Ongezea pia chama bora kwa wingi wa majizi na mafisadi.hakuna chama bora afrika nzima zaidi ya ccm
mzee ccm ni dude lingine, KANU walizingua wao wenyewe ila ccm ni lidude likubwa kutoka sio leo wala kesho, and unaweza cheki list ya vyama vyenye nguvu duniani ccm ipo apo #10Ongezea pia chama bora kwa wingi wa majizi na mafisadi.
KANU ilikuwa hivyo na walisema hivyo walau hao walikubali kukabidhi nchi bila machafuko ila CCM mnataka muipeleke nchi katika machafuko sababu ya tamaa ya majizi wachache na familia zao.
View: https://youtu.be/A9zlzOuqDAg?si=iclnyu2HyE-RexyL
Gadaffi aliwaita waandamanaji na wakosoaji wake panya sababu aliamini ana jeshi la kumlinda siku zote.
Ona kilichomkuta.
View: https://youtu.be/So1yYR7hghw?si=nmbp_cFmi8ZcdRPy
Ndio nimekueleza tu dude kubwa lililofungia majizi na mafisadi huku likisaidiwa na dola iliyotekwa na mafisadi hayo hayo na majizi.mzee ccm ni dude lingine, KANU walizingua wao wenyewe ila ccm ni lidude likubwa kutoka sio leo wala kesho, and unaweza cheki list ya vyama vyenye nguvu duniani ccm ipo apo #10
Hee wafute Mahakama tena?
Sasa kesi zetu tutapeleka wapi?
1:12:08 -1:12:26Kasema ukweli na uwazi utaponya, sasa mbona unaficha ukweli huo? kauli ipi?
uizi ni hulka ya binadam sio swala la kua ccmNdio nimekueleza tu dude kubwa lililofungia majizi na mafisadi huku likisaidiwa na dola iliyotekwa na mafisadi hayo hayo na majizi.
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Ipi mkuuKuna kauli moja ameongea huyu kijana katika hiyo video nimeitathmini nimegundua kitu kikubwa sana.
Kwahiyo na wewe ni kamwizi kadogo unayeogopa mabadiliko baada ya kusikia katiba itabadilika na viongozi wezi wataanza kufungwa rasmi.uizi ni hulka ya binadam sio swala la kua ccm
hakuna sehem amna uizi utafunga kila mtu amna mtu hataki ela nyingiKwahiyo na wewe ni kamwizi kadogo unayeogopa mabadiliko baada ya kusikia katiba itabadilika na viongozi wezi wataanza kufungwa rasmi.
Si ndio unachoogopa ?
Sikiliza kipande hiki 1:12:08 -1:12:26Ipi mkuu
"Dude lingine" bila jeshi?mzee ccm ni dude lingine
Basi usiwe na shaka kwanini uwe mtu wa kupinga mabadiliko?hakuna sehem amna uizi utafunga kila mtu amna mtu hataki ela nyingi
Murilo na Mambo sasa na DAB hawa lazima wanyie debe na yule Sabaya kesi yake ifufuliwe upya.Tena JWTZ wakichukua tu nchi cha kwanza kukifuta iwe Mahakama then TISS , Polisi na TAKUKURU
Enough is Enough, CCM wametuona sie ni mang'ombe sana.
Asante mkuuSikiliza kipande hiki 1:12:08 -1:12:26
Military intervention haifanyiki kwa style hii. Hata Ibrahim Traore angetumia style hii asingeweza kuikomboa Burkina Faso!Unazungumzia huu mzigo >>>>>> https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1S4oeKSUmZ/
kwenye vikao vya hivi kesi huisha kwa adhabu ya fimbo na faini ya mnyama mw3nye miguu 4...
Ubongo wako umekuelekeza hivo leo hutuliii unawashwawashwa kweli kwelii au nasema uongo ndugu zanguhakuna chama bora afrika nzima zaidi ya ccm
data hizi apa:Ubongo wako umekuelekeza hivo leo hutuliii unawashwawashwa kweli kwelii au nasema uongo ndugu zangu