Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

Kuna yule kigagula bibie Faiza Fox, falsafa yake inajulikana. Kuna memba wanaleta utani kuwa hiyo id ni ya mama baada ya mama kusema huwa anapitia comments humu. Mama hawezi kuwa na id kama ile
 
Kapeace mrembo mwenye madini ya maneno ya busara... [emoji8][emoji8][emoji8]
Hannah karembo kapenda umbea na watu wagombane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Antonnia mrembo mpole, mpenda simulizi. Mkali wa kutag [emoji8][emoji8][emoji8]
Kalpana Shunie Makiwendo warembo wa Simba [emoji8][emoji8][emoji8]
Shadeeya Numbisa Dream Queen warembo wangu wa Yanga [emoji169][emoji172]
HAPPY WOMEN'S DAY [emoji7][emoji7][emoji7]
Shukrani kipenzi changu mtani wangu tunakupenda sanaaaaa [emoji8][emoji8] hata kama hautupendi mashabiki wa simba [emoji23][emoji23][emoji23] Kalpana Makiwendo
 
Shukrani kipenzi changu mtani wangu tunakupenda sanaaaaa [emoji8][emoji8] hata kama hautupendi mashabiki wa simba [emoji23][emoji23][emoji23] Kalpana Makiwendo
Karibu luv, 😂😂😂😂😂 mashabiki nawapenda sana. Timu yenu ndiyo siipendi. Leo Yanga katupa zawadi wanawake wote. Kwa ushindi wa leo tusheherekee kwa pamoja. Penda sana wewe Shunie 😘😘😘
 
Karibu luv, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki nawapenda sana. Timu yenu ndiyo siipendi. Leo Yanga katupa zawadi wanawake wote. Kwa ushindi wa leo tusheherekee kwa pamoja. Penda sana wewe Shunie [emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23] Hapo kwenye kusherehekea pamoja hapo mtihani kipenzi hamna kitu nilikua naombea kama mfungwe yaani
 
Back
Top Bottom