fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Gesi ya mtwara haijauzwa huo ni uongo wa hali ya juu sana,pia wantukane ama wasimtukane samia ni mtu makini sana anaiendesha nchi kwa kufuata misingi ya utawala boraUmeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.
Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.
Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.
Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app