Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Kama huwezi kujicontrol usijaribu hii,kuna kipindi nilienda kavu kufika miezi 8,aise hakuna mwanamke nilikuwa namuona mbaya,muda wote nawaza udwanzi,nikakomaa nikaenda kama mwaka na ushee,ila haikuwa rahisi
 
Ngono mnaipa promo sana, yaani umeandaa points kabisa ku-defend, na points umezipangilia kabisa utafikiri dissertation za Udsm..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…