Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Yes mkuu. Halaf watu wamefukua alivyokua anamnyanyasa mkewe na kusifia michepuko. Na ana kibamia pia ila mke alikua akimvumilia mpk kujichua ili ajiridhishe mbele yake. Anaplay victim tu. Ogopa sana teknolojia na Mungu. Na ni zaman kaanza. Na alikua anajisifia..na anagonga wake na madem wa washkaji zake qaliozidoana kipato
Mmmh kumbe!!! Kweli ukiwa mwongo lazima uwe na kumbukumbu.
 
Dah nahisi ungevumilia tu sababu ya watoto nawe uonyeshe hujali mapenzi yake angerudi wakati nawe huna haja naye
Alifikia hatua ya juu ningeweza kufanya jinai au yeye angenitendea jinai.

Pia kunatukio la mke kujaribu kumuua mumewe aliyeishi nae more than 15 years kisa anamtesa mke hafaidi Mali.

So mwanamke akifikia hatua hio habadiliki
 
Back
Top Bottom