Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo.

Kifo kakiweka yeye baada ya mwanadamu kufanya dhambi.

Na tunakufa ili twende kuishi maisha ya milele.
Thibitisha Mungu yupo, na kwamba habari za kusema Mungu yupo si hadithi za mapokeo tu.
 
Thibitisha Mungu yupo, na kwamba habari za kusema Mungu yupo si hadithi za mapokeo tu.

1. Uumbaji....Mungu ndiye aliyeumba dunia na vilivyomo...stori za kuwa dunia ilitokea pekeake na vitu vyote ni uendawazimu.

2. Uhai....hakuna kiumbe chochote awezaye kuweka uhai...pumzi iwe kwa binadamu, mbuzi wala mmea..hakuna aliyewahi hata kufanya jiwe likapumua.
 
Logical non sequitar.

Unajuaje Mungu kaumba dunia na haijatokea kwa namna nyingine yoyote?

Kusema tu "Mungu kaumba dunia" si uthibitisho kwamba Mungu kaumba dunia.

Nimekutaka uthibitishe, wewe unahubiri.

Vivyo hivyo kwa uhai.

Thibitisha Mungu kaweka uhai, usihubiri tu.
 
John Lennon Yuko sawa wala hajakosea kabisa ipo siku ukristo utasahaulika kabisa
 

Ha ha ha ha

He is Super Natural Power.

Anyway why should I bother, kukuthibitishia ili hali yeye mwenyewe katutaka tuchague.

Let me believe what I believed.

Nawe endelea kuamini unachoamini.


God is there, he will be whatever you like or not.
 
Ya namba 1 huyo muimbaji alisema kweli kabisa na wala Mungu hakumchukia ila Wakristo ndio walimuuwa
 
Hujiulizi kwanini Ibilisi alifanya kibri na akaomba kwa Allah abakishwe mpama Kiyama kitakapo karibia na Allah akakubali ombi lake ?

Usipo mjua Allah huwezi kujua namna ya ufanyaji wa mambo yake.
 
Ukiweka list ya watu waliomdhihaki Mungu wakapata shida, wakati kuna watu hawajamdhihaki Mungu na wamepata shida hizo hizo, na hata zaidi, list yako ni pointless.

Ni list ya ujuha mtupu.
Kiimani watu wenye imani ya juu zaidi ndiyo hupewa mitihani mizito zaidi na Mola kuliko ambao hawana imani. Ndiyo maana wewe leo unamkana lakini anakupa rizki na mfano wake na wapo ambao waliishi bila kuumwa kwa miaka na mikaka wakachupa mipaka na kudai uingu na kumkana Mola.

Na kadhalika Mola huwaadhibu watu waovu kwa njia hizo hizo.
 
Ushaanza kuniwekea maneno kabla sijayasema.

Acha kuniparata, get off my dilsnick already.
Huyo hajakuwekea maneno bali anaonyesha ni kwa namna gani anavyokujua na hili liko wazi. Ni sawa na mtoto unaye mjua ya kuwa kwa namna alivyo ukimpa hela tu lazima akanunue pipi,na kweli anaenda kununua pipi,hii kiistilahi huitwa "Dhana Ghalib (Dhana isiyo kuwa na shaka kabisa)". Muwe mnakubali ukweli ili mzinduke kutoka kizani.
 
Thibitisha Mola yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za mapokeo tu.
 
Yeye hajajibu hoja, na wewe hujajibu hoja.

Mnanijadili mimi.

Hilo linaonesha msivyo na hoja.
 
Ha ha ha ha

He is Super Natural Power.

Anyway why should I bother, kukuthibitishia ili hali yeye mwenyewe katutaka tuchague.

Let me believe what I believed.

Nawe endelea kuamini unachoamini.


God is there, he will be whatever you like or not.
Unaamini unachoamini au umethibitisha?

Unaelewa kuwa kuamini si kuthibitisha?
 
Thibitisha Mola yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za mapokeo tu.
Kwanza naomba uniambie unaelewa nini kuhusu Hadithi ? Je kila kilicho tungwa ni hadithi au tamko hadithi lina maana gani hasa.

Uthibitisho ni huu hapa :

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?

36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at-Tur : 35-36)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…