Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

Hata Mwl Nyerere ilifikia kipindi akaitwa kiongozi asiyeambilika, lakini hatujawahi kusikia viongozi waliomfuata wakimkosoa hadharani ughaibuni

Unapoandika utumbo huu kumbuka yafuatayo;
1. Wewe mwenyewe ni mtoto wa mwanamke

2. Angela Merkel katawala Germany zaidi ya miaka 16 na kuifanya Germany Taifa linaloongoza kiuchumi kwa Ulaya

3. UK ilikuwa mwanamama PM kuanzia 1979 hadi 1990

4. Israel ilikuwa na Golda Meir 1969-74

5. Cleopatra alikuwa mtawala wa Egypt mwaka 51-30 BC
We mburula tumia akili za kuzaliwa ukiwa unafanya comparison
 
Kawaida ya marais wote waislamu tulionao tz wanapenda kusujudia wazungu "mabeberu" kama mungu wao...kwao wabeberu ni ALLAH
You are speaking sacrilegiously about God! It is not ok!
"he was detained
 
Muache atoe ya moyoni mwake ili tumuelewe hakuwa pamoja naye katika baadhi ya mambo.

Muache atoe ya moyoni mwake ili tumuelewe hakuwa pamoja naye katika baadhi ya mambo.
Utajuaje ni kweli hutoka moyoni mwake na si kwamba anajitetea tu kwa kumbebesha lawama marehemu?

Wanasiasa sio wa kuwaamini.
 
..Mwalimu angekuwa mbaguzi, katili, na muuaji, viongozi waliomfuatia wangemkosoa na kumsema vibaya hata nje ya nchi.
Mkuu mbona waislamu walikuwa wakilalamika sana tu kuhusu ubaguzi wa Nyerere kwa waislamu, lakini pia udikteta ulikuwepo sana enzi zake.

Hata Lissu alishawahi kumsema vibaya Nyerere na watu wakamjia juu, Nyerere hakosolewi ni baba wa taifa.
 
Tofauti kabisa.Nyerere aliasa kwamba yale mlioyaona ni mema myaendeleze kwa wema.

Na yale "mahovyohovyo" muachane nayo.

Hivyo basi,alijipambanua kwamba hakuwa malaika.Tofauti na yule "mtukufu" ambaye mnataka(naye pia alipenda) aonekane kwenye picha ya umaridadi tu.Haiwezekani.
Nyerere ukimkosoa watu wanaona kama umemkosoa Mtume wa Mungu, Lissu alifanya hivyo bungeni na watu wakamjia juu.
 
Nyerere ukimkosoa watu wanaona kama umemkosoa Mtume wa Mungu, Lissu alifanya hivyo bungeni na watu wakamjia juu.
Siyo wote wenye mtazamo huo.Kama mtu anamtetea ampendae bila hoja fikirishi na ushawishi,anakwama.Binadamu asikosee yeye kama nani?Mungu?Hapana.
 
..tena Maza amemsitiri sana Jpm.

..angeweza kutoa siri zote mpaka za mambo ya kikatili ya awamu ya 5 lakini amekuwa mstaarabu kusema alichosema.
Aeleza tu na mbinu walizotumia kwenye uchaguzi 2020, maana Samia alisema hata iweje lazima ccm ishinde tu.
 
Poleni yatima. Kubalini matokeo kuwa Saigon Club imeshinda,wenye chama chao wamerudi nyie makinikia ya mwendazake kausheni tu.
Wewe ni 0marynda lazima!

Wengi waliomchukia Bashite ni sampuli yako.
 
Siyo wote wenye mtazamo huo.Kama mtu anamtetea ampendae bila hoja fikirishi na ushawishi,anakwama.Binadamu asikosee yeye kama nani?Mungu?Hapana.
Sio wote ila ndio wengi, kupitia Lissu tumeona hata humu kuna watu ambao ndio wanakuwa mashabiki wa Lissu ila siku ile hawakumsapoti kisa tu kamsema Nyerere.
 
