Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Eeh jamaa analia kichizi na hamna kitu atafanya😂😂😂
Weee mi nalilia watoto tuu mzee kuhusu mapenzi mke wangu hakuwa wakwanza so sasa ni kuchapa ile inapita mbele yangu freely
 
Kweli mwanamke akishajua raha shida hawezi kuzihimili
 
Huyu ni Mimi au mwingine??🤣🤣
 
Hizi habari mnachanganya bana Mimi sijawahi kufamaniwa na mke wangu since nimemuoa.
 
Wanawake wote wapumbavu kasoro mke wa baba.
 
Wanaume tumtafute sana Mungu atupe wake wema,hela hata Bill Gates sio tu anatafuta ila anazo lakini mwisho wa siku...
Aisey umeongea point saana.... Ila hii mambo ya women right ndio yanatuleta huku
 
Wanawake sio kabisa
 
Io picha huyo demu kama mke wangu..... Hawa wanawake wenye mishepu suo kabisa
 
Usichukie mbunye wewe tafuta chombo cha kuanza kukilipua kitandani utaomboleza hadi lini? Chapa kazi sana, tafuta pesa kama ulivosema huku unamtu wa kulipua mara moja moja
Hapa najipiga speed governor tuu ila najihisi narudia ujanani mzee
 
Duuuh kweli Mungu anaweza💪
 
Hela hapana sio dhamani yenu mbona vunja bei kaachwa na hamisa .
Huyo mtu kakuchoka mbona hata mimi huyu jamaa ni mchafu kwa hela naninataka nimuache ila nikikumbuka watoto ni wadogo nitawacha bila haki yakuwa nababa yao basi na baki tu.
Napiga tungi kabla sijalala tu ndio suluhisho la moyo .
Wanaume mnafanana wote maskini na matajiri huyo mkeo kimeo kweli anaenda tena kwa unguza kichwa mwingine badala ya kukaa peke yake .
 
Ukitaka kusikia kuuwa watoto haraka bila kuhangaika ni mama wakamboo hao mashetani waaina yake.
Washenzi sana awapeleke kwa mama yake wakalelewe arudi kutafuta hela lazima apate demu wakupunguza stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…