Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

Mle mle.
 
Huyu ni mimi mtupu nafurahia sana maisha niliyonayo.
Ndugu wameshasema wee, wapenzi wamesema weee ila ndo hivyo tena najiona mimi yaani sijui km nitabadili haya maisha.
Jirekebishe maisha hayo mabaya sana,
Jamaa yangu alikufa wiki aligundulika kwa harufu tu na Nzi madirishani..
 
Nakazia.
 
Don't be afraid of minor things; death is reality and the ultimate end of all things is death and it can happen anywhere and anytime; having someone doesn't mean you won't die. Enjoy your life.
Nakazia.
 
Perfectly said.
 
Kuna jirani yangu nae Dingi flani hivi nae alikuwa akiishi kivyakevyake tulimkuta amekata moto na tuligundua siku ya nne...kuishi alone ni tatizo kubwa.
 
Pressure inapanda na kushuka kisa kuniambia hivyo☺️
Jamaniii🤗🤗
Unaona unaona.....! Me growing up sikuwa napenda kuongea na simu, Mtu akinipigia naona ni kero na ananitesa, Siku zinaenda, unakua.... unasogea... unafika kazini ambapo kila kitu ni cha lazima: kuzungumza mbele ya watu, kuongea na huyu na yule etc, kupigiwa simu ni lazima. Nafanyaje? Ikanitesa na kunisuffocate sana.

Hapa katikati marafiki wakapita wengine wakabaki for the sake of it!

Akaja kwenye maisha yangu rafiki yangu mmoja wa kike, akagundua tatizo langu na akaamua kunikomesha nalo... She will just call anytime, everyday. She will call video call at anytime she feels, i used to dodge her sometimes wala hakupunguza, yaani atapiga na atapiga tena na wala hajisikii vibaya usipopokea. Atapiga video call usiku atasema nilitaka tu nijue umelala au umetoka, ikawa hivyo hadi nikazoea aisee, sidodge calls zake siku hizi, atleast now anaweza kaa siku nzima hajapiga, imefika muda asipopiga nampigia mie mwenyewe!

Siku zinaenda zinakatika, akaja mume by then akiitwa mpenzi, kitu cha kwanza kumwambia baada ya kufahamiana nilimwambia kwamba ukitaka kitu nitumie sms sipendi kuwa on calls, he was like okay!! But guess what... Alikua anapiga simu muda wowote anaojisikia. Maisha yameenda nimebadilika na nina enjoy kuongea na simu na nawapigia watu, hata my mama nadhani anashangaa sana siku hizi. Zamani aliwahi kulalamika kwa dada mmoja kwenye saluni tunaendaga kuwa mwanangu fulani anaweza kusafiri akifika aendako hata hasemi kama amefika na hata ukimpigia hapokei akaja kukupigia a day after!

Oppss.. nimeandika gazeti Vinci, nilitaka tu kusema kuwa....we have to overcome our fears, inahitaji mtu mmoja tu kukuonesha your full potential. Its okay to be abnomal, lakini hakuna tatizo kabisa kuwa normal..... I love you and you know! cheers 😉
 
For the first time naona umeondika gazeti asee Hongera.
Mungu fundi sana kaipangilia nature/Mazingira na Roho/Soul/Subconscious mind zetu zifanye kazi kwa namna ya upekee sana. Kuna mtu anaweza kuja maishani mwako kwa ajili ya kukusaidia kitu fulani tu yaani hata ufanyeje haondoki. Na siku kitu hicho kikikamilika utaona tu mmepotezana.
Huyo rafiki yako was a Heaven sent by nature to comfort and to help you get through your miseries. Kama bado mpo in touch...usimpoteze!
Hua tungombana na mama pia tukiongea akisikia sauti ipo tofauti anauliza kama naumwa..nikimwambia najisikia vibaya tu basi ataanza kunisumbua na sms + simu. Basi sipendi hadi nakereka kila muda utasikia umekunywa dawa, Unaendeleaje, nenda hospital. Hua namwambia tu sipendi Kubembelezwa wala kuwa cared niache...kama nikizidiwa nitakueleza.

Hua ananijibu kwamba...Siku ukiwa na mtoto nawe utajua uchungu naopitia pindi naposikia unaumwa. Basi nabaki naumia mwenyewe
Oppss.. nimeandika gazeti Vinci, nilitaka tu kusema kuwa....we have to overcome our fears, inahitaji mtu mmoja tu kukuonesha your full potential. Its okay to be abnomal, lakini hakuna tatizo kabisa kuwa normal.....
Can you be that person for me?? It will means a world to me! Sometimes upweke wanichosha kweli. Muvi pekee hazitoshi eti😟
I love you and you know! cheers 😉
I don't know why I feel these words Are just a Ruse. Deaf Gal Nakhuenjile for real, you know. Since back then
 
All things considered.. Sijawahi kuwa na tatizo na wewe from the first day... Tunaweza anzia hapo ila lazima nijihoji nia yangu na energy kama ninayo ya kufanikisha hili. Okay okay... Mdogo mdogo si ndio????

My friend is still here aisee! Infact amenifundisha vitu vingi, vitu vingine si vya muhimu lakini ndivyo vinafanya maisha yawe maisha. Mfano tabia za kike zile za kugossip bila sababu za msingi etc. 😀Tunasonga mbele maisha yanakuwa very enjoyable!

Ni kweli siku ukiwa na mtoto utafahamu yote aliyokwambia mama, utajua how it feels, but..... if you won't choose to be an AS*🤣😉
 
Msaada ambao angepewa ni kuzikwa kwenye kaburi na kufukiwa. We huon ameinjoi kukaa kwake miaka minne juu ya kitanda chake
 
Watu wanataka wakifa waimbiwe mapambio ndo tatizo linapoanzia.. ukiondka umeondka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…