Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Anaitwa Baba Swalehe.

huyu jamaa akizungumziwa mwanamke either kwa uzuri lazima aseme "Ana chura?"
😂😂😂Na wasichojua ni kwamba my woman Hana chura ni flat moja hivi matata 😂😂

Nkiwa nae kwenye Gari akiona chura ananishtua oya cheki mzigo huo 😂😂

With all the success God has given me I love that woman c'mon 😂😂 I can't even think of cheating her churaless body
 
-Kuna JituMirabaMinne muulize chochote kuhusu gari yako atakupa solution
  • kuna Extrovert mzee wa team Toyota, huwa ananiacha hoi sana akiwa ana comment kwa watu wakianza kulia lia na gari zao ambazo ni brand nyingine tofauti na Toyota
  • OKW BOBAN SUNZU mzee mwenzangu wa msimbazi, inshaalah leo tumechukua point tatu mbele ya Viper
  • Joseverest huyu jamaa alikuwa na record ya kucomment wa kwanza kwenye kila thread hata kama ni pointless
  • kuna Pascal Mayalla mzee wa chama na serikali, huwa atatetea chochote hata kama inaonekana kuna mahali chama na serikali wamevurunda
 
Back
Top Bottom