamezoea harusi za kufanyia ukumbi wa kanisa, hapo lazima ulishe na kuwanywesha uliowaita..!!Nilitaka niseme hivyo pia.