Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Bullshitwewe ni mpumbavu zaidi. Na hakuna wa kunipiga BAN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bullshitwewe ni mpumbavu zaidi. Na hakuna wa kunipiga BAN
Alikuwa na busati lake.Yale mabusati kule msikitini huwa hayaumizi,mbona hapelekewi kiti kule??
Kwani huko Marekani na Zambia kuna ushirikina na unafiki kama ulivyo hapa kwetu?Nafasi ya urais haipo Tanzania tu.Pichani juu ni rais wa Zambia na Rais wa Marekani wakiwa katika nyumba za ibada na wamekalia bench.Huyu wa kwetu anashindwa nini kukalia bench,kwamba utakatifu wake umezidi marais wengine ama vp?
Kwani yote haya uliyosimulia kwenye andiko lako hili yameanza lini na kwa sababu zipi..., za UMOJAna MSHIKAMANO? Hatujawahi kuwa na umoja na mshikamano tokea uhuru, ila sasa ndipo imelazimu iwe hivi?Lakini ujue kwa mujibu wa dini yake analazimika kuyavumilia haya yote HAKUTAKIWA kabisa kuwa humo,na hata katika nafasi aliyopo WAHAFIDHINA(Conservatives) wa kiislamu wanasononeka...HAIRUHUSIWI
Kwani huyu ndiye rais wa kwanza Tanzania kuingia kanisani? Uliona wapi na hao wengine wakienda na viti vyao kanisani. Unajisemea tu mambo bila ya kuyafikiri kwanza?Kwani shida ipo wapi hapo?.
Tatizo wabongo tunapenda ku- judge na kuhoji vitu visivyo na msingi. Hivi kuna madhara ama tatizo gani Kiongozi akiwekewa kiti Kanisani.
Kwa hiyo USA president angekuwa kawekewa kiti ndio ungeona sahihi kwako?.
Tusiwe watumwa wa kuiga vitu vya nje.
Anazingua huyu ndugu mleta uzi,hajifikirishiMi Kuna kanisa jirani hapa la sabato na Kuna lingine la EAGT mbona naona waumini wanaendaga na viti vyao vya cello ....
Kama kanisa liko kwenye ujenzi bado, au halijajitosheleza kwa viti ni sawa waende na viti vyao. Lakini kama kuna viti vya kutosha, halafu wewe uende na kiti chako kwa kuona vile vya pale kanisani havina hadhi inayolingama na wewe, unamkufuru Mungu.Mi Kuna kanisa jirani hapa la sabato na Kuna lingine la EAGT mbona naona waumini wanaendaga na viti vyao vya cello ....
Amewekewa msala wake wa kusalia !
Sisi Waswahili hata hatujui nini hasa tunahitaji mpaka hivi sasa miaka 64 tangu tumepata Uhuru ! 😅😂🙏Watz mnapenda Sana kulalamika Sana shida nini nyie waswahili.?
Aaaa wapi !Mama ni mtu humble sana; na naamini hili ni suala la timu yake ya usalama. Pengine waliona kuna tatizo akikalia mabenchi...
Isitoshe hata kwenye Biblia sidhani kama Wafalme waliingia mahekaluni na kwenye masinagogi na kukaa pamoja na commoners. Eti Mfalme Sulemani au babake Daudi wakalie mabenchi ya hekaluni. Aaaa wapi!
View attachment 2976290
Sisi Waswahili hata hatujui nini hasa tunahitaji mpaka hivi sasa miaka 64 tangu tumepata Uhuru ! 😅😂🙏
Kweli kabisa Mkuu !Inafikirisha Sana mkuu . MUNGU atusaidie sana
Sasa unatoa mfano wa marais wa marekani, kwanini hukutoa mfano wa marais wetu? JPM, Nyerere, Kikwete, Mkapa, Mwinyi walivyokuwa wanaenda makanisani walienda na viti vyao?
Kwahiyo kiroho unatakiwa kukalia benchi? Hebu acheni hekaya za kijima hizi.
Kiti cha rais au benchi la kanisani haviingiliani kwa vyovyote vile na mchakato wa maombi. Mtu anaweza hata akaja na godoro lake kanisani na wala hakuna shida. Msikariri.