Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Kwahiyo akitokea mwanamke akakutunuku mbunye wakati huu utaiacha? Au utapiga hivo hivo? Maisha yaendelee wanaume hatuchukii mademu wewe tafuta mwingine anza kula mtunyenye ujiliwaze ukiwawaza sana wanawake utapoteza muda wako mwisho ufe mapema
Unaachaje mzee??? Kikubwa kugandana ndo sitaki.
 
Huyu mwanamke ana hasira za mkisi kujiingiza kwenye mtego..... Sasa ndo hajielewi kabisa
 
Duuhh, Nakumbuka nililiaga kisa kuachwa aisee Huwa nachekaga sana nikikumbuka

Sasa hivi, huwa naangalia tu,
 
nimesikitika sana sio kwa kuwa umeachwa na mke laaa.. ni kwa sababu bado hujajifunza..
.
bado unamini pesa ndio kila kitu kwenye ndoa..

.
pesa huja na huisha lakn mapenzi ya bila pesa hudumu milele..
nakushauri wakti huu ukiwa huna kitu ndio wakat wa kutafuta mwenza wa maisha.. atakaye kukubali kwa dhiki ulizonazo ndio mwenye upendo wa kweli na wewe.. la sivyo utakuja kufungua uzi mwingine siku zijazo...
 
Hahaaaa idelete bana sista[emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu wakati naandika nilikuwazia, ila nikajipa moyo huwezi ona coz sijaona comments yako humu, kumbe unazoom kimya kimya tu!!
Hapana, naituma kwa Mrs Nshomile
 
Allah yu pamoja na wenye kusubiri, kua na subra, Muombe Mungu na lea wanao kwa mapenzi mazito hao ndio ndugu na jamaa zako, huyo mtu mzima achana nae aibu yamjia
 
Kuna manz kanunua ist mpya mumew hajui,kanunua kiwanja mumewe hajui,ana boda boda 2 mumew hajui ila mm najua Kila kitu nili mbikiri mwenyewe ana niambia yupo radhi aachike aje awe mke wa pili kwangu Mana tulipotezana muda hakuwa na jinsi kuolewa na jamaa huyo japo haikuwa malengo yake
 

Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?
 

Unafanyeje kurejesha mapenzi katika ndoa yako?
 
Niliwahi andika uzi kuhusu umhimu wa kuoa na radha ya ndoa. Mkuu we moja ya watu mlioni crush sana kuhusu mtizamo wangu juu ya NDOA. Ila naamini hukujua yapi yanakuja siku za usoni.
Polee sana Mkuu, ilipo changamoto Ipo Faraja pia. Mie nakuombea kwa Mungu Faraja na Nguvu uyapokee yaliyokukuta na usonge mbele.
 
Huyu tulianza maisha tukiwa tunalala chini mpaka kufikia hatu ya kulala ghorofani Kisha nikafulia... Kwa hivyo swala la kupata mwenza katika umaskini sio kigezo cha kudumu nae shida ikurudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…