Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

Mr sound una sound kiwack sana, ebu thibitisha Mungu yupo tumechoka sound zako
 
Chunga kinywa chako usije ukawa hadithi kama alivyotusimlia huyu mwenzetu.
 
nani aliyewahi huthibitishwa vipimo na dr Kwamba hatakuja kuzaa watoto na akaenda mbele za mungu na akapata huyo mtoto?
Lete uthibitisho Sio maneno maneno ya hear say hapa!
Tu prove wrong maana nyie watu hamuishiwi uongo uongo na dramas!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa ajali ya chombo halafu mnasema hakionekani[emoji1787][emoji1787][emoji2962][emoji2962][emoji2962]story za mavampaya

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Chunga kinywa chako usije ukawa hadithi kama alivyotusimlia huyu mwenzetu.
acha kutishia nyau mtu mzima bwana mkubwa zile zama za uongo uongo,maigizo,ndio Mzee,Amen nk zilishapita tunataka fact hapa sio hekaya za kiyahudi na kiyunani katika civilization ya Digital, Science and technology hivyo vitisho mlishavifanya Kwa kina
Galileo Galilei zama hizo za dark ages!
😁😁😁😁
 
Mimi nina hoja ya kuthibitisha Mungu hayupo

Kwasababu mimi ndio Mungu wa kweli na Mungu unayemdhania wewe sio wa kweli hayupo

Unabisha?

Kama unabisha thibitisha mimi sio Mungu wa kweli

Kama ni Mungu kweli, niambie niko wapi sasa.
 
Hakuna aliyekushambulia.Nimekueleza kile ulichoning'iniza kichwani mwako.Na si kosa.Umeletewa hoja(kumbuka sijaanzisha uzi mimi) ambapo una haki ya kukataa au kukubali.Maana unapoelekea utauliza huyo Mungu wakati anawaua hao watu nani alithibitisha!

Pumba ktk ubora wake

Yesu hakumziaki Mungu ila alikufa kifo kibaya kuwai kutokea ktk historia ya mwanadamu
Mohamad akumziak Mungu ila alkufa
Ata ww unaeleta hii hoja ujamzihaki Mungu ila utakufa

Kufa au kifo ni moja wapo ya maisha ya binadamu tumezaliwa tumekua tukaoa au kuolewa na mwisho utakufa, mwingne atafia tumboni mwingne atakufa akiwa kijana tegemezi

Ishi maisha ww km unaamin Mungu yupo ni vzr na endelea ivyo ivyo ila kuanza kuingilia uhuru wa watu wengne ni makosa na ata uyo Mungu wako unaemuamin anakukataza kujudge wengne
 
Hatareeh sana.
 
Ukiweka list ya watu waliomdhihaki Mungu wakapata shida, wakati kuna watu hawajamdhihaki Mungu na wamepata shida hizo hizo, na hata zaidi, list yako ni pointless.

Ni list ya ujuha mtupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hoja ukiiona utaijua?

Maana nimekuletea hoja, hujaijadili hoja, unanijadili mimi.

Una uwezo wa kujadili hoja wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…