Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Mwanamke akishakolezwa huko nje jeuri kibao ndani ya nyumba na kama aliekutana nae ana kipato kukuzid dharau zinakuwa nying Sana ndani ya nyumba

Wanaume tuna vumilia meng Sana ndio umri wetu wa kuish duniani Ni mfupi Sana
 
Wenye mikia tutawapata nje au sio...!
Shida imekuja sku hzi hata ukioa sura ya kawaida tako flat screen ukimtunza vizuri aka Anza ku shine na kusifiwa ohhhh Wana nzengo Wana Anza kujichapia....
Sijui tu deal na Bikira???! Tutafute watoto tu
 
Sasa kuna maana gani ya kuoa mwanamke ambaye hana tako wakati wewe hicho ndicho upendacho?
Hahahah sio kesi ila hakikisha tu isije ikatokea siku umefulia tu huna sh.10 lazma ile kwako maana matako makubwa na hela ni kama kipimo cha futi na fundi seremalaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…! Demu wa aina hio yupo kama mchwa kula hela zako siku zikiisha anasepa anakuachia kilio tu!
 
Hawa ni kuwagegeda tuu na kuwazalisha na kusepa zako
 
Wenye mikia tutawapata nje au sio...!
Shida imekuja sku hzi hata ukioa sura ya kawaida tako flat screen ukimtunza vizuri aka Anza ku shine na kusifiwa ohhhh Wana nzengo Wana Anza kujichapia....
Sijui tu deal na Bikira???! Tutafute watoto tu
WALA MKUU! TATIZO DUNIA IMEISHA NDUGU.
 
Wenye mikia tutawapata nje au sio...!
Shida imekuja sku hzi hata ukioa sura ya kawaida tako flat screen ukimtunza vizuri aka Anza ku shine na kusifiwa ohhhh Wana nzengo Wana Anza kujichapia....
Sijui tu deal na Bikira???! Tutafute watoto tu
Wale wanawake warembo kama midoli ni wa kupiga tu! Unachapa zako mashine kisha unasepa sio eti unajifanya kiboloika unaoa kabisa. Utafeli!!!
 
Wanawake hawanaga huruma jaman na mtu....labda mama yako tu...nakumbuka nilipomaliza chuo ile misoto ya mtaan..nikaachwa na mtu ambae tulidate for karibia 4 yrs ..pika pakua...kisa yeye alipata kaz mapema TRA...ila sasa toka hyo 2014...kaja kuolewa2021...nayeye kuachana kwetu alisema yeye anataka ndoa...hyo ndo changamoto yenu wadada..sio wavumiliv....sasa hiv kila kukicha anafatilia status zangu...mara kuniwish bday.mara anataka nikienda mkoa alipo tuonane.....kwa jinsi nilivyo jeur na ego kama zote...niliwai kutana nae mwaka jana hotelin mkoa aliko...halaf tukala chakula tu akiexpect tungepasha kiporo ila hakuamin jinsi nilivyomkwepa...mim nna kinyaa cha ajabu.yaan nilale nawew.halaf nijue umeenda lala na mtu mwingne..aisee..naweza tapika kabisa...labda kwa penz jipya
 
Usemayo ni kweli kabisa na mie nawasupport kabisa wenye matako makubwa kutubwaga pale hela inapotea. Sii ana soko so the highest bidder will always prevail.

Sasa flat nyash akitonhgozwa leo june mtongozo mwengine mpaka december kwa nini asiwe na tabia nzuri🀣🀣🀣🀣🀣🀣

All in all mwanamke mrembo wee kiwa nae ukiwa na hela na sasambua mbususu kwa furaha yako basi. Dont expect much.
 
Ulibugi men...ulitakiwa umgegede alafu baadae una muomba mfanye threesome
 
Hahahah ila sasa kwa nature ya maisha yalivyo pia yana seasons! Kuna nyakati za Neema na nyakati za dhiki sasa ukiwa na mtu ambaye hayuko flexible ndio mambo yakuja kunyanyasana na kusalitiana yatafata! Ukiwa na demu mrembo mwenye matako makubwa anawaza maisha ya show offs tu always na kula bata kubadilisha ndinga! Siku ukifulia anahamia kwa mwenzio mwenye nazo we unaachwa hapo kama katuni na njaa zako!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

I don’t need this kind of relationship!!!
 
Wee labda kwa vile unatafuta love. Sie wengine tunatafuta kusasambua mbususu so hilo tulishalikubali. Huna hela huna haki ya kumiliki mrembo
 
Hahahah ungemkaza tu mzee baba hapo umeniangusha! Unamkaza af unamlia Ubuyu tu no beibe beibez!
 
Wee labda kwa vile unatafuta love. Sie wengine tunatafuta kusasambua mbususu so hilo tulishalikubali. Huna hela huna haki ya kumiliki mrembo
Hahahah mzee unapozungumzia kutafta mbususu hamna ambaye hatafuti ila huwezi weka malaya ndani sababu ya kukidhi fantasies zako! Mie sihitaji watoto wakose mama mwenye akili timamu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…! Kama hujafikiria kuoa uko sahihi mzee...

Kuna wanawake wa kuoa na malaya wa kuchezea..Learn the differences!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…