Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

Kwani alikuwa amekataa?

Kuanzia mwanzo ilikuwa wazi kwamba hao jamaa ndio walifanya ugaidi wa mauaji.
Ndiyo maana alikuwa amesema kuna makundi 3:
1) Watekelezaji (waliokamatwa)
2) Wasaidizi, wachora-ramani na wawezeshaji --
3) Wafadhili (hawa ndio chanzo cha tatizo)
Mbona katika list yako hakuna radical islamists?
 
Kwani shambulizi la October 7 kule Israeli lina tofauti gani na shambulizi la Russia?!
Russia majeshi ya nchi mbili yanapigana, huku israel anapambana na raia wasiokuwa na silaha ambao wanadhulumiwa haki yao ya kujitawala kwa zaidi ya 75 years huku dunia ikikaa kimya
 
Russia majeshi ya nchi mbili yanapigana, huku israel anapambana na raia wasiokuwa na silaha ambao wanadhulumiwa haki yao ya kujitawala kwa zaidi ya 75 years huku dunia ikikaa kimya
Raia wasiokua na silaha wameweza kuvamia Israeli na kuua watu zaidi 1400 pamoja na kurusha makombora zaidi ya 5000 kwa siku?!🤔
 
Ndiyo inavyokuwa hivyo.

"Usitie, usitie."

Halafu "Tia, lakini tia kichwa tu".

Halafu "Weka yoote, nipe yooote".

Atakubali ukweli tu muda ukifika.
Daaaah, huu mfano wako braza huu, huenda ukawaudhi wadau!
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin amehutubia Taifa lake kwa mara nyingine leo akitoa msimamo kuhusu shambulizi la kigaidi lililoua zaidi ya Watu 130 Crocus City Hall ambapo amesema ni kweli Waislamu wenye itikadi kali wamehusika na shambulio kama Marekani na Washirika wake wanavyosema lakini Putin amesema bado kuna maswali mengi ya kujiuliza ili kumjua aliyewatuma Wahalifu hao, moja ya swali hilo likiwa ‘inawezekanaje Waislamu wa kweli wakaua Watu ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani!!”.

Putin amenukuliwa akisema “Huu uhalifu umefanywa na Waislamu wenye msimamo mkali , Marekani wanatumia hii fursa kujaribu kwa makusudi kuficha ukweli kuhusu wanaohusika na shambulizi na wanasema ISIS ndio wanahusika moja kwa moja na shambulizi lakini tunajua ambaye amepanga na kutekeleza shambulizi lakini tunachotamani kwa sasa ni kumjua aliyewatuma na kutoa amri wafanye shambulizi”

“Vyombo vyetu vya uchunguzi na vya kisheria vinatakiwa kujiuliza na kupata majibu ya maswali mengi ikiwemo kwamba ‘inawezekanaje?, Waislamu wenye msimamo mkali ambao wanajinasibu kuwa ni Waislamu wa kweli wanawezaje kufanya dhambi kubwa kama ile ya kuua Watu ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan!?’, swali hili na mengine ya kitaalamu yatasaidia kwenye uchunguzi wa shambulizi hili na tutapata majibu, tutajua nani ananufaika na shambulizi lile”

“Shambulizi hili linaweza kuwa lina mahusiano ya karibu kabisa na Mataifa/Watu ambao wanaipiga vita Urusi tangu kwaka 2014, maumivu ambayo wote tunayahisi na hamu tuliyonayo ya kumuadhibu kila aliyehusika tunatakiwa kuhakikisha uchunguzi unafanyika kwa viwango vya juu vya kitaalamu bila kumuonea Mtu au kuegemea upande wowote kwa sababu za kisiasa”

Huyu Putin🤣

Haya maneo ya kishogoa sijui hatimaye sijui kiana ni yenu eti unamuuliza maswali Putin nimecheka sana..
Putin ana amini magaidi wa ISIS ni ngumu kwa wao kufanya mauaji kwasababu ya mfungo wa ramadhani.

Kama hizo ndio hoja za Putin katika kufikiria kuwa kuna watu wengine zaidi ya hao aliowabaini basi atakuwa kuchanganyikiwa.

Ni kweli kwenye msimu wa mfungo waislamu hujitajidi kujiepusha sana na dhambi na wanakuwa na hofu kweli.

Lakini

Putin inabidi aelewe kuwa hao magaidi hawachukulii swala la kuua kama ni dhambi.

Wao wanadhana yao ya kipekee ambayo wao wanaamini kufanya mauaji ni sehemu ya ibada. Hiyo ndio kama sera yao siku zote.
 
