Haya ni maajabu!! Rais anashinda ndani kama utumbo?!!

Na stress ndio zitamuwahisha kwenye kiti cha hukumu kwa Mungu
 
Na hapa Mimi natofautiana na wengi!

Samiah sio wa kuchukiwa hivyo!anatumikia mfumo uliomlea na alioukuta!!!

Alimuona Mzee mkapa akiwawaua Hadi watoto ambao walikua wanatoroshwa kwenda mombasa kama wakimbizi enzi zile wakazamishwa majini!

Mauaji ya mwembechai!!?

Kuna Rais ambaye hajaua watanzania wenzake kisa itikadi na sera!!?

Tulipoifanya siasa kama KAZI ya mapesa mengi kuliko usomi na ueledi ndipo tulipozalisha mauaji na umwagikaji damu muuonao Hadi leo!!

Mtu hawezi muua mwenzake ili apate masters degree au diploma au Ili awe Mwalimu!

Bali anaweza muua mtu kisa itikadi au tishio kwenye nafasi ya kisiasa aliyonayo!!

Amkeni,hata kama ungekua wewe na umepewa jukumu la kukivusha chama,huwezi kivusha bila kuua wanaharakati was kitikadi ndani na nje ya chama!!
 
Dr. SAMIA SULUHU HASSAN πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Ni mtaalamu wa siasa za Karne ya 21. Mtaweweseke nyny lakini ameshasema
KAzi IENDELEE
KAZI na Utu Tunasonga Mbele
 
Are you trying to justify something?
 
Hivi umeshapata mawazo ya Kimbesa na Troll?
 
😁😁😁
 
JK achek na wowote since abduli ampige kitu cha mrusi hapo subiri comeback tu, kule nchimbi huku jk wote lengo moja then mmoja nae urusi.
Mkuu comment yako natamani uifungulie post au unaonaje?
Natamani uongeze nyama,
1. Abdul kampiga pigaje KJ?
2. Ilikuwa lini?
3. Je baada ya kumpiga pigo limepiga ndipo au kanguswa tuu?
 
Mo29 to 03rd Nov Massacre ni hatari ,haipaswi kujirudia na waliohusika wote wachukuliwe hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…