Hata kama Rais Samia haumkubali, si sahihi kumpuuza na kumwandikia jumbe zisizo na staha

Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Gesi ya mtwara haijauzwa huo ni uongo wa hali ya juu sana,pia wantukane ama wasimtukane samia ni mtu makini sana anaiendesha nchi kwa kufuata misingi ya utawala bora

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Hata mbowe ni baba na ana watoto na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani kumpa tuuma za kubumba cio sawa
 
Hakuna aliyekamilika chini ya Jua. Kwa kweli mimi naona Mama anafanya vizuri na kazi zinaonekana kufanyika bila kelele nyingiiii.. swala la machinga limefanyika vizuri sana bila kelele, washirika wetu wa maendeleo wamerudi na tunaona miradi ikitekelezwa kama ilivyopangwa. Ukweli usemwe na unafiki ujitenge..
Kwa hali ya kawaida kila binadamu anatamani kitu flani na sio rahisi kuwaridhisha watu wote kwa wakati mmoja, kwa maana hiyo pia mtu asitegemee mama akaonekana mzuri machoni pa wote. Wapo watakaomuona tofauti tu na ni mitazamao yao.
😍
 
Na Mbowe ana watoto na família kiujumla inamhitaji yeye sio aonewe kwasababu ya mitazamo tofauti na watawala.

Huyo Samia atakachokipanda ndicho atakachovuna na atakejeliwa bila ya kuangalia sura yake.
Hivi sura yake inaweza kumfanya mkosoaji aghairi kukosoa eeh!?
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Uzi wako unalenga kumtweza mama. Unajifanya unakemea maovu.
 
Mie naona sawa tu.Wewe hujui au huoni bei ya gesi au wewe kwako ipo tu inamwagika kama maji ya chemchemi kwa kutumia kodi zetu.Wengi wanaotumia kodi zetu wako kama wewe kwa sababu wanaagiza tu, peleka haraka gesi nyumbani sasa hivi na hiyo invoice mpelekee mhasibu alipe.Nakwaambieni nchi hii kuna watu wanateseka sana.
Mtoa mada hyo 'nb' yako si matusi kwa utawala mzima..au wewe unaona iko sawa?
 
Hakuna aliyekamilika chini ya Jua. Kwa kweli mimi naona Mama anafanya vizuri na kazi zinaonekana kufanyika bila kelele nyingiiii.. swala la machinga limefanyika vizuri sana bila kelele, washirika wetu wa maendeleo wamerudi na tunaona miradi ikitekelezwa kama ilivyopangwa. Ukweli usemwe na unafiki ujitenge..
Kwa hali ya kawaida kila binadamu anatamani kitu flani na sio rahisi kuwaridhisha watu wote kwa wakati mmoja, kwa maana hiyo pia mtu asitegemee mama akaonekana mzuri machoni pa wote. Wapo watakaomuona tofauti tu na ni mitazamao yao.
Kwani wewe mmachinga!? Maumivu yetu huyajui, usiropoke.
 
Nimeona clip kwenye TV za taarifa za habari zinazozungumzia bandari ya bagamoyo:
--Kwamba Samia anadai kulikuwa hakuna mkataba wowote uliosainiwa!!
--Clip nyingine Jakaya akiweka jiwe la msingi la bandari wakati wa utawala wake!!!
--JPM akipinga mkataba mbovu ambao ni wa kiuenda wazimu!!

Sasa Samia rasmi ameingia kwenye lile genge lililofilisi raslimali na fedha zetu chini ya JK.
Nina taarifa kuwa Samia aliwahi kuwa ----- wa Jk nimekasirika sana!!
JPM alikuwa mkorofi na jeuri na jambazi peke yake na wachache sana! JK alikuwa na mtandao wa majambazi. Sasa Samia ameurithi rasmi.

Tumpinga SSH kwa nguvu zote!! Apingwe usiku na mchana!!
Wazalendo wanapaswa kuangalia maslahi ya nchi na sio mapenzi kwa watu binafsi.
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Pamoja na yote, nadhani watu wanao mzunguka Rais SSH nao ni wachumia tumbo tu! Hawamshauri vizuri Rais wetu, wanayashauri vizuri matumbo yao tu!
 
Wazalendo wanapaswa kuangalia maslahi ya nchi na sio mapenzi kwa watu binafsi.
Sawa kabisa lakini mapenzi yao yawe binafsi kweli kweli wasiingilie maslahi ya nchi yetu! Sasa yule Rais aliyetuingiza kwenye janga kubwa la ufisadi anafanya nini ikulu yetu!?
 
Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha.

Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee.

Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake.

Na hata kama hana uwezo wa kuongoza kama Viongozi wengine waliopata kuwa lakini bado ni kiongozi wetu.

Mungu ibariki Tanzania.

Nb: Gesi ya Mtwara wazungu walishafanyaga yao kitambo!
Rais ni wa Jamuhuri ya Tanzania, ukiona mtu anashindwa kuwa na staha, huyo hafai kwa jua wala kwa mwezi...Mtu yeyote anayejitambua lazima aheshimu mamlaka iliyo juu yake kwakua mamlaka zote zinatoka kwa Mungu, haina maana uwe passive, but unatoa maoni yako kwa staha na utulivu.

Kutoa maoni ni haki ya kikatiba kama ilivyo kuheshimu viongozi wote wanaotambuliwa na hiyo katiba.
 
Matatizo yote ya nchi umsifie kiongozi utakuwa zuzu
Kumstahi na kumpa heshima yake kunahusiana vipi na kueleza tatizo liko wapi? Au unaona ukieleza tatizo pasipo kumkosea heshima hatasikia?
 
Back
Top Bottom