Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
"Kuna wastaafu wengine wanawashwawashwa"Muasisi wa kuponda wenzake lazima apondwe rejea hotuba zake kadhaa amewabagaza sana kina Kikwete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Kuna wastaafu wengine wanawashwawashwa"Muasisi wa kuponda wenzake lazima apondwe rejea hotuba zake kadhaa amewabagaza sana kina Kikwete
We mburula tumia akili za kuzaliwa ukiwa unafanya comparisonUnapoandika utumbo huu kumbuka yafuatayo;
1. Wewe mwenyewe ni mtoto wa mwanamke
2. Angela Merkel katawala Germany zaidi ya miaka 16 na kuifanya Germany Taifa linaloongoza kiuchumi kwa Ulaya
3. UK ilikuwa mwanamama PM kuanzia 1979 hadi 1990
4. Israel ilikuwa na Golda Meir 1969-74
5. Cleopatra alikuwa mtawala wa Egypt mwaka 51-30 BC
You are speaking sacrilegiously about God! It is not ok!Kawaida ya marais wote waislamu tulionao tz wanapenda kusujudia wazungu "mabeberu" kama mungu wao...kwao wabeberu ni ALLAH
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117]Wewe unajuaje kuhusu mwalimu?,au ulikuwa bado kiunoni mwa baba ako?
Hii kauli aliiongea huko ughaibuni?"Kuna wastaafu wengine wanawashwawashwa"
Alikuwa hatokagi, ulitegemea aitolee wapi wakati mabeberu walikuwa wanamuwinda?Hii kauli aliiongea huko ughaibuni?
Muache atoe ya moyoni mwake ili tumuelewe hakuwa pamoja naye katika baadhi ya mambo.
Utajuaje ni kweli hutoka moyoni mwake na si kwamba anajitetea tu kwa kumbebesha lawama marehemu?Muache atoe ya moyoni mwake ili tumuelewe hakuwa pamoja naye katika baadhi ya mambo.
Mkuu mbona waislamu walikuwa wakilalamika sana tu kuhusu ubaguzi wa Nyerere kwa waislamu, lakini pia udikteta ulikuwepo sana enzi zake...Mwalimu angekuwa mbaguzi, katili, na muuaji, viongozi waliomfuatia wangemkosoa na kumsema vibaya hata nje ya nchi.
Nyerere ukimkosoa watu wanaona kama umemkosoa Mtume wa Mungu, Lissu alifanya hivyo bungeni na watu wakamjia juu.Tofauti kabisa.Nyerere aliasa kwamba yale mlioyaona ni mema myaendeleze kwa wema.
Na yale "mahovyohovyo" muachane nayo.
Hivyo basi,alijipambanua kwamba hakuwa malaika.Tofauti na yule "mtukufu" ambaye mnataka(naye pia alipenda) aonekane kwenye picha ya umaridadi tu.Haiwezekani.
Siyo wote wenye mtazamo huo.Kama mtu anamtetea ampendae bila hoja fikirishi na ushawishi,anakwama.Binadamu asikosee yeye kama nani?Mungu?Hapana.Nyerere ukimkosoa watu wanaona kama umemkosoa Mtume wa Mungu, Lissu alifanya hivyo bungeni na watu wakamjia juu.
Aeleza tu na mbinu walizotumia kwenye uchaguzi 2020, maana Samia alisema hata iweje lazima ccm ishinde tu...tena Maza amemsitiri sana Jpm.
..angeweza kutoa siri zote mpaka za mambo ya kikatili ya awamu ya 5 lakini amekuwa mstaarabu kusema alichosema.
Wewe ni 0marynda lazima!Poleni yatima. Kubalini matokeo kuwa Saigon Club imeshinda,wenye chama chao wamerudi nyie makinikia ya mwendazake kausheni tu.
Sio wote ila ndio wengi, kupitia Lissu tumeona hata humu kuna watu ambao ndio wanakuwa mashabiki wa Lissu ila siku ile hawakumsapoti kisa tu kamsema Nyerere.Siyo wote wenye mtazamo huo.Kama mtu anamtetea ampendae bila hoja fikirishi na ushawishi,anakwama.Binadamu asikosee yeye kama nani?Mungu?Hapana.
Utajuaje ni kweli hutoka moyoni mwake na si kwamba anajitetea tu kwa kumbebesha lawama marehemu?
Wanasiasa sio wa kuwaamini.
Futa kabisa historia ya nduli wa chatoMbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia kwa kutofuata ushauri wako wakati wewe ulipokuwa msaidizi wake?
Ulifanya nae kazi huku ukiwa na kinyongo maana alikuwa mkaidi?
Ina maana ulikuwa unacheka nae hadharani lakini moyoni humtaki sababu ni stubborn?
Lakini mbona hata Mwl Nyerere inasemekana wazi kabisa alikuwa mkaidi juu ya kufuata ushauri wa wasaidizi wake mpaka ilifikaia hatua akaitwa baba haambiliki, hatujawahi kusikia Mzee Mwinyi au Mkapa wakimnanga huko mamtoni?
Inasemekana alishauriwa masuala mengi tu na akakaidi, mfano aliambiwa asihamishe watu kwenye miji yao kwa ajili ya vijiji vya ujamaa lakini akawahamisha. Jambo ambalo lilileta lawama kubwa. Lakini hatikusikia akipondwa huko nje. Alishauriwa asiijifanye yeye ni superpower wa Afrika lakini akakag'ag'ania kupeleka majeshi Msumbiji, Zimbabwe na Uganda ,mataokeo yake Tanzania ikakwama kiuchumi.
Tunajichafua sisi Watanzania huku wazungu wakitucheka.
Unazijua sifa za kiongozi bora?Tofauti kabisa.Nyerere aliasa kwamba yale mlioyaona ni mema myaendeleze kwa wema.
Na yale "mahovyohovyo" muachane nayo.
Hivyo basi,alijipambanua kwamba hakuwa malaika.Tofauti na yule "mtukufu" ambaye mnataka(naye pia alipenda) aonekane kwenye picha ya umaridadi tu.Haiwezekani.
Inategemea kijijini kwenu walivyokuhadithia na kukufafanulia mapungufu ni nini!Unazijua sifa za kiongozi bora?
Je mama yako amewahi kusema mapungufu ya baba yako kwa jirani yake?
Tafasiri nyingine kwa sababu yeye Mama alijua katiba inasema akifa Dkt Magufuli yeye ndiye mrithi maana yake alimuua ili awe rais. Yaani sijui Mama kama huwa anapima kauli zake. Na ndiyo maana inaonekana hata siri za nchi labda alikuwa anazotoa kwa akina kigogo na mange kimambi, ila inasikitisha sana. Na kauli yake ya kazi iendelee kumbe your nawezekana ni kuendelea kuiibia nchi na kurudisha utawala wa kidhalimu na wa kifisadi. Tumuombee Mama yetu Mungu amfunue hilo blanketi machoni pake. Ila kama ni laana ya kumtenda Dkt Magufuli hakika kila afanyalo litakuwa anguko na ndiyo maana tunashuhudia yale yote yaliyopo mitaani kama minong’ono Mama anayasema hadharani na kudhihilisha kumbe kama vile alishirikiMbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?