cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Poa habari mkuu?Braza niaje
Safi Braza, karibu mwanza.Poa habari mkuu?
Shukrani mkuu karibu pia kataviSafi Braza, karibu mwanza.
Ndio mkuu ililiwa jana hiyoUmeifikisha? Imeliwa?
Good π. Comment iko underrated sana hii. Hapa jf tunao pia. Halafu hapa tz tunachukulia mwanaume anayefanywa ndiye tatizo. Hata wewe unayefanya wenzako ni shoga vilevile hamna tofauti na huyu. Nyie ndo mnachukua magonjwa na kuwapelekea wake/wanawake zenu. I despise njemba za namna hii hata kuliko wanaofanywa. Tafiti kupitia hawa jamaa zinaonesha familia nyingi zimekuwa kwenye ring ya ushoga bila kujijua. Too many families ni victims wa ushoga na hawajijui πππ.Waulize waliokuja pm kipindi kile I'm struggling with it walikula block nimeacha mkuu pia watu tunatofautiana hao na mm ni tofauti
Alinde mpasuko usiendeleeAtalindaje wakati ulishapasuliwa?
Asante sana kwa ushauri wako nitafanya hivoGood π. Comment iko underrated sana hii. Hapa jf tunao pia. Halafu hapa tz tunachukulia mwanaume anayefanywa ndiye tatizo. Hata wewe unayefanya wenzako ni shoga vilevile hamna tofauti na huyu. Nyie ndo mnachukua magonjwa na kuwapelekea wake/wanawake zenu. I despise njemba za namna hii hata kuliko wanaofanywa. Tafiti kupitia hawa jamaa zinaonesha familia nyingi zimekuwa kwenye ring ya ushoga bila kujijua. Too many families ni victims wa ushoga na hawajijui πππ.
Wewe kaka Mungu akusaidie. Ila jaribu kuwa karibu na Mungu kuliko kufanya majaribio ya uanaume wako maana bado ni dhambi. Huwezi kuchanganya hivyo vitu viwili. Simaanishi wasio mashoga hawafanyi zinaa but may be tafuta mwanamke mmoja utulie naye, bado ni dhambi ila kidogo kwenye jamii kunakukubalika fulani hivi. But kama unaweza, celibate, huyo ni option nzuri zaidi kwako kwa sasa ukiwa unamtafuta Mungu na kuutukuza ukuu wake.
Usifadhaishwe na wanaokuita huna marinda, kwani wao hawanyi? Hakuna kinachoitwa bikra ya mk*ndu ni mitazamo tu ya watu. Unaweza kuwa umelegea, but over time misuli itajirudi vizuri tu kama mwanzo. Pia hakuna dhambi kubwa kuliko nyingine, wanaokusem wana michepuko nje, au wanazini, wewe na wao kwa Mungu mko sawa tu katika dhambi. Be blessed π
Nilikuwa navuta hadi pakti 5 kwa siku, Dunhill zilipotea nikaja Embassy za ku click, kuacha sigara ni rahisi sana, ukivumilia 72 hours sumu yote inayoleta kiu inaisha. Set malengo ya masaa 72 (3days) utaweza.Siku nikiweza kuacha uvutaji wa sigara nitakuamini
Mnamchanganya sasa yeye kasema kamkabidhi Mungu.....wewe nae mbiombio unasema mkadhi yesu...!!?Duh Mungu ni mwema hatimae umotoka kwenye kifungo Cha ibilisi. Mkabidhi Yesu maisha Yako nae atayafanya kuwa mapya kabisa
Sasa mimi nikivuta sana navita sigara nne tu kwa siku hasa nikinywa PombeNilikuwa navuta hadi pakti 5 kwa siku, Dunhill zilipotea nikaja Embassy za ku click, kuacha sigara ni rahisi sana, ukivumilia 72 hours sumu yote inayoleta kiu inaisha. Set malengo ya masaa 72 (3days) utaweza.
ushoga ni kama unga ukijaribu huwezi acha pole sana asee kwa kuota ndoto za mchanaSiamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.
Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.
Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama Mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up.
Na mpamgo wa kubadilia jina la JamiiForums natamani nisingezaliwa to Nafurahia Ukuu wa Mungu.
Umemshenyenta...π€£π€£π€£,Karibu Kavifuti Sumbawanga vijijini....Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.
Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.
Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama Mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up.
Na mpamgo wa kubadilia jina la JamiiForums natamani nisingezaliwa to Nafurahia Ukuu wa Mungu.
πππππBoyfriend wako ameridhia uamuzi wako?
ushoga ni kama unga ukijaribu huwezi acha pole sana asee kwa kuota ndoto za mchana
Para ya 2 na 3 zinakinzana. Nweii ushauri mzuri kiasi chake.Good π. Comment iko underrated sana hii. Hapa jf tunao pia. Halafu hapa tz tunachukulia mwanaume anayefanywa ndiye tatizo. Hata wewe unayefanya wenzako ni shoga vilevile hamna tofauti na huyu. Nyie ndo mnachukua magonjwa na kuwapelekea wake/wanawake zenu. I despise njemba za namna hii hata kuliko wanaofanywa. Tafiti kupitia hawa jamaa zinaonesha familia nyingi zimekuwa kwenye ring ya ushoga bila kujijua. Too many families ni victims wa ushoga na hawajijui πππ.