Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Ukweli mtupu
 
P Pointi hii
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hii ya wafukua makaburi kiboko.
 
Kwani unadhani sababu nini hasa kupelekea kufanya hivyo[emoji16] ?
Kwanza kbs kumloga mwanaume abakie kwako ni umakalio kabisa. Ni bora nikaloge niwe na maghorofa. Upendo wa uchawi haudumu hata siku moja. Kila siku utatumia nguvu. Natural love is the best.

Ila nyie kima mnalogwa na maboya wenzenu kwakua umalaya unawasumbua hamna utulivu na ndoa zenu. Mke anaendaje kukuloga kama huna mambo ya hovyo? Mumeoza kitabia. Na musipoacha huo ujinga mtafanywa mandondocha kwelu. Ila kuna wanawake wengine nao viazi kwlei. Mtu ameolewa kwao masikini wa kutupwa anamgeuza mumewe ndondocha ili atawale mali aweze watenga mume na ndugu zake...
 
Uvumilivu una ukomo wewe[emoji23] ni miaka hiyo tulikua tukiamini kwamba watu wote ni wema kumbe si kweli. Tumelelewa mazingira tofauti. Kila mtu ampate w kufanana naye
Ndo maana kuna comment flan nilisema
"Wanawake wa kipindi hiki ni ngumi jiwe, Ukimpiga ya bega yeye anakupasua ya JICHO"

maumivu yake utasimulia mpaka vitukuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo comeback inaizidi ole ya malaga na dortmund 2013 mkuu. Yaan unaweza kufaaaa.... meza inapinduliqa kibabe na venye hina cha kufanya
Umeshahau ya barcelona na PSG, mtu kafa comeback ya goli 6 kimasihara[emoji23]
 
Hawara wake ananitumia msg kwamba ni meshindwa kumtunza na kumjali mke wangu yaani jinsi alivyokolezwa
Hamna cha hawara hapo, meseji katuma mwenyewe
Nasikitika tu muda sio mrefu wataachana na atakurudia na bila kujali utampokea[emoji51][emoji51]
 
Exactly,
Ndo mana michepuko hawanaga jema.

Anaweza kukuonesha kukupenda sana unapokua unamkeo.

Ila ukiachana na mkeo, afu kiabya zaidi kiuchumi uyumbe.
Na yeye anakata maguu unakufa na Depreession yako kifuani
 
Hivi on a serious note, watu huwa hawaogopagi maradhi? Yaan jaman watu wanajitoa ufahamu. Hawaogopi hata lepe aiseee.. mwanamke amenishangaza kuingia kwenye nadhiri ila ameshataka ivunja mapema.

Nakumbuka home tulifundishwa kufatilia hasa sababu za partner wako kuachana na ex wake na kuijua familia husika kabla uingie kwenye ndoa. Kuna familia hazifai kabisa
 
👏safi sana binti mzuri nahahidi kuchangia matofari 100 kwa ajiri ya ujenzi wa sanamu lako😂😂😂
 
Nayaona sana mtaani,

Vijana wanatia tu mbegu wanakung'uta makalio wanasepa zao.

Unakuta binti wa watu alijitoa moyo wake wote kwa mtu asiekua na mpango nae.

Sitamani kabisa ije itokee kwa mabinti zangu, Eeh mungu nisaidie
 
Na ndio maana ni rahisi sana tukio la mauwaji kutokea, maana maumivu yake hayatokani na kuchapiwa tu. Kuna kudhalilishana kunakopelekea maumivu yasiyoisha moyoni
Kabisa mkuu
 
I did that 17 yrs ago na nimekuja kuoa tena miaka 4 iliyopita.
Pole sana, kaa, tulia, tafakari, usikurupuke, utakapokuwa tayari kutafuta mke mwingine mwombe sana mungu wako akuongoze, na utapata mkw mwema na atakayekupenda na kukuheshimu inshalllah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…