Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Binafsi sijaona cha kuogopesha kwenye hii stori bado. Mwamba keshajifia zake, mwili uzikwe usizikwe tayari hayupo!

Kwamba nijichanganye na watu ili nikifa wajue kuwa nimekufa? Then what?
 
Wewe ni binaadamu na si mnyama. Ndio maana huitwi mzoga. Thamini thamani ya mwili wako ukiwa hai au mfu. Ndio maana hakuna jalala la marehemu
 
Wewe ni binaadamu na si mnyama. Ndio maana huitwi mzoga. Thamini thamani ya mwili wako ukiwa hai au mfu. Ndio maana hakuna jalala la marehemu
Mkuu,

Nithamini kitu ambacho siwezi ku control? How? Why? Then?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…