Kodi ya mapato analipa mmiliki wa iko chombo, halafu dereva wa BODABODA alipe Kodi kwani ameajiliwa useme kuwa akatwe Paye,Mimi naongea Sana na bodaboda
Wengi wanaingiza kuanzia elfu 40 daily
Why wasilipe kodi?Kama wenye mishahara ya laki nnne Tu wanakatwa??
Umewasahau mafisadi na wakwepa kodi. Serikali ikipitia list hii na waanze kuwatoza kodi, wanaotozwa kodi kwa sasa watapata nafuu . Tuijenge tanzania wote nasio wachache waijenge na section nyingine wafaidike kwa jasho la wengine. Mwalimu nyerere alisema watu wote ni sawa.Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile...
Huwa sipendi kazi permanent nipeni mktaba nipite zangu ivi masuala ya eti kutunziwa hela nikiwa mzee sintoweza kujitunza hayo mambo siyaweziIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile...
Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Mishahara yao siyo Siri. Inajulikana ni TLSSKuna Siri kubwa sana ndani ya nchi yetu. Mshahara wa Rais na marupurupu yake ni siri. Mawaziri. Wabunge, Wakuu wa Mikoa/Wilaya, DEDs etc wote hawa mishahara yao ni siri kubwa na wengi wao hawalipi hata senti moja ya kodi.
Bravo,machinga wengi wanawazidi mitaji na bidhaa wenye maduka ,observed itNina fikra tofauti kuhusu machinga, hawa waliopo wanachangia ukwepaji wa kodi na kuzuia "semi formal" sector kukua.
Kwanza , tufafanue machinga ni nani na auze nini. Huwezi kuwa machinga ukawa unauza bidhaa sawa na za dukani kama redio, nguo, viatu nk. Wenye maduka walipe kodi, wao machinga walipe alfu 20 tu. Huu ni upuuzi.
Machinga waruhusiwe kuuza bidhaa za kilimo na zile walizochonga/unda kwa mikono yao. Bidhaa zote za viwandani ziuzwe kwenye sekta rasmi/maduka.
Hao wanaotembeza mikanda na nguo mbili tatu ni ukosefu wa ajira na upotevu wa nguvumali kwa taifa ambayo ingetumika vizuri kwenye sekta nyingine rasmi kama viwanda na kilimo (sera nzuri zinahitajika)
Ras,Das ni watumishi wanalipa PAYEIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Na ndo mana leo tuna lundo la machinga mijini katikati wanauza hela ndefu tu hawalipi kitu si fremu si kodiHizo EFD machine kwa biashara ndogo sionagi faida yake labda kwa biashara kubwa kubwa
Wamiliki wa daladala wanalipa kodi ndio maana kuna sticker za mapatoIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Hawalipi kodi kwa namna gani , fafanuaIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Vat anaeumia ni mtu wa mwisho maana yeye haongezi hiyo 18 asilimiaKodi ipi inazungumzia!? Maana PAYE ni kwa wafanyakazi pekee.. VAT mtoa huduma, muuza budhaa na mnunua bidhaa/huduma..
P.A.Y.E ndiyo hasa kodi ya uzalendo maana ndiyo chanzo kikuu cha pesa za kuiendeshea nchi! Wasiolipa kodi hiyo kusema ukweli hao siyo wazalendo! Yaweza kusemwa kwa usahihi pia kuwa siyo wananchi bali ni walanchi!!Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nao walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile...