Ongeza idadi kidogo,weka bajeti ya watu 100Nafikiri nita fanya simple ya watu 50 tu.
Ni ujinga wa hali ya juu, ni basi tu hatutafakari.Ukikaa ukatafakari kwa kina utagundua tukio zima la sherehe ya harusi ni la kitoto sana
Ujinga zaidi ni pale bwana harusi anapofanya sherehe ya kumuoa mwanamke ambaye kashatumika
Kweli malaya wa kumfanyia sherehe?
Labda kwa wapigaji, wauza unga, na wanaonufaika na mfumo bila kufanya kazi - kama watoto wa mkuu wa usalama wale wanavyotapanya pesa - lkn kwa mfanyabiashara yoyote au muajiriwa, hiyo pesa akupe kwa siku moja - kizembezembe HAIPO hiyoTafuta hela za kutosha hicho ulicho andika hapo ni pesa ndogo sana ya kutoa mtu mmoja tu.
Na bado kila siku nyuzi za kuomba ushauri wa hiyo ndoa yakoAise huwezi amini harusi yangu ilikula 45M hivi hivi kama utani
Na Mimi nisikose kati ya hao 50 ,sawa kijana mshenzi?Mimi watu 50 wata tosha, sitaki mchango Wala mchongo wa mtu.
Kula, kunywa hivyo kawaida, na kingine mimi sipendi kelele 😂 🦅
Ila kweli mapenzi magumu siku hizi, eti wa Standard yangu na mjuaje?Chagua wa standard yako… hawezi kukujibu hivyo
Sio kweliNa bado kila siku nyuzi za kuomba ushauri wa hiyo ndoa yako
haina noma, bibi yako ata kutandikia mkeka ukae chiniNa Mimi nisikose kati ya hao 50 ,sawa kijana mshenzi?
Ulivyo andika ni kama we ndo mke mwenyewe, 😂 😅Ongeza idadi kidogo,weka bajeti ya watu 100
1. Ndugu upande WA mke 20
2. Ndugu upande wako 20
3. Watu baki(wafanyakazi wenzako,majirani,jamaa na marafiki zako na mkeo) wawe 50
4.wazamiaji 10
Mambo yanakuwa mukide mukide!!!
Napendelea mtindo huu.Harusi sema tunazitia ugumu,ila kuna zile za misa za asubuhi za katoliki za kila siku, ibada nusu saa nimeshashuhudia ndoa nyingi, watu wanaoana baada ya hapo mdogo mdogo wanarudi home kwa miguu,hamna mambo mengi kabisa kama hamna kilicho tokea.
Ila ndio hivyo tunalazimisha, siku hizi kuna wengine wenye hela wana bridal shower, sijui bag party ,ukija kwenye send off na ndoa yenye ni ititiri wa gharama. Halafu ndoa yenye baada ya miaka miwili chali.
Sherehe ya harusi,send-off, kitchen party ni shughuli za mwanamke mwanaume jambo lake huwa ni pale madhabauni tu ikiisha hiyo na yeye hana ajenda nyingine.Ukija kuangalia sana utagundua sherehe ni mambo ya kike.
Wanawake ndio wamesababisha harusi ziwe na mambo ya hovyo hovyo kama maids, mapambo, sijui saluni, keki, picha nk. Hata ukienda kwenye sherehe wanao enjoy ni wanawake. Sisi wanaume hua tumekaa tu tunawaza saa ngapi itaisha tuondoke zetu.
Ni wewe tu na mipango yako. Hizo sherehe na mambo mengi havijawahi kuwa ni maagizo popote katika imani ya kikristo.Ndoa za wakristo ni tabu tupu kuna muda nawaza kubadili dini niwe mjukuu wa mtume tu(hawana mambo mengi linapokuja jambo la ndoa sema sasa talaka zao zinavyotolewa kama njugu,nguvu inaisha kabisa).
Imagine ushatoboka 20+m mtoto wa mtu baada ya mwezi anaanza mauza uza(kataa ndoa kuna muda wanabeba point za bure tu)
Kwani kamati hizo pesa wanatoa mifukoni mwao ama ni pesa za michango ambayo bwana harusi/bibi harusi wamehusika kuwekeza pia?.Huwalipi wewe wanalipa kamati, kuna zile kamati ndogondogo kuna kamati ya burudani, humo wapo na maids ili kuchangamsha sherehe..!!
Na hao maids wanalipa kamati ili wapewe huo mchongo.
Ndoa za town kila kitu ni fake, kuanzia mionekano ya wanandoa(wanajipiga filters mpaka sura zinabadirika chunguza picha za wanandoa 90% utagundua kitu), wanandugu/marafiki wenye upendo feki, bado wanafeki dini/makanisa/dhehebu ili kurahisisha ufungwaji wa ndoa kwa pasta,Harusi na ndoa ziko kijijini bana,huku town kila kitu ni fake.
nakumbuka kanisa la kijijini lilikuwa linajaa siku ya harusi,maana mpaka waislam walikuwa wanakuja siku hiyo,ni full shangwe,baada ya watu kula kiapo mnaondoka mnaimba mpaka eneo la harusi sasa,utapigwa mpunga + pilau + juice colla wa hatari.
Huku town ndugu na jamaa wa wanandoa mko 18,walibaki wote ni wakodiwa kwa kazi mbali mbali,hapo bado kuna magari ya kukodi,kumbi za kukodi nk.
Si kweli, hao watu wenyewe huwa mnawadai kama vile wamekopa kausha damu, na mpaka wengine mnawaundia TUME ya ufuatiliaji na kuwapigia simu zisizoisha, kwani haya hatuyaoni mitaani?Unafikiri watu wote wanachanga kwa sababu hauna uwezo, watu wanakuchangia kukupa support na kuimarisha solidarity.
Yes..mambo haya ya michango michango mara kamati ni upuuzi hasa kwa sisi watu wa hali za chini..huwezi Kuona upuuzi huu kwa a class people...kama una jambo lako plan bajeti yako sisi wengine tuwe waalikwa tu...haya mambo ya michango ni jau sana.mi nachangia misiba, matibabu au kumshika mtu mkono anaepambana na umaskini.kama hutaki mambo mengi kwenye sherehe yako basi usiwe na kamati jichange chagua watu wako baadhi wape majukumu na pesa hapo utaamua unachotaka ila ukishaweka kamati jua sio maamuzi yako tena maana unachangiwa