secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #161
Natumia Moja tu mkuu. Yaani Mimi Kila kitu nakitimia kimoja tu hata mpenzi wangu ni mmoja ambaye ni bibie aliekatakamba humutuu na nimezaa naye mtoto mmoja tu.Eh kwani wewe unatumiaje simu zako zote zina wtsupp
Mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu? Inasikitisha sana...Alikusahau hapo kwenye nyama za chini pale umeona uje kujitag mwenyewe
Sasa kwanini unanisalandia na mieLa hasha.
Huyu ndo mjinga kuliko wote huku jamiiforums hakuna mtu mpumbavu, bichwa kubwa kama yuleBado sijaona mtu anaefikiria nje ya box wa kumfikia Dennis Robert Shughuru humu
Duuh, mbona unamshambulia personally!Huyu ndo mjinga kuliko wote huku jamiiforums hakuna mtu mpumbavu, bichwa kubwa kama yule
HakikaNa bold juu, plus font ya 26
Hamna kitu pale nyuzi zake zinatakiwa zifutwe sijui kwanini jamiiforums mod wanamleaDuuh, mbona unamshambulia personally!
Hata hivyo binafsi namuona anashughulisha ubongo sana na anafikiria nje ya box katika machapisho yake.
Jina la chuo! Ama kweli, chuo kimekaa vizuri, kwa wenye vipaji tu!!Hahahaha π€£ππ€£
Mpaka hapo sina comment kaka π π πHamna kitu pale nyuzi zake zinatakiwa zifutwe sijui kwanini jamiiforums mod wanamlea
Support movement ya kumuondoa jamiiforumsMpaka hapo sina comment kaka π π π
Naunga mkono hojaHawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa π.
Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli
Nitazidi kuongeza orodha.
Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.
Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.
Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
Mara mia umtoe GENTAMYCINE huyu ni fella sio kama haya mafala akina Tlaatlaah Nyetoman π na mshamba mwezie wa mbeyaHawa members comments zao zinanivutia sana maana hawazungumzii vitu kutokana na hisia zao au story wanazozisikia mtaani. Nao ni Hawa hapa π.
Kiranga
Infropreneur
Tanganian
Robert Heriel Mtibeli
Nitazidi kuongeza orodha.
Kwa upande mwingine Kuna Hawa members ambao hufanya au jus judge vitu kwa kutumia hisia zao, story za za mitaani na za kwenye vibanda umiza.
Ni warahisi sana kuwadanganya maana huamini Kila kitu kinachosemwa na yule wampendayeau aliyeko mamlakani.
Hawa si wengine bali ni Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable chiembe chiembe GENTAMYCINE pamoja na Setfree.
Nitaka tu uwe wangu mkuu.Sasa kwanini unanisalandia na mie
Siku hizi bwana mdogo Genta akiniona anatimua mbio maana nilimkanya vizuri katika Uzi wake fulani π.Jina la chuo! Ama kweli, chuo kimekaa vizuri, kwa wenye vipaji tu!!
Ngoja aje ajitetee kwa nini amejiingiza katika kundi la akina Luka.Mara mia umtoe GENTAMYCINE huyu ni fella sio kama haya mafala akina Tlaatlaah Nyetoman π na mshamba mwezie wa mbeya
Mkuu wewe ndiye uliyeleta kampeni ya kufuta nyuzi zake humu siku ile siyo? πππππSupport movement ya kumuondoa jamiiforums
Ndo mjinga wa mwisho huku jamiiforumMkuu wewe ndiye uliyeleta kampeni ya kufuta nyuzi zake humu siku ile siyo? πππππ
Memkwa kijanaComments wakati mwingine zinaonesha uwezo wa mtu π.