Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Pole sana mola akusimamie inaumiza lkn ndyo hvyo ishatokea hakuna namna
 
Haha mkuu kilichokuuma Zaid Ni mwanamke kujinyeregesha mwenyewe ...!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] haya puuziaaa
Ulivyoonge kama vile wanawake kila ubaya wanaoufanya unasababishwa na matendo ya wanaume wakati nyie pia mmejazana kwa waganga kutia ME wenzetu uzezeta ili muwanyonye kwa kisingizio sisi ndio tunasababisha muache kutumia gas lighting na blames shifting.

Yote kwa yote matendo ya mtu ni ya mtu kutokana expiliance yake ya ukuaji tusi generazion mambo
 
Yaanii ukisomaga threads humu unajisemea kumejaa wavulana. Unakuta wanajifaraguaaaaaa utasema Malaika Mkuu na kopo lake[emoji23] sijui Gabriel sijui mikael sijui nani. Yaan wanaharisha kwlei ili wapate support. Yakiwarudi baasiii ndo hivi..
Kiukweli,
Inasikitisha sana[emoji18]
 
Pole mkuu, Karma is also single

 
Ata kama katoa talaka,
Lakini bado Itamtafuna ndani kwa ndani, uku mwanamke akiyafurahia maisha mapya
 
Saa hvi akiwaza kiuno Cha mkewe kinavo sasambuliwa roho inamuuma....haha
Ukiwa mhuni inabid uwe na roho ngumu uswe mlain lain
Atafute beibee mwingine aweke ndani
Hii jinsia wako wengi wenye uhitaji
Beibe atapata wapi wakati hana ela na bado stress za kuchapiwa zinamchoma ndani kwa ndani?
 
Rais wa wafukua makaburi duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unapochekelea wakati wa kujengea makaburi,
sherekea pia pindi kaburi litakapofukuliwa ili mwana wa adamu apeperushwe mawinguni.

Mke wa jamaa kapeperushwa mawinguni, kibaya zaidi sidhan kama na mchepuko anaweza kumuelewa kwa hali anayopitia.

Hii wanaume Inatupa funzo kua mchepuko hatokua na wewe pindi utakapoachana na mkeo.
Mchepuko anakufurahia unapokua na mkeo na yeye kwa pamoja.
 
Kaa kwa kutulia na usuburi kunyolewa. Mwanamke anaenda kwa waganga bila sababu? [emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
 
 
Ogopa sana technology hahahaha umefukua makaburi mkuu, kumbe jamaa analelewa mke wake ana maduka ndiyo yalikua yanamlisha mbaya zaidi anachepuka, huyu jamaa nimemdharau sana mjinga
Jamaa kaivunja ndoa yake kwa mikono yake mweyewe
 
Kiukweli,
Inasikitisha sana[emoji18]
Ila mkuu kabla ulete utetezi wako uliaga ukasema utajua mbivu ma mbichi nilijua exactly utaleta makaburi tu[emoji23][emoji23] watu wanajisahaugi sana.

Kuna mwanamke alikua analalamika juzi huku anataman kurejesha hisia kwa mumewe akasema mume anamsaliti etc. Mara makaburi ya mchepuko yakaletwa huku[emoji23] nashindwa elewa inakujae mtu anakua kbs proud kuchepuka.. japo siwez mlaumu asilan maana sijui source hasa ni nn. Japo alijitetea mumewe ndo alipelekea yeye kufika huko lkn from the scratch hakuelezea kwamba pia anachepuka unavyoleta kisa elezea ukweli kinaga ubaga kila kitu ili ushauri utakaopewa iwe tiba kwako. Dont play victims.
 
Punguza ujeuri[emoji23][emoji23]
Hamna. Mimi naonaga ni bonge la ufalasi, eti mtu kakutosa, kaenda kuoa/kuolewa kwingine huko!; afu bado unarudi kulala naye kama mchepuko. Haswa hawa ndugu zetu utawasikia tu; wewe mkomeshe tu, mpelekee moto; ngoja akuambukize na Ukimwi, utajua haujui. Wote mnakuwa hamna akili; ukiachwa songa mbele kama Injili.

Hakuna heshima kwa mwanaume anayelala hovyo na wanawake in the name of kuwakomesha, haijalishi walikuumizaje. Afu inakuwa kama bado hujamsahau na una uchungu naye moyoni, ndiyo maaana unahisi ukimlala tena utakuwa umemkomoa. Bado tu unamuwaza mtu ambaye anaendelea na maisha yake. Pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…