Hatari ya kuwalazimisha watoto wa Watu kwenda JKT!

Kumbe na wewe mtibeli kuna mda unakuwa hauna akili?.. Uslay queen ama mtu kuringa ndo inabidi anyanyaswe kingono?
 
Mimi nihudhuria JKT mwanzoni mwa mwaka 80 baada ya form 6 kwa mwaka mmoja. Pamoja na kuwapo vitendo vya hapa na pale kunyanyasa watoto wa kike, hali haikuwa mbaya sana kwa vile kulikuwa na usimamizi mkali sana.

Najua kuwa mpaka leo, Israel wanakwenda JKT yao tuliyoiga na kila kijana anaruhusiwa kukaa na bunduki yake yenye risasi za moto wakati wote, na mambo yao yako vizuri licha ya kuharibiwa jina na Netanyahu.
 
Unajua maana ya JKT..?

Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "

Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
Kwenye saikolojia tulisoma kitu kinaitwa Dunning - Kruger effect.

Kwa ufupi inasema watu wenye uwezo mdogo hua wanakuza mno uwezo wao kuliko wenye uwezo mkubwa.
 
Next time tambua hiki kitu

"Haijalishi mwanamke amevaaje, anatembeaje, anakuangaliaje, itahalalisha kunyanyaswa kingono"

I do not understand watu wa aina yako hua wana akili gani.
 
Next time tambua hiki kitu

"Haijalishi mwanamke amevaaje, anatembeaje, anakuangaliaje, itahalalisha kunyanyaswa kingono"

I do not understand watu wa aina yako hua wana akili gani.

Sizungumzii kuhalalisha. Nazungumzia kuchochea.

Ni sawa useme mwizi aibe alafu wenye hasira kali wasimtie kiberiti kisa sheria haziruhusu.
Watu wanatofautiana kuchukulia mambo.

Unapovunja sheria au maadili fulani unasababisha uvunjwaji wa maadili mengine kwa mtu mwingine.

Hutaki kunyanyaswa au kufanyiwa ukatili usichochee watu kukufanyia hivyo kwa kisingizio sheria haziruhusu ukatili.

Ndio yale alikuwa anazungumzia Baba Levo
 
Aisee.

Ukienda kuogelea kwenye swimming pool ukakuta wanawake wamevaa swimming costumes. Ukambaka mmoja na mwingine ukamshika matako.

Ukakamatwa. Utajitetea kwamba mavazi yao yalichochea wewe kufanya hivyo?
 
Nashukuru Mungu mimi mwanangu ameripoti kwa wakati kwenye kambi aliyopangiwa huko Kanda ya Magharibi!
 
Aisee.

Ukienda kuogelea kwenye swimming pool ukakuta wanawake wamevaa swimming costumes. Ukambaka mmoja na mwingine ukamshika matako.

Ukakamatwa. Utajitetea kwamba mavazi yao yalichochea wewe kufanya hivyo?
Jamaa hana akili ata kidogo, yaani umbake mtu kisa ni slayqueen ama anaringa.
 
Kwaio wewe watoto wako wakivaa pensi nyumbani huwa unawabaka na kuwalawiti sababu wanakuchochea??
 
JKT ni lazima na uache uwongo tutajie hao watoto wa vigogo ambao hawataenda JKT? Acheni uvivu na uzembe nyie ndiyo mnakuja kujilegezalegeza mtongozwe. We ndiyo mpuuzi, JKT ni lazima
 
JKT lengo Lao ni zuri ila kwa wakati tuliopo inabidi wabadilike. Vijana kupata mafunzo ya ukakamavu ni jambo zuri ila kwenye utoaji life skills wapo nyuma shughuli wanazofundisha ni uzalishaji mali kwa kilimo.

JKT wao ilibidi wawe chachu ya mapinduzi ya viwanda na vijana kujiajiri wahitimu wao. Sio wale wa mujibu miezi 3 au kujitolea wakimaliza ukiwaleta mtaani wanarudi bila ujuzi wowote hata kufungua tairi ya bajaj au bodaboda azibe pancha, kwenye kilimo hata kuendesha tractor au kufunga jembe hawawezi.

JKT ilitakiwa itoe mafunzo ya ukakamavu,ulinzi na soft skills ambazo kwenye maisha halisi ya vijana mtaani wanaweza wakajiajiri au kuajiriwa baada ya kutoka makambini hata wakikosa nafasi ya kuendelea mbele kitaaluma.

JKT inabidi wawe na mafunzo ya basic agriculture machine operation, agriculture machine mechanics, solar installation,tyre change operations, ushonaji,umeme wa majumbani,kupaka rangi,uchongaji vyuma,carpentry,upambaji, ufundi bomba. JKT wana connection kubwa ya kazi kupitia Suma JKT wanaweza kuwa wanapelekwa kufanya kazi kwa vitendo na wakimaliza mafunzo ya miezi 3 wapewe certificate of service kulingana na kada aliyofanyia vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…