Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

Lazima CCM igawanyike, and by that it becomes weak! Nimesema CCM itakuwa taabani na hivyo kuondoka madarakani! take my point!
Sio leo wala kesho maana upande wa pili hawajulikani kabisa wanachosimamia. Wako hoi bin taaban na hii ni auheni kubwa kwa sisiemu.
 
Na wewe Mwele wapi na wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfumo uliopo unaota ndoto tu, hata watoke wote lazima tushinde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana nini cha kuoffer wakati nyakati zao waliuza pembe, channel 10 , na mali kibao .watanzania mnatutania mnadhani ni short term memory. We unadhani report ya Bashiru ilikuwa ina nini .hebu kalale giza limeingia
 

Mmmhh.

Jiulize tu swali moja tu kuwa.

Membe ameifanyia nini tanzania ? Tofauti na kuhujumu nchi hii?

Kina nape kinana wote hao wamejilimbikia mali nyingi za chama na serikali. Hapo hakuna wa kuhama chama wala nini na atakae hama ajue habari yake itakuwa imeisha. Wamuulize lowasa na kina sumaye


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio leo wala kesho maana upande wa pili hawajulikani kabisa wanachosimamia. Wako hoi bin taaban na hii ni auheni kubwa kwa sisiemu.
wanajua sana, sema in a dictatorial regime msipo kuwa makini mtapoteza dira, but CDM is very focused and making headway!
 
Mwaga ugali mwaga mboga sina uhakika kama ccm itapumua zaidi ya miaka 6 ijayo vinginevyo itafutwa kama ile ya bashir Sudan na kuwa termed as terror
 
whatever the shortfalls, wana wafuasi na ushawishi mkubwa! Kwani Jiwe haibi? Kila kitu Chato! Huo sio"wizi"
 
Maria Sarungi na Fatma Karume halafu kwa mbaali kuleeee Wakili Jebra Kombole halafu Bukoba anacheza "sentaafu"/Kagasheki wakati Nyanda za juu kusini anacheza Profesa Mwandosya.....

Mi-CCm lazima itumie jeshi....dadeeeki
Kwa sheria tulizonazo, polisi, TISS, NEC Takukuru hata wakiqnzisha hakitadumu na wataibiwa kura tu

Kitochi Original
 
Ccm ilishakufa siku nyingi ndio maana kikwete alikichukua chama akakifungasha kwenye kiroba na akatumbukiza jiwe kwenye kiroba na kukitupa hicho kiroba pale ferry sasa haijulikani kama hizo ni jitihada za kuokoa mfu au ni jinamizi linataka kuonyesha lipo hai
 
Natamani tu rewind maana enzi hizo sikuwa nafuatilia siasa
 
Mwenye nguvu ni kinana akifuatiwa na makamba wengine wenye nguvu kidogo ni membe na Nape lakini hao wengine hawana mvuto wala nguvu yeyote
 
Mwenye nguvu ni kinana akifuatiwa na makamba wengine wenye nguvu kidogo ni membe na Nape lakini hao wengine hawana mvuto wala nguvu yeyote
Thought provoking post! good
 

Tujikumbushe mwezi May 2018 Katibu Mkuu alipoomba kujiuzulu ukatibu mkuu na Abdulrahman Kinana kuona nyuso za wanaCCM-halisi ikiwa haziafiki hatua hiyo.

Fast forward February 2020 CCM-Mpya itampigia magoti Abdulrahman Kinana asijitoe CCM? Na kwanini CCM-Mpya imegwaya kutoa tamko kuhusu 'uvumi' yakuwa maKatibu wake Wakuu Wastaafu wameamua kujiengua

VIDEO CLIP 2018 KINANA AKIJIUZULU
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kiitikadi toka Chuo Kikuu cha Dsm UDSM mhadhiri Charles Kayoka anatupa mwanga wa kinachoweza kuwa kinafukuta ndani ya CCM-Mpya

Source : VOA Swahili
 
Mwenye nguvu ni kinana akifuatiwa na makamba wengine wenye nguvu kidogo ni membe na Nape lakini hao wengine hawana mvuto wala nguvu yeyote
Kinana hana nguvu yoyote nnje ya CCM, Hivi kinana anaweza kumshawishi nani bila CCM? Hata umuweke na mimi kwenye battle ya siasa yenye fair ground hanishindi aisee.
Ajaribu kujipima achomoke Kama Lowassa ndio aone bila CCM hachukui hata miaka miwili Watu watakua wameshamsahau.
Au mshauri agombee ubunge jimbo lolote akiwa nnje ya CCM ndio atajua bila CCM na dola yeye ni mtu mdogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…