FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Mmmh kumbe!!! Kweli ukiwa mwongo lazima uwe na kumbukumbu.Yes mkuu. Halaf watu wamefukua alivyokua anamnyanyasa mkewe na kusifia michepuko. Na ana kibamia pia ila mke alikua akimvumilia mpk kujichua ili ajiridhishe mbele yake. Anaplay victim tu. Ogopa sana teknolojia na Mungu. Na ni zaman kaanza. Na alikua anajisifia..na anagonga wake na madem wa washkaji zake qaliozidoana kipato
Kabisa!!! Kuwapata hadi mkono wa Mungu uhusike hapo...Wenye moyo huo ni wakutafuta na tochi
Hahahaha!!!Aminaaaa. Nipate mume sasa na mimi.. akiwa na kibamia ajiheshimu kabla niivute iwe ndefu kama sikio la wale watu wa west africa
wanawake wengi hawawezi, wachache wanaweza kuvumilia.Kwahiyo baba angu unamaanisha hatuwezi kuwavumilia mkiwa hamna pesa? Tupo na nyie for money tu? [emoji848]
Pumbavu sana hawa...Hujiona wao ni malaika
Hahaha hatari sanaMmmh kumbe!!! Kweli ukiwa mwongo lazima uwe na kumbukumbu.
NapullHahahaha!!!
Amina!Daahh nimeumia sana,kaka pole sana aiseee,Mungu yako pamoja na wewe naamini atakuvusha salama Katika kipindi hiki.
Mimi ndio nimebaki na watoto kwakua mama yao hana paku waweka maana na yeye hajui pakukaaNani yupo na watoto
Alifikia hatua ya juu ningeweza kufanya jinai au yeye angenitendea jinai.Dah nahisi ungevumilia tu sababu ya watoto nawe uonyeshe hujali mapenzi yake angerudi wakati nawe huna haja naye
Uchafu gani tena?Bado unashupaza shingo mkuu na uchafu wako wote huo? Ama kwako kumbe uchafu uliokua ukiufanya ndo sahihi?
Si wote I said wengi![emoji35][emoji35][emoji35]
Mkiwa nyuma ya keyboard mnakuwaga majeuri.Pumbavu sana hawa...
Nashkuru kwa faraja nduguPole,kuteleza si kuanguka,piga moyo konde na uanze upya,mola atakufungulia njia ya mafanikio na hutaamini
Atarudi kipindi nsha take off itakua haisaidii.Mpwa, umekutana na mmoja akakutenda, niamini sio wote wako hivyo. Pole kwa hio changamoto but najua atarudi tu
Atarudi kipindi nsha take off itakua haisaidii.Mpwa, umekutana na mmoja akakutenda, niamini sio wote wako hivyo. Pole kwa hio changamoto but najua atarudi tu
Hujaona ama nini?Uchafu gani tena?
Njoo nipige[emoji23]Mkiwa nyuma ya keyboard mnakuwaga majeuri.
Nipandishie up uzi kwanzaHujaona ama nini?