Raia wasiokua na silaha wameweza kuvamia Israeli na kuua watu zaidi 1400 pamoja na kurusha makombora zaidi ya 5000 kwa siku?!🤔
Wanajaribu kujitetea mkuu hali wanayopitia sio ya kiubinaadamu hata ningekuwa mimi lazima nijitetee
 
Na israeli pia anajaribu kujitetea na kulinda raia wake. Au ulikua unataka myahudi aweke silaha chini ili aangamizwe?!
Palestine wanacholilia ni kuondoa ubaguzi na wizi wa ardhi na unyanyasaji unaoendelea kila siku kimabavu , leo muisrael akilipenda eneo anakuja anawatoa wapalestina kimabavu na kuwapiga hizo si zama za stone age mkuu
 
Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================

Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.

Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
Kiaina ndio nini we gaidi
 
Kwani alikuwa amekataa?

Kuanzia mwanzo ilikuwa wazi kwamba hao jamaa ndio walifanya ugaidi wa mauaji.

Ndiyo maana alikuwa amesema kuna makundi 3:

1) Watekelezaji (waliokamatwa)

2) Wasaidizi, wachora-ramani na wawezeshaji -- wengine wamekamatiwa Urusi, wengine ni maafisa usalama wa Ukreni, na wengine ni wale ambao wangewapokea mpakani mwa Urusi na Ukreni

3) Wafadhili (hawa ndio chanzo cha tatizo)!

Mtekelezaji anaweza kuwa mtu yeyote kutoka nchi yoyote ile.

Pengine amefungamana na vikundi vingine vya kigaidi au ni mtu tu mwenye tamaa ya pesa ama mamluki.

Gaidi halisi hapa ni mfadhili wa tukio zima -- mfadhili wa fedha, taarifa za kijasusi na sababu kuu ya kuhalalisha tukio zima.

Ingawa bado hatujui taarifa kamili, adui mkuu wa Urusi ndiye mtuhumiwa namba moja katika hili.
adui mkuu wa Urusi ni Putin
 
Kafiri naona umechanganyikiwa. Dalili ya ugonjwa akili. Alikuwepo kafiri mkubwa lkn sasa amekufa ameuacha uislam unaenea na watoto wa kike wengi wakiristo wakisolimu kufata waume wa kiislam
ni.Mudi ?
 
Tunaweza kuwalaumu sana hawa ^watoto wa mamdogo,^ lakini ukichunguza kwa kina utagundua kwamba tabia yao hii ya kueneza, kuimarisha na kulinda imani yao kwa upanga walijifunza kwa Wakotoliki.

Nani asiyejua kwamba Ukatoliki ndio ilikuwa dini ya dunia nzima enzi za Mfalme Konstantini wa Dola ya Rumi?

Baada ya kuweka mamlaka ya ufalme chini ya mikono yao, Ukatoliki ukaanzisha harakati za kujitanua kidini na kueneza imani yake kwa watu wote kwa lazima.

Wakristo wa kweli na wapagani—wote walishurutika ama kuupokea ushirikina wa Kikatoliki au kuuawa.

Nani asiyejua ukatili wa kutisha uliofanywa na Ukatoliki katika zama za giza?

Nani asiyejua jinsi ambavyo Ukatoliki uliwateketeza kwa moto na upanga na mateso mamilioni ya wale waliokuwa wakifuata mafundisho halisi ya Kristu kwa mujibu wa Biblia?

Nani asiyejua kwamba Papa John Paulo II aliomba radhi dunia kwa ajili ya mauaji na ukatili uliofanywa na Ukatoliki enzi hizo?

Nani asiyejua jinsi ambavyo Ukatoliki ulipiga marufuku Biblia isisomwe wala kufundishwa, isipokuwa kwa idhini yake, huku ikiweka mwongozo kuhusu masomo gani yafundishwe na kwa namna gani?

Kwa kisingizio cha kumtetea Kristu, Ukatoliki ulikuwa ukiwaangamiza wafuasi wa Kristu!

Ni wapi ambapo Bwana Yesu alifundisha kwamba imani ienezwe kwa njia ya upanga? Au ushurutishaji?

Angalia namna Yesu alivyofundishwa:

^Bwana… akawatuma… kwenda kila mji na kila mahali… [Akawaambia,] Enendeni, angalieni, nawatuma kama wanakondoo kati ya mbwamwitu….

Na nyumba yoyote mtakayoingia, semeni kwanza, Amani iwemo nyumbani humu; na akiwemo mwana wa amani, amani yenu itamkalia; la, hayumo, amani yenu itarudi kwenu…

Na mji wowote mtakaouingia, wakiwakaribisha,… waponyeni wagonjwa waliomo, waambieni, Ufalme wa Mungu umewakaribia.

Na mji wowote mtakaouingia, nao hawawakaribishi, tokeni humo.^ Luka 10:1-10.

Ni wazi kwamba mfumo wa uenezaji imani ya Ukatoliki hautokani na Biblia kama alivyofundisha Kristu, bali hutokana na yule muuaji wa roho za watu—Ibilisi mwenyewe!

Si ajabu historia inaonesha kwamba kuna uhusiano wa karibu kati ya Ukatoliki na Uislamu. Kimsingi, Uislamu ni zao la Ukatoliki!
OUT OF POINT
 
Back
Top Bottom