Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Naciki

Nafikiri kuoa hakutatui ilo tatizo, mimi nimeoa, ila tabia za mke ndo zanifanya nitake kabisa kabisa kukaa mbali na yeye, ingawa hatujaachana, na pia zinafanya nikwepe ndugu zangu sababu akinikosa anaenda wasumbua.

Oa sababu umepata mtu na una mami katika familia, hizi mambo nyingine ni useless kabisa ukiziweka kama ssababu ya kuona.
 
Sasa mkuu, kifo na kataa ndoa vinahusianaje hapa??? Ikiwa mtoto wa daktari bingwa wa ugonjwa unaomsumbua mtoto wake au yeye anadanja tena akiwa kwenye facilities zote, hapo inakuwaje sasa!!!

Kama siku yako imefika you're gone my friend.

Kataa ndoa, naishi nitakavyo.
 
Msiogope vifo ndugu.

Kifo kinapumzisha mtu na tabu za dunia.
Kama vile magonjwa sugu yenye maumivu makali. Kuna wakifariki ndugu wanasema bora amepumzika kwa mateso aliyopitia.

Ishini kwa kuishi, usiiishi ukiwaza kifo, hakina tarehe wala saa, popote sehem yoyote kinaweza tokea bila kutegemea.

Hata mkiishi watu 60 kwenye chumba kikifika kimefika,

USIOGOPE KIFO
 
Umenena vyema sana ..... Umesomea nini Mdada mzuri... Naomba Cv yako just briefly kuna mchongo.
 
Wadada wazuri wazuri kama nyie asee
Ukiwa mzuri unakua unaongea vizuri pia eti ?
 
Huna akili
 
Upweke sio mzuri kabisa .
Ila nawaza na maisha haya kibongo mara makelele huku na kule hivi inakuaje mpaka ujifungie ndani pekee yako bila kutaka hata story na mtu .

Je na umbea je ili upate habari za mtaa ?

Vipi kuhusu story mob vijiweni ? [emoji3][emoji3]

Nyie sio wabongo ni wazungu kabisa wa roho yaani nikae ndani na nje nasikia kuna story zinaendelea mtanisamehe .

Vipi kwenda bar ? Yaani eti nibebe pombe ninywee ndani bila kuwatizama wadada wa kunawiri nyuso huku mziki kidogo .

Nitoke nje nipate vyuku kidogo mara nipate watu na story za uongo na kweli? Aaghh big no

Punguzeni uzungu maisha yetu ni ujamaa ndugu zanguni
 
I won't buy that fear by the way its not even a fear its just imagination of what happen to them but its not necessary it will happen to you, kila mtu na destination yake na ni bora kujifia chumbani pekee yako bila maumivu kuliko kufa kwa maumivu uliyosababishiwa na toto la watu mlokutana ukubwani tena lamini, iko hivi..
Mi ni introvert niliyewahi kuishi na mwanamke na nimezaa nae mtoto mmoja, sijawahi kuwa na furaha kuishi naye vitimbwi, drama (99.9% ya wanawake wa na hizi vitu), nilijutia kwa nini nilifanya uamuzi wa kumkaribisha ndani, niliponea chupchup kumtia ndoige ya lala salama kwa maudhi yake nkatumia busara akapita hivi.
Since then Im happy alone and I enjoy life to the fullest, itanichukua miaka mingi sana kuishi na mwenza unless nikutane na spiritual minded like me.
Kitu nilichogundua kuhusu kuwa loner ni kwamba
"being alone has a POWER that only few people can handle"
So if you can't, tafuta mwenza usije kujifia kama hao wendazake.
 
Kuna umri ukifika kuwa mwenyewe yaani mpweke haifai...
Imeshawahi kutokea kwa jirani yetu, mzee alifariki ndani peke yake baada ya week ndio tunafahami...
 
Haijalishi ww ni introvert or extrovert ila kifo kipo palepale tu sasa sijaona shida hapo,

Mana kama siku hazijafika huwez kufa na pia siku zikifika hata ukizungukwa na watu wengi bado tu utakufa

Kuhusu kuozea ndani sion kama ni tatizo kwako kwan ushakufa tayar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…