Utajuaje ni kweli hutoka moyoni mwake na si kwamba anajitetea tu kwa kumbebesha lawama marehemu?

Wanasiasa sio wa kuwaamini.

Huyo alipata kwenda Nairobi kwa shughuli nyingine na alienda hospital ya Nairobi kumuona Lissu inasemwa aliporudi Tz, Magu alimchenjia kinyama kama post ya umakamu isingekuwa ya mgombea mwenza mama kibarua kingeota nyasi.

Huyo.ndiye alikuwa Magu asiyetabirika, mambo mengi aliyafanya kwa amri zake mwenyewe ikizingatiwa Makabila ya kanda ya ziwa wanadharau sana wanawake.
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Futa kabisa historia ya nduli wa chato
 
Tofauti kabisa.Nyerere aliasa kwamba yale mlioyaona ni mema myaendeleze kwa wema.

Na yale "mahovyohovyo" muachane nayo.

Hivyo basi,alijipambanua kwamba hakuwa malaika.Tofauti na yule "mtukufu" ambaye mnataka(naye pia alipenda) aonekane kwenye picha ya umaridadi tu.Haiwezekani.
Unazijua sifa za kiongozi bora?
Je mama yako amewahi kusema mapungufu ya baba yako kwa jirani yake?
 
Najiuliza ni kwa nini watu wanapambana na marehemu?

Nikafikiri inawezekana bado sauti yake inaongea ndiyo maana watu tunafanya kazi ya kujibu lakini ukweli kinachoongea ni kile alicholifanyia taifa yaani huwezi futa alama zake kwa maneno bali kwa vitendo kufanya mazuri kumpita huyo marehemu/hayati.

Ukiwa mtaani huku huwezi mkuta wananchi wanamuongelea hayati Magufuli kwa mabaya bali utawasikia watu wakisema tulimpoteza mtu wa maana katika taifa hili. Lugha nyepesi anapendwa maana kama kipindi yupo hai watu walisema kuwa anaogopwa lakini sasa hayupo hai watu wanamuogopa nani? Watu wanaomsemea mazuri sasa ndiyo wakweli maana hawana cha kuogopa.

Wiki iliyopita nimesikia wamama wakilalamikia hospitali fulani imefika wakati wamama wajawazito wanakufa kwaajili ya kukosa huduma. Na manesi wapo bize na stori na kuchat halafu wanawambia wagonjwa mkamwamshe Magufuli wenu huyo. Swali kwako mtoa mada. Je ni kwanini wahudumu wa afya wakawambia hayo wagonjwa? Je mnafikiri mtapendwa na wananchi kwa kumsema Magufuri vibaya? Ukitaka kuupata moyo wa mtu unatakiwa ufanye nini?

Ningeweza kuandika mengi sana kuhusu hii mada lakini kwa haya niliyoandika najua unaweza ukawasaidia wenzako ambao mpo pamoja katika kuiendesha nchi hii.

Ushauri wangu tuwe na upendo kwa watu na tuache unafiki na uroho utaliangamiza taifa hili.
 
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?

Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?

Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?

Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?

Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?

Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.

Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Tafasiri nyingine kwa sababu yeye Mama alijua katiba inasema akifa Dkt Magufuli yeye ndiye mrithi maana yake alimuua ili awe rais. Yaani sijui Mama kama huwa anapima kauli zake. Na ndiyo maana inaonekana hata siri za nchi labda alikuwa anazotoa kwa akina kigogo na mange kimambi, ila inasikitisha sana. Na kauli yake ya kazi iendelee kumbe your nawezekana ni kuendelea kuiibia nchi na kurudisha utawala wa kidhalimu na wa kifisadi. Tumuombee Mama yetu Mungu amfunue hilo blanketi machoni pake. Ila kama ni laana ya kumtenda Dkt Magufuli hakika kila afanyalo litakuwa anguko na ndiyo maana tunashuhudia yale yote yaliyopo mitaani kama minong’ono Mama anayasema hadharani na kudhihilisha kumbe kama vile alishiriki
 
Back
Top Bottom